Kwenye ndoa kuna kiba baba wa ajabu sana!

Naitwa Saida kutokea Pwani, ni mama wa watoto wanne kwa sasa, nimekaa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka nane, kwa kipindi chote nimekumbana na changamoto nyingi sana ambazo zimeacha kovu katika moyo wangu.

Nakumbuka mimi na mume wangu tulianza kugombana pindi nilipojifungua mtoto wangu wa tatu, mume wangu alionekana kutokuwa na furaha kama ambavyo ilikuwa kwa watoto wetu wa mwanzo.

Unajua hakuna jambo huwaacha watoto njia panda kama ugomvi baina ya wazazi wao maana kuna muda hulazimika kuchagua upande, migogoro ndani ya ndoa imeacha majeraha makubwa sana katika nyoyo za watoto.

Binafsi nilishindwa kuelewa nini tatizo, mwanzo nilihisi labda kuna mambo ya kazini yanamsumbua lakini nikaja kugundua sio kweli mara baada ya kuambiwa na moja ya marafiki zangu kuwa mume wangu amesema mtoto huyo sio damu yake.

Ni suala ambalo liliniumiza sana kiasi ambacho nilianza kulia machozi, kama ni hivyo kwanini asingeongea na mimi kwanza, kwanini akanitangaze huko nje. Aliporejea nyumbani sikutaka hata salamu yake, hapo hapo nilimuuliza kuhusu jambo hilo na akasema ameongea ukweli kabisa.

“Ni kweli mimi ndiye nimeongea maneno hayo, kwani wewe unaona huyo mtoto kafana na mimi kama hawa wengine?, naona ulikuwa na mchepuko nje na ndio umeamua kuzaa naye mtoto huyo,” aliniambia mume wangu.

Kusema kweli ugomvi ulikuwa mkubwa kiasi kwamba hadi majirani waliingilia kati, nilikuwa mwenye hasira maana jambo hilo lilikuwa sio la kweli, hadi wazazi waliingilia kati lakini hakuna suluhu iliyopatikana.

Mwisho wa siku ukoo uliamua kila mmoja alale chumba chake maana hatuwezi kutengana tukiwa tayari tuna watoto wengine, walijua tukiendelea kuishi hivyo kuna tutapatana.

Licha ya kulala kila mtu chumba chake, bado migogoro ndani haikuisha, mume wangu alionekana kumtenga sana huyu mtoto wa mwisho kiasi kwamba roho yangu iliniuma sana.

Mgogoro huu uliendelea hadi mtoto huyu anafikisha miaka mitano, ndipo nikachoka nikaamua kwenda kufungua kesi mahakamani ili ukweli uwekwe wazi na nafasi yangu iwe huru maana nimechoka maneno ya kashfa.

Mahakama iliamuru Baba na mtoto wakapimwe DNA, baada ya vipimo majibu yalionyesha mume wangu ni Baba halali kabisa wa mtoto huyu anayesema sio wake. Hata hivyo, mume wangu hakuridhika na majibu hayo na kusema si ya kweli jambo ambalo sikutegemea, nilidhani baada ya vipimo mambo yatakuwa shwari.

Basi nakumbuka siku moja nikiwa ofisini nilichukua gazeti nililolikuta juu ya meza yangu na kuanza kulipitia, ndipo nilipokutana na Kiwanga Doctors ambaye naweza kusema ndiye ameiponya ndoa yangu na kurejesha furaha iliyopotea kwa miaka sita.

Tangazo lake gazetini lilieleza kuwa anaweza kusuluhisha migogoro ya ndoa ndani ya siku chache tu, nilishawishika kuchukua  namba yake ambayo ni +254 116 469840, niliwasiliana naye na kumueleza kila kitu ambacho kinanisumbua.

Hadi sasa nikiri kuwa tangu tangu nimewasiliana naye, ugomvi ndani ya nyumba umeisha kabisa, na mume wangu aliamua kuitisha kikao cha ukoo na kuomba radhi kwa yote yaliyotokea na kukiri kuwa yule ni mtoto wake halali kabisa.

Nakumbuka siku niliyozungumza na Kiwanga Doctors aliniambia kuwa anaweza kumrudisha mume, mke au mpenzi aliyeondoka kwako, kukusaidia kumpata mume au mke, kuwa na mvuto wa kimapenzi, kupandisha cheo na mshahara kazini n.k.

Basi chukua hatua muhimu leo hii kwa kuwasiliana na Kiwanga Doctors kupitia namba +254 116 469840 au tembelea tovuti yao, www.kiwangadoctors.co.tz kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.

Share the Post:

Related Stories

Nilivyopona Ugonjwa wa Ajabu Baada ya Mume Wangu Kulala na Mwanamke wa Ajabu

Miaka miwili iliyopita, maisha yangu yalibadilika ghafla. Nilikuwa mwanamke mwenye nguvu, mwenye afya njema, na mwenye furaha ya ndoa. Lakini siku moja, kila kitu kilianza kwenda mrama bila sababu...

Unavyoweza kukabiliana na migogoro ya mali

Katika familia yetu tumezaliwa watoto 12, wakiume tukiwa saba, huku wa kike wakiwa ni watano. Tuliishi upendo kama ndugu maana ndivyo wazazi wetu walikuwa wanatusisitizia kila wakati. Jina langu ni...

Unavyoweza kukabiliana na migogoro ya mali

Unajua kuna mambo yanaweza kukutokea hadi wewe mwenyewe ukawa unashangaa maana yake ni ipi hasa, ndicho nilichonikuta mimi pale ambapo mama mwenye nyumba aliponiita nyumbani na kuniambia kuwa...

Ni biashara ndogo tu ila imebadili maisha yangu!

Katika familia yetu tumezaliwa watoto 12, wakiume tukiwa saba, huku wa kike wakiwa ni watano. Tuliishi upendo kama ndugu maana ndivyo wazazi wetu walikuwa wanatusisitizia kila wakati. Jina langu ni...

Huu ni msaada kwa wanaokataliwa kila wakitongoza

Waswahili husema kutongoza ni aina nyingine ya sanaa ambayo inahitaji ujuzi pia, kwa kawaida wanawake wanahitaji na kupenda maneno matamu yenye ushawishi kutoka kwa wanaume. Hata hivyo, sio wanaume...

Hata biashara nazo zinahitaji ulinzi

Kwa miaka mingi nimekuwa nikifanya biashara maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam, nashukuru kipato ambacho nimekuwa nikipata kinaniwezesha kumudu gharama za maisha ya kila siku. Naweza kuitunza...

Ujumbe muhimu wa ushindi kwa wanafunzi wote

Nakumbuka kipindi nasoma shule ya msingi sikuwa mwanafunzi mwenye akili darasani, kila mara nilikuwa mtu wa mwisho kiasi kwamba hadi wanafunzi wenzangu walikuwa wananicheka na kunikejeli. Walimu...

Siri ya Ushindi: Jinsi Nilivyoshinda Jackpot Betika Mara Tatu kwa Kutumia Ujanja wa Kipekee

Safari Yangu ya Kubeti Ilivyoanza Kwa miaka mingi, nilikuwa miongoni mwa wale waliokuwa wakitamani kushinda jackpot kubwa kupitia Betika. Nilicheza kila wiki, nikifuata hisia zangu tu, lakini kila...

“Magari yote niliyokua nayo ilinibidi niyauze,” jamaa asimulia

Mke wangu ambaye tulikua tumekaa kwenye ndoa kwa miaka minne, siku moja aliamka na kuniarifu ameamua kunipa talaka, kisa cha kufanya hivyo ni kwa sababu sina fedha za kuweza kumlinda na kumtunza kama...