Watoto wanavyoweza kufanya vizuri kimasomo

Jina langu ni Halima kutokea Tandale, ni mfanyabiashara mdogo pembezoni mwa jiji nikifanya kazi ya Mama Lishe, huwa narejea nyumbani usiku sana nikiwa nimechoka na muda mwingine huwa nawakuta watoto wamelala.

Hadi sasa nimejaliwa kupata watoto wanne ambao bado kwa sasa wanasoma shule ya msingi, nawapenda sana watoto wangu wote na nimekuwa nikihakisha kuwa wanapata kila mahitaji hasa ya shuleni.

Dada wa kazi (house girl) ndio huwa ananisaidia kila kitu, kuanzia kuwaandalia chakula, kuwapikia, baadhi ya kazi walizopewa shuleni (home work) na kuhakikisha wamelala vizuri.

Kwa muda mwingi Baba yao anaishi mkoa mwingine na huwa wanakuja mara moja kwa mwezi, kutokana na ubize wetu sisi kama wazazi tulishindwa kujua maendeleo ya watoto wetu shuleni.

Siku moja nilipigiwa simu na Mwalimu aliyejitambulisha kwa jina la Samweli na kunieleza mtoto wangu wa tatu, Joyce amekuwa hafanyi vizuri katika masomo yake na wamejitahidi wao kama Walimu kwa kutumia kila mbinu ila wameshindwa.

Basi niliporejea nyumbani nilimuuliza Dada wa kazi kuhusu Joyece na kweli aliniambia amekuwa akijitahidi sana kumfundisha lakini amekuwa ni mzito sana katika kuelewa.

Niliamua kukagua madaftari yake na mitihani yake ya hivi karibuni na kubaini kuwa hakuwa na wakati mzuri wa kimasomo kwani amekuwa akifeli sana, anapata alama za chini sana kuliko kawaida.

Tulijaribu kumpeleka Tution eneo la jirani ili aweze kujifunza zaidi pindi anaporudi shuleni lakini hakuweza kuelewa chochote hadi Mwalimu wa Tution aliniambia tutafute njia mbadala ya kumsaidia.

Kama mzazi, jambo hilo lilinipa sana msongo wa mawazo, nikiwa nimetulia nyumbani, Dada wa kazi alikuja na kuniambia kuna mtoto wa Bosi wake wa zamani alikuwa na tatizo kama hilo lakini alipona baada ya kupata tiba asilia na matambiko.

“Mama kuna mtaalamu namfahamu anaitwa Kiwanga Doctors kutokea Migori, Kenya anaweza kumsaidia Joyce na yeye akaanza kufaulu masomo yake darasani kama watoto wengine,” aliniambia Dada wa kazi.

Basi nilichukua simu yangu na kuingia mtandaoni ili kumfahamu zaidi huyo Kiwanga Doctors, niliingia kwenye tovuti yake, na kuweza kujionea huduma zake mbalimbali hadi pale nipokutana na namba yake ya simu.

Nilimpigia na ninashukuru alipokea na kunisikiliza kwa makini wakati nikimueleza shida ya mtoto wangu, Kiwanga Doctors alinihakikishia kuwa mtoto wangu ataanza kufaulu masomo yake. Nilimwambia nitafurahi sana maana nimeangaika sana na kutumia kila jitihada ili kuhakikisha anafualu.

Baada ya muda kidogo mtoto wangu, Joyce alianza kufanya vizuri katika masomo yake, Dada wa kazi aliniambia hata yeye anaona maendeleo. Niliyatazama tena madaftari yake na kuona anaendelea vizuri na amekuwa akipata alama nzuri kwa kila ‘home work’ anayopewa na walimu wake.

Katika mitihadi ya hivi karibuni Joyce amekuwa mtoto wa tano kimasomo kati ya wanafunzi 123, hadi Mwalimu wake alinipigia simu na kushangaa maana mitihani iliyopita alikamata nafasi ya 118, tangu wakati huo nimekuwa nikiamini sana huduma za Kiwanga

Ni watu wengi hadi sasa wamepata uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +254 116 469840 au tembelea tovuti yao kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.

Share the Post:

Related Stories

“Nilikuwa nalala na kiu” mrembo asimulia mazito

Hakuna taasisi ina siri kubwa kama ndoa jamani na hiyo ni kutokana na msingi wake wa kuanzishwa kwake, haifai hata kidogo kutoa siri za ndani ya ndoa kwa marafiki.   Hata hivyo, nikiri wazi kuna...

Unavyoweza kujikinga na wabaya wako!

Kitu ambacho hatuwezi kukipinga ni kusema kwamba hakuna maadui katika maisha yetu, ukweli ni kwamba maaduni wapo na wamekuwa wakifanya kazi usiku na mchana kuhakikisha maisha yetu wanarudi nyuma...

Huyu mwanamke kanisingizia mambo ya aibu sana!

Mimi ni kijana ambaye najishughulisha na biashara mbalimbali, katika maisha yangu nimejifunza kuwa mtu ambaye unamuamini sana ndiye anaweza kukufanyia jambo paya sana maishani ingawa kuna watu wazuri...

Je, unataka kuongezwa mshahara kazini kwako?, hafanya hili

Nyongeza ya mshahara ni jambo ambalo limekuwa likimvutia kila mfanyakazi katika kazi yake, ndivyo ilivyokuwa na kwangu mimi, kila mara nilikuwa nikituma maombi ya nyongeza ya mshahara lakini...

Dawa ya kuongeza mvuto wa mapenzi ilivyonisaidia

Naitwa Suma kutokea Mwanza, nimekuwa nikifanya kazi ya ujenzi maeneo mbalimbali hapa nchini na kweli nashukuru nimekuwa nikipata fedha nzuri ambayo inatosha kuendesha maisha yangu. Kwa sasa naendesha...

Huna haja ya kumlinda mwanaume katika ndoa, haya hili!

Ukweli ni kwamba wanawake wengi wamekuwa wanasalitiwa sana wanaume zao ndani ya ndoa jambo linaloacha maumivu makali katika nyoyo zao na kubakia na huzuni tu. Mimi sikutaka kitu kama hicho katika...

Wezi Walivamia Duka Langu Usiku… Siku 7 Baadaye, Nyuki Wakawatambua kwa Ajabu

Siku moja asubuhi mapema, nilifika kazini kama kawaida. Lakini kabla hata sijafungua mlango wa duka langu, nilihisi kitu kimeenda kombo. Mlango ulikuwa wazi nusu, na ndani palikuwa pamevurugwa kama...

Je, unateswa na upotevu wa fedha?, fanya hivi

Hakuna mtu anayependa kuona fedha zake zinapotea bila ya yeye kuzifanyia shughuli yoyote ya kimaendeleo katika maisha yake, kila mtu anataka kuona fedha yake inatoka kihalali kabisa. Jina langu ni...

“Usiku sikuweza kupata usingizi kabisa,” jamaa asimulia

Jina langu ni Juma kutokea Pwani, ninaishi na mchumba wangu tangu mwaka 2022, katika maisha yangu hakuna ugonjwa ambao umewahi kunitesa kama Kaswende, niliumwa kiasi kwamba nikakata tamaa ya kuishi...