
Walinitangaza Maiti Baada ya Ajali Niliporudi Kijijini, Wote Walidondoka kwa Hofu
Nilihesabiwa miongoni mwa maiti. Majina yangu yalitajwa msibani, picha yangu ikawekwa kwenye tangazo la rambirambi, na hata kaburi likachimbwa tayari kwa maziko. Ajali mbaya ya basi barabara ya Mwanza kuelekea Musoma ilibeba jina langu miongoni mwa waliopoteza maisha.
Hakuna aliyeupata mwili wangu, lakini jina langu lilikuwepo kwenye orodha ya abiria, na ikahesabika kuwa nilishafariki. Kijijini kwetu kule Butiama, msiba ulitanda kama wingu jeusi. Mama yangu alipata presha, dada zangu walilia hadi sauti zikatoweka, na mchumba wangu alianguka na kupoteza fahamu.
Waliamua kumzika jeneza lililojazwa mavazi yangu kwa heshima, huku wakiomba roho yangu ipumzike kwa amani. Hiyo ndiyo siku niliyozaliwa pia siku ya kumbukumbu yangu ikageuka kuwa siku ya huzuni kuu.
Lakini upande wangu, nilinusurika kwa miujiza. Nilipata majeraha makubwa kichwani na nikapelekwa na wakazi wa kijiji cha mbali hadi zahanati yao. Kwa zaidi ya wiki mbili nilikuwa katika hali mbaya, sina fahamu, sina kumbukumbu, na sikujulikana.
Waliniita tu kwa jina la utani walilonipa, maana sikua na kitambulisho wala simu vitu vyangu vyote viliteketea. Nilipozinduka, nilijaribu kuwakumbusha watu namba ya rafiki mmoja niliyeikumbuka kichwani. Ndipo mwelekeo wa maisha yangu ukabadilika.
Baada ya kurudi nyumbani, huku jamii ikiwa bado inashindwa kuamini kuwa nipo hai, nilianza kupata matatizo ya kiakili nilihisi kama ninafuatiliwa na kitu kisichoonekana. Ndoto zangu zilijaa hofu, vilio, na wakati mwingine niliota naitwa na watu waliokufa.
Nilianza kuogopa hata kuangalia kivuli changu. Familia haikunielewa. Ndio maana rafiki yangu alinielekeza kwa Kiwanga Doctors, ofisi yao ipo mkoani Mara. Nikiwa nimechanganyikiwa, nilifika kwao nikiwa na maswali mengi.
Nilipokelewa kwa heshima, wakaniambia kabla sijawajibu chochote, kwamba “umefungiwa rohoni kwenye kaburi lisilokuwa lako.” Nilishangaa sana. Wakasema kuna nguvu za kipepo zilikuwa zimezuia kurudi kwangu, na hata hiyo hali ya kiakili niliyokuwa nayo ilikuwa imesababishwa na mfungo wa rohoni uliobaki baada ya tangazo la kifo changu.
Kiwanga Doctors walinifanyia huduma ya kusafisha roho, wakaniwekea dawa za asili na kunipatia kinga maalum ya kutuliza nafsi na kukata minyoo ya kiroho. Walinipa hirizi ya bahati iliyoimarisha akili na kunipa ujasiri wa kukabiliana na dunia tena. Ndani ya wiki moja, usingizi ukanirudia, ndoto mbaya zikatoweka, na hofu ikayeyuka.
Tangu hapo, maisha yangu yakachukua sura mpya kabisa. Nilipata wazo la kufungua duka la vifaa vya ujenzi hapa kijijini. Awali nilihisi kama nitadharauliwa, lakini sasa duka langu ndilo linaongoza kwa wateja.
Fedha imeanza kujaa, na kwa mara ya kwanza katika maisha yangu, nimenunua gari aina ya Toyota Hilux. Mama yangu sasa analia kwa furaha, na mchumba wangu aliyeshindwa hata kuzungumza nami kwa siku za mwanzo amenirudia na tunapanga harusi yetu mwaka huu.
Niliamini nilikufa. Jamii ilihisi wamenipoteza. Lakini kupitia msaada wa Kiwanga Doctors, nilirudi hai rohoni na kimwili. Walinisaidia kwa dawa za asili na kinga ya roho, na leo najiona kama nimezaliwa mara ya pili.
Kama kuna mtu ana matatizo ya kiakili yasiyoelezeka, au unahisi maisha yako yamefungwa, tafuta msaada mapema. Usingoje utangazwe marehemu ndipo ujue kuwa kuna ulimwengu wa roho unaoathiri maisha ya mwili.
Ofisi ya Kiwanga Doctors iko mkoani Mara, Tanzania. Wanaelewa mizizi ya matatizo mengi ambayo hospitali haziwezi kuyagusa. Waliniokoa na naamini wanaweza kumsaidia yeyote ambaye anahitaji msaada wa kweli.