Kwa miaka mingi nilikuwa napambana kuhakikisha kuwa naacha kuvuta Sigara lakini hilo lilinishinda kabisa, kuna wakati niliweza kukaa hata wiki moja bila kuvuta lakini nikipita mahali nikasikia mtu anavuta ghafla kiu inakuja.
Tayari mwili wangu ulikuwa umeanza kupata madhara kutokana na uvutaji Sigara, kila mara nilikuwa nakohoa hasa nyakati za usiku, jambo hilo lilikuwa linamkwaza sana mke wangu kiasi kwamba aliamua kuhama chumba tulichokuwa tunaishi pamoja.
Nilianza kutumia dawa za mitishamba na kufuata aina fulani ya kanuni za kisaikolojia ili kuweza kuondoka katika kifungo hicho lakini sikweza kufanikiwa.
Nakumbuka wakati naaza kuvuta Sigara mama yangu aliniambia nitakuja kujutia sana maishani mwangu, aliniambia ukiona hadi kitu kimeandika; (Onyo: Uvutaji wa Sigara ni hatari kwa afya yako) basi jua ni hatari kweli kweli.
Kutokana na maisha ya ujana kwa wakati ule sikuweza kuelewa hilo, lakini athari nilizokuja kuzipata kama kukohoa sana na kushindwa kumpatia haki yake ndoa mke wangu vilivyo, ndipo nikayakumbuka maneno ya mama yangu.
Baada ya kuteseka na kuangaika kwa miaka mingi niliweza kukutana na mtu anayeitwa Kiwanga Doctors ambaye naweza kumuita Shujaa wa maisha yangu.
Mtu huyu nilipatiwa namba yake na mjomba yangu ambaye alisaidiwa na Kiwanga Doctors kupata kazi, aliniambia anaweza kunisaidia nami kuacha kuvuta sigara kwani ameweza kuwasaidi hadi wenye urahibu wa dawa za kulevya.
Nakumbuka baada ya kutumia dawa za Kiwanga Doctors niliweza kuacha mara moja uvutaji wa sigara na sasa ni miaka miwili sijavuta kabisa na nikisikia harufu yake tu najisikia hata kutapika.
Kwa kweli kwa sasa hata naweza kusema hali yangu ya kiafya imeweza kuimarika kwa kiasi kikubwa tangu niachane na uvutaji sigara na hata maendeleo nimeanza kuyaona kwenye maisha yangu.
Mke wangu wamekuwa mwenye furaha ndani ya ndoa maana naweza kumtimzia kile anachostahili kupata kama mke wa ndoa.
Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +255 763 926 750 au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.