Unavyoweza kukabiliana na migogoro ya mali

Unajua kuna mambo yanaweza kukutokea hadi wewe mwenyewe ukawa unashangaa maana yake ni ipi hasa, ndicho nilichonikuta mimi pale ambapo mama mwenye nyumba aliponiita nyumbani na kuniambia kuwa ananitaka kimapenzi.

Jina langu ni Julio, kijana wa miaka 25 ambaye najishughulisha na Ujasiriamali hapa jijini Dar es Salaam, kutokana na mazingira ya kazi yangu nimekuwa natoka nyumbani asubuhi mapema na kurejea usiku.

Nakumbuka kuna siku katika pilikapilika zangu ndani ya jiji, nilipumzika sehemu nikawa najisomea gazeti, nikakutana na tangazo la Kiwanga Doctors ambalo lilieleza miongoni mwa huduma anazotoa ni pamoja na kuongeza mvuto wa kimapenzi.

Nilitamani sana kujua mtu mwenye mvuto wa kimapenzi anakuwaje, hivyo niliamua kuchukua namba yake na kumpigia. Nilimwambia kuwa nahitaji huduma hiyo.

Basi Kiwanga Doctors akaniambia nisiwe na wasiwasi kwani ndani ya siku tatu nitapata matokeo mazuri ajabu maishani mwangu.

Kesho yake wakati nimerudi nyumbani nilimkuta mama mwenye nyumbani ameketi nje, aliniambia siku hiyo nisipike kwani kwake amepika chakula kingi sana, hivyo nitaenda kula kwake baada ya kuoga.

Nilipomaliza kuoga nilienda kugonga mlango wake, alipokea na kuniambia siku nyingine nikitaka kuja wala nisigonge bali niingie tu.

Nilikaa kwenye sofa na akaniletea chakula, cha ajabu alikuja akaa pembeni yangu, wakati nikila akawa ananipapasa mgongoni, mara akaniomba anivue shati kwa madai joto limezidi ndani na anaona mwili wangu umechemka sana. Nilimwambia haina shida kwani namalizia kula nitatoka nje kwenye upepo.

Baada ya kumaliza kula sikutaka kuendelea kukaa pale ndani, nilitoka nje huku yeye akinisistizia niendelee kuwa naye maana hana hata mtu wa kuzungumza naye. Sikujali hilo nilitoka na kwenda kwenye chumba changu na kuchukua maji nikaenda kuoga tena ili niweze kulala.

Nilipotoka kuoga nilikuta SMS yake kwenye simu akiniambia kuwa ananipenda na angependa kama nitamkubalia niwe mpenzi wake, aliomba sana nisije kumkatalia kwani yeye hajiwezi tena kwangu. Niishiwa nguvu na kujiuliza maswali mengi, nilimjibu kuwa nina mpenzi wangu tayari.

Aliniambia yeye atakuwa ananipa fedha za matumizi na chochote nitakacho, kikubwa zaidi nitakuwa naishi katika nyumba yake bila kulipa kodi, hilo ndilo limenichanganya sana maana nahitaji fedha hizo.

Kiukweli huyu mama mwenye nyumba ni mzuri sana na mkarimu, mwenyewe natamani sana kuwa naye ila ndio hivyo nina mpenzi wangu ila hizi ahadi alizonipa ukichanganya na uzuri wake nashindwa kumkatalia moja kwa moja.

Vijana wa mjini huwa wanaiita hii ni zali la mentali, leo limenitembelea nami, naweza nikimkubalia na mpenzi wangu akaja kugundua itakuwaje maana huyu mama mwenye nyumba siwezi kuja kumuoa wala yeye hawezi kukubali kuolewa na mimi. Je, fanyaje?, naombeni ushauri.

Basi chukua hatua muhimu leo hii kwa kuwasiliana na Kiwanga Doctors kupitia namba +255618536050 au tembelea tovuti yao, kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi katika eneo zima la Afrika Mashariki na Kati.

Share the Post:

Related Stories

Wezi Walivamia Duka Langu Usiku… Siku 7 Baadaye, Nyuki Wakawatambua kwa Ajabu

Siku moja asubuhi mapema, nilifika kazini kama kawaida. Lakini kabla hata sijafungua mlango wa duka langu, nilihisi kitu kimeenda kombo. Mlango ulikuwa wazi nusu, na ndani palikuwa pamevurugwa kama...

Je, unateswa na upotevu wa fedha?, fanya hivi

Hakuna mtu anayependa kuona fedha zake zinapotea bila ya yeye kuzifanyia shughuli yoyote ya kimaendeleo katika maisha yake, kila mtu anataka kuona fedha yake inatoka kihalali kabisa. Jina langu ni...

“Usiku sikuweza kupata usingizi kabisa,” jamaa asimulia

Jina langu ni Juma kutokea Pwani, ninaishi na mchumba wangu tangu mwaka 2022, katika maisha yangu hakuna ugonjwa ambao umewahi kunitesa kama Kaswende, niliumwa kiasi kwamba nikakata tamaa ya kuishi...

Biashara itakavyoweza kubadilisha maisha yako!

Jina langu Athumani kutokea Dar es Salaam, jiji ambalo limechangamka zaidi kibiashara hapa nchini ambalo vijana wengi wanapenda kuja kuishi na kutafuta fursa za kazi au ajira. Kila mfanyabiashara kiu...

Suluhisho la migogoro ya ndoa ni hili

Hakuna jambo huwaacha watoto njia panda kama ugomvi baina ya wazazi wao maana kuna muda hulazimika kuchagua upande, migogoro ndani ya ndoa imeacha majeraha makubwa sana katika nyoyo za watoto. Jina...

Nilivyoamka na Sh3 milioni ambayo sijui imetoka wapi?

Kwenye kufanikiwa kimaisha kuna tegemea na mambo mengi sana, kufanya kazi kwa bidii au kujuana na watu wengi wenye uwezo katika eneo fulani hakutoshi kukuhakikishia kufanikiwa kimaisha. Na ukweli ni...

Mbinu ya kupangilia uzazi kwa wanawake

Habari yako mdau wa Kiwanga Doctors?, jina langu ni Censia, ni mama wa watoto sita, niliolewa na mume wangu, Dida miaka nane iliyopita, tunaishi moja ya vijiji katika mkoa wa mkoa wa Kilimanjaro...

Nilivyopona Ugonjwa wa Ajabu Baada ya Mume Wangu Kulala na Mwanamke wa Ajabu

Miaka miwili iliyopita, maisha yangu yalibadilika ghafla. Nilikuwa mwanamke mwenye nguvu, mwenye afya njema, na mwenye furaha ya ndoa. Lakini siku moja, kila kitu kilianza kwenda mrama bila sababu...

Unavyoweza kukabiliana na migogoro ya mali

Katika familia yetu tumezaliwa watoto 12, wakiume tukiwa saba, huku wa kike wakiwa ni watano. Tuliishi upendo kama ndugu maana ndivyo wazazi wetu walikuwa wanatusisitizia kila wakati. Jina langu ni...