Nakumbuka kipindi nasoma shule ya msingi sikuwa mwanafunzi mwenye akili darasani, kila mara nilikuwa mtu wa mwisho kiasi kwamba hadi wanafunzi wenzangu walikuwa wananicheka na kunikejeli.
Walimu mwenyewe walikuwa wanatambua sikuwa na uwezo mzuri wa kimasomo na hadi naweza kusema walishakata tamaa na mimi na kuamini sitoweza kuja kubadilika.
Hata nilipofeli shule ya msingi wengi walisema hatukutegemea kama wewe utaweza kuja kufaulu masomo maana tunajua uwezo wako ilivyokuwa mdogo kimasomo.
Nilihitimu shule ya msingi nikiwa na miaka 12, bado nilionekana mdogo sana, ndipo wazazi wangu wakataka nikarudie tena kusema darasa la saba.
Jina langu ni Juma mkazi wa Ilala, kwa sasa nimuhitumu wa Chuo Kikuu nikiwa na Shahada ya Uhandisi Umeme. Je, unataka kujua niliwezaje kufika huko?. Ambatana nami.
Wakati nataka kurudi tena shule ya msingi ili kurudia mtihani wa darasa la saba, kuna mjomba yangu aliyekuwa anaishi Nairobi nchini Kenya alikuja kututembelea. Aliniuliza kama nilifaulu masomo na kumjibu hapana, alishangaa sana kusikia nimefeli na nina mpango wa kurudia tena shule.
Akaniambia kuwa mtu anaitwa Kiwanga Doctors kutokea Migori, Kenya amekuwa akiwasaidia sana wanafunzi wengi kufaulu mitihani yao, na kana kwamba ningemwambia mapema kama nina shida katika masomo yangu, angeniunganisha naye mapema.
Basi mjomba alimpa mama namba ya Kiwanga Doctors, tuliweza kuwasiliana naye na kumueleza kuwa ndio naenda tena kurudia darasa la saba baada ya kufeli. Kiwanga Doctors alimueleza mama kuwa safari hii nikirejea shule nitakuwa mwanafunzi kinara katika masomo yangu.
Na kweli niliporudi shule nilikuwa nafaulu sana mitihani hadi mwenyewe nikawa nashangaa imewezekanaje, ila kiu yangu kubwa ilikuwa ni kuona nafaulu mtihani wa mwisho wa darasa la saba.
Ilifika siku ya mtihani wa mwisho, kila mtihani uliokuwa unakuja mbele yangu nilikuwa naona ni mwepesi sana tofauti na ule mtihani wa mwanzo ambao nilikuwa sielewi chochote.
Majibu yalitoka nikawa nimefaulu kwa kiwango cha juu zaidi, basi miezi kadhaa mbele nikajiunga na sekondari ambapo nako nilifanya vizuri kimasomo hadi nilipofanikiwa kujiunga na chuo kikuu.
Chuo Kikuu niliweza kukutana na wanafunzi wenzangu ambapo walikuwa wananicheka kipindi kile nikifanya vibaya shule ya msingi, walikuwa wamenizidi mwaka mmoja kimasomo lakini kuna baadhi ya mambo nilikuwa naweza kuwafundisha. Nilikuja kuhitimu Chuo Kikuu nikiwa na ufaulu mzuri sana na sasa nimeajiriwa.
Ikiwa unapitia kitu kama hicho, ninakushauri kuwa fika au wasiliana na Kiwanga Doctors. Tiba zao zinafanya kazi haraka na wanaweza kukusaidia katika changamoto mbalimbali za kimaisha, kuanzia masuala ya uhusiano hadi matatizo ya kiafya.
Basi chukua hatua muhimu leo hii kwa kuwasiliana na Kiwanga Doctors kupitia namba +255618536050 au tembelea tovuti yao, kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi katika eneo zima la Afrika Mashariki na Kati.