Stories

Latest Stories

Dawa iliyonisadia kupata huyu dada niliyemfukuzia kwa miaka

Jina langu ni Amoni kutokea Dodoma, tangu kitambo nilikuwa namfuatilia Dada fulani karibu na nyumbani kwetu, nilitamani kabisa kuwa mchumba wake wa maisha lakini mara nyingi nilikuwa mtu muonga hata kuzungumza naye. Alikuwa akijua na kila mara alipita karibu  yangu kwa ajili ya mazungumzo lakini

Kutoka kulipwa Sh30,000 hadi kumiliki Hotel

Jina langu naitwa Salma mkazi wa mkoa wa Kilimanjaro, nimefanya kazi ya kupika na kuuza chakula hapa mjini kwa miaka 10 sasa tangu mume wangu alipoamua kuniacha na kuoa mwanamke mwingine. Mume wangu aliponiacha nilipata hali ngumu ya maisha haswa kulipa kodi, kuwapatia watoto chakula,

“Nilishtushwa usingizini na maumivu makali,” jamaa asimulia

Tuliishi kwa upendo baina yangu na mke wangu, tuliaminiana kwenye ndoa na kila mmoja wetu alipotaka kufanya jambo kwa mfano kufungua biashara mpya tungejadialiana kwa pamoja bila ya mvutano wowote. Hali ilikuwa shwari kabisa katika ndoa yetu kwani hakuna lolote lililotukwaza kama wapenzi, mambo yalianza

Mke wa mtu azua tafrani mji mzima

Kizaa zaa kilitokea katika hoteli moja maeneo ya mjini  wakati ambapo umati wa watu ulifurika katika hoteli moja mjini humo wakitaka kujionea, Mwanaume na mke waliokua wamenaswa wakifanya tendo la ndoa, nje wa ndoa zao. Kila mtu aliyekuwa eneo hilo alitaka kufika kujionea wapenzi hao

Nilivyonusurika kutapeliwa nyumba yangu

Hakuna kitu kinampa mtu uhakika wa maisha mjini kama kumiliki nyumba yake binafsi, maisha ya kulipa kodi mjini yamekuwa yakiumiza watu wengi hadi wengine kuamua kurejea vijijini. Wamiliki wa nyumba wengi huwa hawana subra kwa wapangaji wao linapokuja suala la kodi, hutaka fedha zao mara

Mrembo asimulia mkasa wake na Bosi!

Naitwa Aisha kutokea Mbozi, miaka miwili iliyopita nilifika katika ofisi moja kuomba kazi ya taaluma ambayo nimeisomea, Bosi akaniambia kazi nimepata ila kuna jambo ambalo napaswa kufanya, nalo ni kumpatia penzi kwanza. Jambo hilo nilishtuka sana, kama kazi ipo na nina sifa za kuipata kwanini