Stories

Latest Stories

Bila hivi nilishampoteza kabisa mpenzi wangu!

Jina langu ni Jamila, hapo nyuma nilikuwa na mwanaume ambaye nilikuwa naye kwenye mahusiano tangu mwaka 2020, tumeenda vizuri alikuwa ananipenda sana ni mkaka wa miaka 29 wakati mimi nina 26. Kusema kweli nilikuwa nampenda sana kupita maelezo, sasa basi nikawa naishi nae huko Moshi,

Kumbe alimbambikia mimba mume wangu!

Jina langu ni mama Esma kutokea Katavi, katika maisha yangu nimepitia changamoto nyingi lakini kuna moja ambayo nilikumbana nayo katika ndoa na ambavyo kamwe siwezi kuja kuisahau maisha yangu yote. Ipo hivi, nilikaa katika ndoa kwa miaka zaidi ya 10 bila kupata mtoto, sasa mume

Kutoka kuchunga ng’ombe hadi kushinda Sh27.4 milioni ya jackpot

Jina langu naitwa David kutokea Shinyanga, ni kijana wa miaka 28 ambaye nina nguvu kubwa ya ushawishi katika jamii yangu inayonizunguka hata katika mitandao ya kijamii ambapo nina wafuasi zaidi ya 200k. Ushawishi wangu kwa asilimia kubwa unatokana na mafanikio yangu na jinsi ambavyo nimekuwa

Wezi waliopora Sh16 milioni dukani wazingira na nyuki mikononi!

Katika moja ya vitongoji huko Mwanza kulitokea tukio ambalo liliwaacha vinywa wazi wakazi wa eneo hilo baada ya wezi waliovamia duka la bwana mmoja kuzingirwa na nyuki katika mikono yao kiasi kwamba hawakuweza kushika kitu chochote. Tukio hilo ambalo lilivuta umati mkubwa wa watu kutoka

Kati ya hawa wanaume watatu niolewe na yupi?

Naitwa Leah kutoka Moshi, nina wanaume watatu, mmoja yupo Ulaya, huyu alikuwa ananimbia eti kwenda kule ni shida ila tuombe sana njia zifunguke ila mchakato uwende kwa haraka, nikamuuliza lini sasa akanijibu ataniambia. Ila hana noma fedha ananitumia na tuna miaka miwili kwenye mahusiano na

Nilivyomshinda mwanaume aliyetaka kuniharibia maisha

Naitwa Ummy kutokea Zanzibar, ni binti wa miaka 24, nimemaliza chuo mwaka uliopita, sasa mwishoni mwa 2021 nilianza mahusiano na huyo kaka mwenye miaka 31 kwa sasa. Mwaka 2022 alikua anataka nimzalie mtoto nikamwambia kwa huo muda siwezi kuzaa nikiwa nasoma pia nikiwa kwa wazazi