Njia niliyotumia kuwapa wezi wa magari yangu
Jina langu naitwa Musa kutokea Tabora, ni mfanyabiashara wa kuuza magari used hapa mjini kazi ambayo niliianza miaka zaidi ya 20 iliyopita baada ya kurthishwa na baba yangu. Kwa maana hiyo, mimi nasimamia biashara ya familia yetu nikiwa kama kaka mkubwa, nina wadogo zangu wawili,
Mbinu niliyotumia hadi akanioa mapema
Jina langu ni Fetty kutokea Ubungo, kabla sijamaliza chuo nilimpata mbaba (sijui kama ana watoto nimefatilia sijapata) ana miaka 35, mimi 22, kazi yake ni mwalimu, kusema kweli awali alinipenda sana. Alikuwa anakuja na gari yake magneton ananichukua napelekwa kwake (alipojenga ) nakaa pale ananitambulisha
Kutoka kudharauliwa kibiashara hadi kuingiza mizogo kutokea China
Jina langu ni Hemedy kutokea Mwanza mjini, ni mfanyabiashara ambaye nimefanikiwa sana lakini safari yangu tangu mwanzo kabisa haikuwa rahisi, ilinibidi kupamba sana na kujitoa kuliko ilivyo kawaida. Awali nilikuwa nimeajiriwa sehemu lakini baada ya miaka michache nikaamua kuanza biashara ya mashuka na pochi, sasa
Afumaniwa akichepuka na Bosi wake akiwa mjamzito
Jina langu ni Aisha kutokea Mbagala, tatizo langu lilikuwa tangu nipate mimba, nilikuwa natamani sana ule mchezo kila muda lakini changamoto ilikuwa ni kwamba mume walikwa ndio wale wanaume ambao mpaka atake yeye ndio na wewe upate. Yaani muda mwingine ilikuwa ni hadi mara moja
Njia ya kufanikisha kulipwa madeni yako
Jina langu ni Nelson kutokea Dar es Salaam, miaka kama miwili iliyopita niliajiriwa katika kiwanda kimoja cha kuoka mikate nikiwa kama msimamizi mkuu ingawa pia nilishiriki katika shughuliza uzalishaji. Hapo awali mimi nilikuwa nikifanya kazi katika kampuni nyingine shindani ambayo ilifanya vizuri sokoni kiumauzo kutokana
Nilivyowafumania mdogo wangu na mke wangu
Jina langu naitwa Mama Halima kutoka Lushoto, Tanga, nipo katika ndoa kwa miaka zaidi ya 17 sasa na ninaishi vizuri tu na mume ingawa zipo changamoto ambazo ziliwahi kukaribia kuivunja ndoa yangu. Moja ya changamoto hizo, ni mume wangu kutembea na mdogo wangu ambaye alikuja