Stories

Latest Stories

Bila kufanya hivi, huyu mwanaume hasingenioa

Mimi ni binti miaka 23 naishi single mwenyewe ila kuna mwanaume ambaye na mahusiano naye, sio Mtanzania ni wa nchi za jirani, yeye ameajiriwa kwenye kampuni fulani inayojishughulisha na ujenzi wa barabara. Mimi pia nafanya kazi yangu, sasa huyu kaka yeye kazini kwake kuna shida

Walioiba mashine yangu ya kusaga wajisalimisha wenyewe

Jina langu ni Aminieli kutoka Manyara, ni mtumishi wa umma huku ingawa familia yangu yote ipo Arusha mara nyingi kila mwisho wa mwezi ndio huwa naenda kuiona baada ya kupokea mshahara wangu. Huko Arusha nina mke ambaye tulifunga ndoa miaka 10 iliyopita na tumejaliwa kupata

Unavyoweza kupata mkopo wa hadi Sh1.2 bilioni

Kwa miaka wafanyabiashara wengi wa ndani na wale kimataifa wamekuwa wakiangaika kusaka mikopo yenye masharti na riba nafuhu ili kukuza biashara na miradi yao ya kiuchumi. Mimi nilikuwa mmoja wao ambaye nilisumbuka sana kutafuta mkopo ambao utawezesha kukamilisha mradi wangu wa umeme jua ambao nililenga

Aacha kazi ya ualimu baada ya kushinda Jackpot

Jina langu naitwa Mwalimu Kombo kutokea katika mji mdogo wa Kahama, baada ya kuhitimu Chuo nilibahatika kupata kazi ya ualimu katika shule ya binafsi mwaka 2008, kazi niliyoifanya hadi 2024. Kipindi nipo katika ajira nilipenda kufanya shughuli mbalimbali za kuniingizia kipato kama ufugaji na kilimo

Nawaza huyu mtoto nimpe baba mwingine!

Jina langu ni Sasha kutokea Kigamboni, Dar es Salaam, ni binti wa miaka 24, nina mtoto mmoja nilizaa na huyo kaka ni mwanachuo sasa tangu nimejifungua mpaka sasa mtoto ana mwaka na nusu huyo kaka hajawahi kutoa matumiz ya mtoto. Nikimwambia anasema yeye mwanafunzi hana

Mbinu ya kushinda tenda za fedha nyingi

Naitwa Mushi, ni miongoni mwa wafanyabiashara maarufu hapa Kilimanjaro, nijishughulisha na ujasiriamali na biashara tangu mwishoni mwa miaka 1990 nikiwa kijana mdogo kabisa. Kwa miaka yote ambayo nimekuwa katika biashara, sio kila wakati mambo yalikuwa yanaenda sawia, hapana. Kuna wakati tunasema bahari imechafuka, yaani hakuna