Stories

Latest Stories

Hadi nilimshauri mume wangu aoe mke mwingine!

Naitwa Mami kutokea Tarime, mimi mume wangu ananilalamikia sana kwamba nina kiburi na majibu ya hovyo, kiu kweli mimi ni kivuruge, yaani nina kiburi vibaya mno, na nina hasira za karibu vibaya mno, kidogo tu nakujibu hovyo. Kwa hiyo mume wangu anatia huruma sana, kiukweli

Nilivyomtia adabu mfanyakazi aliyeniibia Sh18 milioni

Jina langu ni Seleman kutokea Kagera, ni mmiliki wa duka kubwa la vifaa vya ujenzi katika mkoa huu nikiuza kwa bei ya jumla tangu mwaka 2010 ambapo ndipo nilifungua biashara hii. Nilianza biashara baada ya utafiti wa muda mrefu kwa kushirikiana na rafiki zangu ambao

Bila hivi biashara yangu ilikuwa inakwenda na maji!

Naitwa Athuman wa Kigoma, ni mfanyabiashara wa dagaa nikisambaza kwenda mikoa mbalimbali ya Tanzania na hata nje, ni kazi ambayo nilijifunza kwa mama yangu ambaye nilikuwa namuona akifanya tangu akiwa mdogo. Miaka miwili iliyopita mdudu mbaya aliingia katika biashara yangu, mambo yalikuwa wanaenda ndivyo sivyo,

Mpenzi wangu alivyokunywa sumu nikiwa ghetto kwake!

Mimi ni binti wa miaka 24 nipo kwenye mahusiano huu mwaka tatu sasa lakini haya mahusiano siyaelewi yaani mwaka jana alikuja nyumbn kutoa posa huku akidai kuwa anatafuta mahari lakin hadi leo hiii mahari bado hajapata!. Kingine ni kwamba huyu mchumba yangu ni malaya sana,

Mbinu niliyotumia kupata Bodaboda yangu iliyoibiwa!

Jina langu ni Musa kutokea Ruvuma, ni miongoni mwa vijana wengi wanaojishughulisha na kazi ya Bodaboda katika mkoa huu, ni kazi ambayo nimeifanya tangu nilipomaliza kidato cha nje mwaka 2010. Kwa hapa mkoani ni kazi ambayo imetoa fursa za ajira kwa vijana wengi lakini kumekuwa

Nimemkopea mume mshahara akanunua gari ila bado ananitesa!

Muda mfupi baada ya kuolewa, mume wangu aliniambia nikope mshahara wangu wote, nilikataa lakini niliishia kipigo, tena akiniambia kuwa mimi ni mbinafsi, sitaki kumpa pesa na kama siwezi kumsaidia wakati akiwa na shida basi sipaswi kuwa mke wake. Sikuwa na namna, nilichukua mkopo na kumpa,