Stories

Latest Stories

Ushirikina unavyoweza kutumika kuivuruga ndoa yako

Naitwa Seif kutokea Mara, nakumbuka mwaka juzi mke wangu aliondoka nyumbani na kuniachia pekee yangu nyumbani maana watoto wetu mmoja yupo chuo na mwingine tayari alishaenda kuanzisha familia yake huko Dar es Salaam. Kufuatia sakata hilo, katika miaka zaidi ya 20 niliyoishi kwenye ndoa, nimehitimisha

Kila mwanamke alinikataa ila sasa wao ndio wananisumbua

Jina langu ni Ally kutokea Moshi, ngoja leo niwape stori yangu, unajua kwa mujibu wa tamaduni za Kiafrika, ni kwamba mwanaume ndiye anamfuata mwanamke na kumwambia kuwa anampenda yaani kumtongoza ili kuwa naye kimahusiano. Hivyo si jambo la kawaida kwa mwanamke kufanya hivyo kwa mwanaume

Watoto wanavyoweza kufanya vizuri kimasomo

Jina langu ni Halima kutokea Tandale, ni mfanyabiashara mdogo pembezoni mwa jiji nikifanya kazi ya Mama Lishe, huwa narejea nyumbani usiku sana nikiwa nimechoka na muda mwingine huwa nawakuta watoto wamelala. Hadi sasa nimejaliwa kupata watoto wanne ambao bado kwa sasa wanasoma shule ya msingi,

Kweli nimeamini mke wa mtu ni sumu

Naitwa Hamisi kutokea Morogoro, mwaka 2014 kuna rafiki yangu alioa wakati huo mimi bado, sasa kila mara niliwatembelea nyumbani kwao, kwa vile alikuwa ni mtu wa kusafiri mara kwa mara, niliona hii ni fursa kwangu ya kumfaidi mke wake. Kusema kweli mke wake alikuwa mzuri

Je, umewahi kudhulumiwa?, pata haki yako sasa!

Naitwa Amani kutokea Babati, unajua hakuna kitu kibaya maishani kama kudhulumu mali ambayo sio yako, kuna watu mikosi haiondoki katika maisha yao kutokana na dhuluma walizozifanya huko nyuma. Nasema hivyo kwa sababu Baba yetu aliamua kununua magari mawili kwa ajili ya watoto wake ili hapo

Mbinu iliyowasaidia wengi kubadilisha maisha kupitia betting

Jina langu ni Alex kutokea Tabora, nimetokea katika familia masikini sana lakini sasa mimi ni mmiliki wa nyumba mbili hapa hapa mjini. Je, nilifanikiwa vipi?, ngoja nikueleze ilivyokuwa!. Kusema ukweli katika maisha yangu sikuwahi kuwaza kuwa nitakuja kujenga nyumba nikiwa na umri wa miaka 28,