Je, unataka mume awe anakupa mshahara wake?, fanya hivi
Kwa miaka mingi baadhi ya wanawake wamekuwa na wivu ya jinsi tunavyoishi na mume wangu, wengine huwa wanakuja kuniuliza nimewezaje kumtuliza mume wangu wakati wa kwao wanakuwa na michepuko mingi. Kuna Mama mmoja alinieleza kuwa mume wake amekuwa akilipwa mshahara nzuri na marupurupu kibao kazini
“Alimshika mama mtoto mkono na kuingia naye ndani,” simulizi ya kutisha
Miaka kama miwili iliyopita mtoto wa dada yangu alipotea katika mazingira ya kutatanisha akiwa anacheza na wenzake karibu na eneo la nyumbani kwao, hakuna aliyejua ni wapi alipotokomea. Mzazi wake alipita kila nyumba kumuulizia lakini hawakuweza kumpata, tulimsaidia kumtafuta hadi vijiji vya jirani ila hatukuweza
Mbinu ya kujenga uchumi imara na endelevu!
Naitwa Elisha, ni mkazi wa Tanga ambaye ajishughulisha na biashara ya kuuza vyombo vya ndani. Tangu mwaka 2016 nimefanya hii biashara kwa miaka mingi ila maendeleo hamna zaidi ya kulipa kodi pamoja na kupata chakula tu. Niliweza vumilia hali hiyo kwa muda wa miaka 2
Mwili umeharibika kwa vipele na makovu kisa wizi!
Jina langu ni Ally kutokea Dodoma, kazi yangu mimi ni mwalimu, kuna dada nilikutana nae club nikabadilishana nae namba, siku hadi siku tukawa wapenzi kitu ambacho hata sikutarajia. Siku moja nikamtoa dinner, tukapiga story nyingi sana, baada ya hapo akaja magetoni, akanielezea shida zake kuwa
Kumbe nilikuwa kwenye mpango wa kutolewa kafara!
Jina langu ni Jamal kutoka Moshi, ni kijana wa miaka 28 kwa sasa, mwaka 2018 nilitengwa na familia yangu kisa tu kumpenda mwanamke ambaye hawakumpenda wao kama familia. Shida ilianza pale mama na kaka yangu mkubwa walipogundua kwamba nimempenda binti huyo ambaye wao hawakumtaka, ilisukwa
Kweli nimeamini wazazi hawaachani kamwe!
Jina langu ni Suma kutokea Kagera, nilikuwa na mwanamke hadi tukazaa nae watoto wawili hapo katikati kukawa na mambo mengi yaliyotufanya hadi tukatengana. Ila cha kusikitisha mimi niliamua kuoa kabisa mwanamke mwingine, watu wapenda chuki walimwendea na kumwambia wampe hadi nauli aje na watoto akaniharibie