Siri ya kuwa na mpangilio mzuri wa familia

Hadi sasa naweza kusema safari yangu katika ndoa hajawahi kuwa rahisi hata kidogo, nimepitia changamoto nyingi, ni milima na mabonde, mapana na membamba, kusuka na kunyoa ila nashukuru nilifanikwa kushinda mambo yote hayo.

Naitwa Tanasha kutokea Nairobi nchini Kenya, kwa sasa ni mama wa watoto saba, niliolewa na mume wangu, Noel takribani miaka 10 iliyopita, uhusiano wetu ulianza tangu kipindi tunasoma chuo na kuwekeana miadi ya kuoana.

Katika maisha yangu ya ndoa kuna kitu ambacho watu huwa wanakishangaa sana kuhusu mimi kutokana sio kawaida kuona jambo kama hilo kwa watu wengi.

Ni katika uzao wangu ambao naweza kusema watoto wangu wamezaliwa kufuatana sana, naweza kusema ni wastani wa kila mwaka mmoja nilikuwa najaliwa kupata mtoto, nashukuru nilikuwa najifungua kwa njia za kawaida.

Hiyo ilifanya hadi Madaktari wa katahadharisha kuhusu mwenendo wa afya yangu kwa  sababu mwanamke akishajifungua anatakiwa kupumzika walau kwa miaka miwili ndipo abebe ujauzito mwengine ila kwangu ilikuwa ni tofauti kabisa.

Hata hivyo, mume wangu ndio alikuwa anapenda mimi kuzaa mfululizo bila mimi kujua nini lengo lake, wakati nimetoka kujifungua mtoto huyu wa tano ndipo niligundua kuwa mume wangu alikuwa anahitaji mtoto wa kiume maana watoto wangu wa kwanza hadi huyo wa tano walikuwa wa kike.

Mume wangu alisema ni lazima apate mtoto wa kiume ambaye atakuja kumrithisha mali na kuendeleza jina lake, hivyo kiu yake kubwa ni kupata mtoto wa kiume, hiyo ndio kiu yake kubwa maishani siku zote.

Basi nilijaribu kufuata kanuni fulani kama ambavyo tulielekezwa na wataalamu wa afya ili kupata mtoto wa kiume lakini nilikuja tena kujifungua mtoto wake. Unaambiwa nilizaa mfululizo hadi majirani wakawa wanasema ninazaa kwa fujo kama panya, mimi hata sikuwa najali maneno yao.

Mimi niliendelea na maisha yangu, uzuri ni kwamba mume wangu sio alikuwa anachukia watoto wa kike, bali alikuwa anataka mtoto tu wa kiume kama nilivyotangulia kueleza hapo awali.

Mume wangu aliniambia tujaribu tena kuzaa mtoto mwingine wa sita tuone kama tutapata wa kiume, nilijaribu kumuitikia lakini ilikuwa ni kishingo upande, sikuwa na hamu ya kuzaa tena maana malezi ya watoto wadogo wengi yalianza kunichosha.

Siku mmoja nilipoenda clinic nilikutana na rafiki yangu Mama Judi, basi katika maongezi yetu ndipo nikamgusia kuwa mume wangu anataka mtoto wa kiume. Mama Judi aliniambia hata mume wake alikuwa hivyo lakini baada ya kuzunguka sana alikuja kupata usaidizi kutoka kwa Kiwanga Doctors.

“Huyu Kiwanga Doctors alinifanyiwa matambiko yake na kupata mtoto wa kiume, nilikuwa nimesumbuka sana hadi kukata tamaa ila kwake nikapata hitaji la moyo wangu, chukua namba yake hii +254 769404965 mpigie utakusaidia,” alisema Mama Judi.

Ile siku baada ya kurejea nyumbani niliwasiliana naye na kumueleza kiu ya mume wangu ni kupata mtoto wa kiume, alinieleza hilo halina shinda kwani dawa zake nyingi zinafanya kazi ndani ya siku tatu pekee.

Katika hatua hii sikumwambia mume wangu kuwa nimewasiliana na Kiwanga Doctors, nilitaka ije kuwa suprise kwake, na kweli nilipokuja kujaliwa mtoto wangu huyu wa sita alikuwa wa kiume.

Nakuambia mume wangu alifurahi sana hadi kuamua kwenda kuninunulia  zawadi ya kipekee ambayo hajawahi kunipa tangu tunaoana, alininunulia gari jipya kabisa kitu ambacho sikuamini kabisa machoni kwangu maana hilo lilikuwa gari la kwanza katika familia yetu.

Baada ya mwaka mmoja na nusu nilibeba ujauzito mwingine tena wa mtoto wetu wa saba, huyu naye alikuja wa kiume kitu kilichoongeza furaha mara dufu katika mafamilia yetu ambayo sasa ina jumla ya watu tisa.

Dada zao wawili wakubwa nao kwa kweli walifurahi sana kuona wamepata wadogo zao wa kike, walinisaidia sana katika malezi, hadi sasa wanawapenda sana wadogo zao hawa, wanawalinda na kuwajali kuliko kitu chochote kile maishani mwao.

Baada ya kupona uzazi niliwasha gari langu na kwenda kwa Kiwanga Doctors kutoa shukrani zangu, katika mazungumzo yetu aliniambia anatoa huduma nyingine kama kumfunga mume au mke asitokea nje ya ndoa, kusaidia wanawake kupata watoto, kutibu upungufu wa nguvu za kiume n.k.

Ni watu wengi hadi sasa wamepata uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +254 769404965 au tembelea tovuti yao kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.

Share the Post:

Related Stories

“Nilikuwa nalala na kiu” mrembo asimulia mazito

Hakuna taasisi ina siri kubwa kama ndoa jamani na hiyo ni kutokana na msingi wake wa kuanzishwa kwake, haifai hata kidogo kutoa siri za ndani ya ndoa kwa marafiki.   Hata hivyo, nikiri wazi kuna...

Unavyoweza kujikinga na wabaya wako!

Kitu ambacho hatuwezi kukipinga ni kusema kwamba hakuna maadui katika maisha yetu, ukweli ni kwamba maaduni wapo na wamekuwa wakifanya kazi usiku na mchana kuhakikisha maisha yetu wanarudi nyuma...

Huyu mwanamke kanisingizia mambo ya aibu sana!

Mimi ni kijana ambaye najishughulisha na biashara mbalimbali, katika maisha yangu nimejifunza kuwa mtu ambaye unamuamini sana ndiye anaweza kukufanyia jambo paya sana maishani ingawa kuna watu wazuri...

Je, unataka kuongezwa mshahara kazini kwako?, hafanya hili

Nyongeza ya mshahara ni jambo ambalo limekuwa likimvutia kila mfanyakazi katika kazi yake, ndivyo ilivyokuwa na kwangu mimi, kila mara nilikuwa nikituma maombi ya nyongeza ya mshahara lakini...

Dawa ya kuongeza mvuto wa mapenzi ilivyonisaidia

Naitwa Suma kutokea Mwanza, nimekuwa nikifanya kazi ya ujenzi maeneo mbalimbali hapa nchini na kweli nashukuru nimekuwa nikipata fedha nzuri ambayo inatosha kuendesha maisha yangu. Kwa sasa naendesha...

Huna haja ya kumlinda mwanaume katika ndoa, haya hili!

Ukweli ni kwamba wanawake wengi wamekuwa wanasalitiwa sana wanaume zao ndani ya ndoa jambo linaloacha maumivu makali katika nyoyo zao na kubakia na huzuni tu. Mimi sikutaka kitu kama hicho katika...

Wezi Walivamia Duka Langu Usiku… Siku 7 Baadaye, Nyuki Wakawatambua kwa Ajabu

Siku moja asubuhi mapema, nilifika kazini kama kawaida. Lakini kabla hata sijafungua mlango wa duka langu, nilihisi kitu kimeenda kombo. Mlango ulikuwa wazi nusu, na ndani palikuwa pamevurugwa kama...

Je, unateswa na upotevu wa fedha?, fanya hivi

Hakuna mtu anayependa kuona fedha zake zinapotea bila ya yeye kuzifanyia shughuli yoyote ya kimaendeleo katika maisha yake, kila mtu anataka kuona fedha yake inatoka kihalali kabisa. Jina langu ni...

“Usiku sikuweza kupata usingizi kabisa,” jamaa asimulia

Jina langu ni Juma kutokea Pwani, ninaishi na mchumba wangu tangu mwaka 2022, katika maisha yangu hakuna ugonjwa ambao umewahi kunitesa kama Kaswende, niliumwa kiasi kwamba nikakata tamaa ya kuishi...