
Rafiki Yangu Aliyepunguza Uzito Kwa Dawa za Asili Lakini Mabadiliko Yake Yalifichua Siri Nzito
Hakuwa mtu wa kujionesha, lakini kila aliyekuwa karibu naye alijua changamoto yake kubwa ilikuwa ni uzito. Alikuwa na mwili mkubwa tangu utotoni na hilo lilimletea matatizo ya kisaikolojia.
Alikua mtu wa kujificha, hakupenda kupigwa picha na kila mara aliona watu wanamcheka. Jina lake ni Hellen, rafiki yangu wa karibu tangu tukiwa sekondari.
Baada ya kumaliza shule, kila mmoja wetu aliendelea na maisha yake, ila tulibaki tukiwasiliana mara kwa mara. Ilikuwa ni miaka miwili tangu tuonane uso kwa uso.
Nilishangaa sana nilipokutana naye mjini siku moja hakuonekana kama yule Hellen niliyemjua. Alikuwa amepungua uzito kupita kiasi, uso wake ulikuwa laini na mng’ao wa ajabu. Kwa kweli, alibadilika kiasi kwamba nilimkumbatia na kujiuliza mara mbili kama ni yeye kweli.
Nilipomdadisi alifanya mazoezi gani au lishe gani alifuata hadi kuwa vile, alinitazama kwa tabasamu la kusikitika kisha akasema, “Nisingeweza kufikia hivi kwa mazoezi peke yake, wala lishe. Kuna njia nyingine ilinisaidia sana.” Awali alikwepa kueleza kwa undani, lakini baada ya msisitizo wangu, alifungua moyo wake.
Hellen aliniambia kuwa baada ya kujaribu kila aina ya lishe, virutubisho, hata kufunga kula kwa siku kadhaa bila mafanikio, alikata tamaa kabisa. Alijiona ameshindwa na mwili wake mwenyewe.
Hilo lilimsukuma kutafuta msaada wa kiasili, ambao kwa kweli hakuwa ameufikiria kabla. Alielekezwa kwa wataalamu wa tiba za mitishamba waliompatia dawa za kuondoa mafuta mwilini, kupunguza hamu ya kula, na kurekebisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula.
Kwa wiki chache tu baada ya kuanza kutumia dawa hizo, alianza kuona mabadiliko. Tumbo lilianza kushuka, miguu iliyokuwa mizito ikawa nyepesi, na nguo zilizomkataa awali zikaanza kumtosha.
Ndani ya miezi miwili, alijikuta akipungua zaidi ya kilo 20. Hakuwahi kuona mabadiliko ya haraka kiasi hicho hata alipokuwa kwenye gym kila siku. Lakini mabadiliko hayo hayakuja na uzuri pekee. Ndani ya familia yao, kulitokea migogoro isiyotabirika.
Kaka yao mkubwa alianza kumshutumu kuwa amefanya mambo ya kishirikina ili apendeze haraka na kuwavutia wanaume. Mama yao, aliyekuwa mcha dini sana, alimwita na kumwambia asipoeleza ukweli wa alichotumia, atamfukuza nyumbani.
“Ilifika hatua nikajutia kwanini nilianza safari hii,” aliniambia kwa sauti ya chini. “Sikuwa nimefanya chochote kibaya, nilitumia dawa za asili tu ambazo zilinisaidia. Lakini watu walitaka kuniona nateseka, walipoona nimepata matokeo mazuri haraka, wakaanza kuhoji na kunihukumu.”
Baada ya mateso ya maneno, Hellen aliamua kwenda tena kwa wale waliomsaidia awali na kuwaeleza matatizo mapya aliyokuwa akikumbana nayo. Wataalamu hao wa dawa za mitishamba walimpa dawa za kuondoa husuda na chuki, ambazo zilimsaidia kulinda baraka zake.
Ndani ya wiki mbili, kaka yake aliacha kumtukana, mama yake alibadilika na kuanza kumwombea, na ndugu wengine waliokuwa wakimsema vibaya walikimya kabisa.
Hellen aliniambia kuwa tiba za mitishamba si za uchawi kama watu wengi wanavyoamini. Zinaweza kuwa msaada mkubwa ikiwa utatumia kwa njia sahihi na kwa maelekezo ya wataalamu waliobobea.
“Sikuwahi kufikiria kuwa dawa za mitishamba zingebadili maisha yangu hivi,” alisisitiza. “Lakini ukweli ni kwamba zingine ni bora hata kuliko dawa tunazopewa hospitalini.”
Leo hii Hellen amejiamini zaidi. Anafanya kazi kwenye kampuni ya mawasiliano, anavaaa mavazi ya kisasa bila kujificha, na anaendesha kampeni za kuhamasisha wanawake wasiogope miili yao lakini pia wasisite kutafuta suluhisho mbadala kama njia za asili.
Mimi kama rafiki yake, nilijifunza kuwa si kila anayebadilika haraka ametumia njia zisizofaa. Wengine wanabarikiwa kwa msaada wa asili ambao tumezoea kuupuuza. Kama huamini, mtazame Hellen sasa na kumbuka, wakati mwingine jibu la matatizo yako halipo mbali kama unavyofikiria.
Kwa yeyote anayekumbana na changamoto kama hizo iwe ni kupunguza uzito au shida nyingine ya kiafya nashauri utafute msaada kwa Kiwanga Doctors. Wao ndio waliomsaidia rafiki yangu Hellen kwa kutumia dawa za mitishamba.
Wasiliana nao kupitia simu +255 763 926 750 au tembelea tovuti yao: www.kiwangadoctors.co.tz au tuma barua pepe kwa [email protected].