Nilivyoshinda mkosi wa kukimbiwa na wanawake!

Ukweli ni kwamba huku duniani kuna mikosi ya kila namna, mikosi ni mfululizo wa visa vibaya ambavyo vinaweza kuwa vinajirudia kila wakati na bila kujua sababu ni nini hasa.

Mathalani kuna mtu kila bishara anayofungua haiwezi kufikisha mwaka mmoja, mwingine kila gari analonunua lazima liibiwe, mwingine kila mtoto anayempeleka shule anafeli.

Au kuna familia unakuta mabinti wanazalia nyumbani tu bila kuolewa, ukichunguza unakuja kugundua hata mama yao naye alizalia nyumbani na hapo watoto wanapoishi ni kwa Babu na Bibi yao.

Hiyo ndio mikosi yenyewe, kipindi ambacho jamii zetu zinaheshimu mila na tamaduni kabla ya kuathiriwa na utamaduni za magharibi zilizoletwa na utandawazi, jambo kama hilo likitokea lazima wazee wakae na wafanye jambo.

Ila sasa hiyo imekuwa ni ngumu, watu wanapata mikosi kila siku, wanaumia, wanarudi nyuma kimaendeleo na kiuchumi, hakuna anaweza kujua kipi kifanyike kwa sasa.

Hata hivyo, kuna hawa Kiwanga Doctors, ni kiboko kabisa ya mikosi katika maisha, hawa ndio walioniondoa katika mkosi wa ndoa zangu kuvunjika.

Miaka ya nyuma kila mwanamke ambaye nilikuwa namuoa, baada ya miaka miwili, basi angechukua vitu vyake na kuondoka bila kusema sababu yoyote ile na mara moja angeolewa na mwanaume mwingine.

Wanawawake wanne ambao niliwaoa waliondoka na kwenda kuolewa na watu wengine, na kibaya zaidi walikuwa wanaondoka bila hata kunizalia mtoto.

Ndipo nilipopata tiba kutoka kwa Kiwanga Doctors na sasa mambo ni shwari kabisa, nimeoa na huu ni mwaka wa sita nipo kwenye ndoa na tumejaliwa kupata watoto wawili na mmoja tayari ameanza shule ya msingi.

Ikiwa unahitaji huduma kama hiyo, ninakushauri kuwa fika au wasiliana na Kiwanga Doctors. Tiba zao zinafanya kazi haraka na wanaweza kukusaidia katika changamoto mbalimbali za kimaisha, kuanzia masuala ya uhusiano hadi matatizo ya kiafya.

Basi chukua hatua muhimu leo hii kwa kuwasiliana na Kiwanga Doctors kupitia namba +255 763 926 750 au tembelea tovuti yao, kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi katika eneo zima la Afrika Mashariki na Kati.

 

Share the Post:

Related Stories

Tafrani mpangaji akijimilikisha nyumba isiyo yake!

Jina langu Zakayo kutokea Musoma, Baba yetu aliamua kujenga nyumba kubwa mbili kwa ajili ya watoto wake ili hapo baadaye tusije kuteseka katika maisha ya kulipa kodi, kila mtoto alipewa yake, mimi na...

Ijue siri ambayo wafanyabiashara wengi hawaisemi

Katika kutafuta kwangu nimekuja kugundua ya kuwa kila Mfanyabiashara anakuwa na siri yake ya mafanikio, ni wachache sana ambazo wanaweza kuzungumza wazi wazi jinsi ambavyo wamekuza biashara zao...

Mama mwenye nyumba kanitongoza, nishindwa nimjibu vipi!

Katika haya maisha unajua kuna mambo yanaweza kukutokea hadi wewe mwenyewe ukawa unashangaa maana yake ni ipi hasa, ndicho nilichonikuta mimi pale ambapo mama mwenye nyumba aliponiita nyumbani na...

Unataka kuwa kiongozi wenye ushawishi?, fanya haya

Hakuna kitu kizuri katika maisha au jamii kama kuwa na nguvu ya ushawishi, hiki ni kitu ambacho kila mtu anapenda kuwa nacho ingawa wanasiasa mara nyingi ndio huwa ukitamani ili waweze kufanya siasi...

Tamaa za ujana zilivyonipa kisonono!

Kwa hakika tamaa za ujana ni mbaya sana, na yeyote anayejaribu kukidhi tamaa zake za ujana kwa pupa ni lazima utapata tabu sana kama ambavyo zilinikuta na mimi miaka ya nyuma. Jina langu ni Dulla...

Nilivyoshinda mkosi wa kukimbiwa na wanawake!

Ukweli ni kwamba huku duniani kuna mikosi ya kila namna, mikosi ni mfululizo wa visa vibaya ambavyo vinaweza kuwa vinajirudia kila wakati na bila kujua sababu ni nini hasa. Mathalani kuna mtu kila...

Jinsi ya kujikinga na dhulma katika kazi au ajira

Hakuna ubishi kuwa kila binadamu ana ndoto kubwa za kufanikiwa kimaisha, lakini ukweli ni kwamba sio kila mwenye ndoto inaweza kutimia na pengine inaweza kutimia ila kwa kuchelewa sana. Ndivyo maisha...

Mvuto wa kimapenzi alivyonipatia utajiri

Jina langu ni Majaliwa kutokea Mombasa nchini Kenya, ni Baba wa familia, mimi na mke wangu katika miaka sita ya ndoa yetu tumejaliwa kupata watoto wawili, mmoja wa kiume na mwingine wa kike...

Kutoka mwanzo mgumu wa biashara hadi kufanikiwa!

Ukweli ni kwamba kila mfanyabiashara ambaye unaona amefanikiwa, ana siri kuhusu mafanikio, kuna jambo la muhimu nyuma ya pazia katika yale mafanikio yake, na sio wote wapo tayari kuzungumzia hilo...