Nilivyoshinda kikwazo cha kuolewa baada ya kuchelewa sana!

Naitwa Mwajuma kutokea Ilala, Da es Salaam, ni mwanamke msomi nikiwa na shahada ya uzamilia katika uchumi, nimeajiriwa katika kampuni fulani nikiwa kama Mkuu wa Kitengo, nimefanya kazi hii kwa zaidi ya miaka 16 kwa sasa.

Naweza kusema katika maisha yangu upande wa elimu na kazi sijapitia changamoto nyingi kama zile nilizopitia upande wa mahusiano, huku nimezungushwa sana hadi nafikisha umri wa miaka 42 nilikuwa sijaolewa.

Kila mwanaume niliyekuwa naye katika mahusiano nikimwambia umefika wakati sasa tufunge ndoa au akajitambulishe kwa wazazi wangu alikuwa anatafuta sababu ya kukimbia.

Baadhi ya watu wanasema wanaume wengi wanaogopa kuoa wanawake wasomi kutokana wanaona ni vigumu kuwasimamia kitu ambacho naona sio kweli, hiyo ni dhana potofu tu katika jamii yetu.

Mimi kama mke nina wajibu wa kumtii na kumjali mume wangu, siwezi kuwa na kiburi au kufanya jeuri kisa nimesoma au nimemzidi elimu, hapana!.

Hata mume wangu wa sasa ni shahidi katika hilo na mwenyewe anasema hakutarajia kama ni mtu wa hivyo kwani hata mwanzo tulivyofunga ndoa alikuwa na aina fulani ya wasiwasi.

Nakumbuka baada ya mahusiano yangu kama ya tano kuvunjika, niliamua kutafuta njia mbadala, hiyo ni baada ya kuona nimefikisha miaka 39 bila kuolewa jambo ambalo lilifanya hata nyumbani kwetu kuanza kuniuliza maswali.

Katika kutafuta wapenzi waaminifu katika mtandao, nilijikuta nimeingia kwenye tovuti ya Kiwanga Doctors hapa nilipata kufahamu kuwa anaweza kuwasaidia wanawake kupata waume kwa muda mfupi tu na kufunga nao ndoa.

Hatimaye nilichukua namba yake na kuwasiliana naye mara moja, Kiwanga Doctors kutokea Migori nchini Kenya aliniambia licha ya umri wangu wa miaka 38 nisiwe na hofu kwani nitapata mume tena mwenye viwango maana ameshanifanyia marriage spell.

Nakumbuka nilingojea kwa hamu kuona hilo likitimia katika maisha yangu maana ilifika hatua hadi naogopa kwenda nyumbani kusalimia kwa kuhisi wataanza kuniuliza kwanini hadi sasa sijaolewa.

Jioni moja nikiwa natokea kazini niliita Uber ije inichukue, kufika yule dereva wa Uber alikuwa ni rafiki yangu wa miaka mingi ambaye tulikuwa tumeshibana kipindi tunasoma sekondari.

Yule kaka alifurahi sana kukutana na mimi na kuniambia kuna wakati walitafuta mawasiliano yangu bila mafanikio, tulizungumza mengi na akanipeleka hadi nyumbani na kumuonyesha ninapoishi. Tulibadilishana namba za simu na akaniahidi kwamba wikiendi atakuja kunitembelea.

Wikiendi iliyofuatia alikuja nyumbani tukakaa na kuzungumza, alinieleza kwamba kuna wakati alioa ila alikuja kuachana na mkewe miaka mitatu iliyopita na sasa hana mtu. Sikutaka kujirahisisha kwake, tuliendelea kuwasiliana na kutembeleana hadi pale yeye mwenyewe aliponitamkia kuwa ananipenda na anataka kunioa.

Nilifurahi sana kusikia hivyo, mara moja tulianza michakato ya kutambulishana kwa wazazi kwa pande zote mbili na hatimaye tulifunga ndoa na sasa tumejaliwa kupata mtoto mmoja.

Namshukuru sana Kiwanga Doctors, mtaalamu huyo ana uwezo kumfanya mtu kuwa na bahati maishani mwake, kushinda katika michezo ya bahati nasibu, kukukinga na maadui zako, kukufanya ushinde migogoro kama ya ardhi na kuwa na mvuto wa kimapenzi.

Ni watu wengi hadi sasa wamepata uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +254 116469840 au tembelea tovuti yao kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.

Share the Post:

Related Stories

Siri ya mtoto wa Mama Lishe kufanya vizuri kimasomo

Naitwa Mama Judi, nimejaliwa kupata watoto wanne ambao bado kwa sasa wanasoma shule ya msingi, nawapenda sana watoto wangu wote na nimekuwa nikihakisha kuwa wanapata kila mahitaji hasa ya shuleni...

Jamaa achukua uamuzi mgumu kisa mkewe kumsusia

Jina langu Matata kutokea Arusha, baada ya mke wangu kuanza tabia ya kuninyima tendo la ndoa kwa kisingizio kuwa amechoka na shughuli za kila siku, nilianza kupata wasiwasi kuhusu mwenendo wa tabia...

Tafrani mpangaji akijimilikisha nyumba isiyo yake!

Jina langu Zakayo kutokea Musoma, Baba yetu aliamua kujenga nyumba kubwa mbili kwa ajili ya watoto wake ili hapo baadaye tusije kuteseka katika maisha ya kulipa kodi, kila mtoto alipewa yake, mimi na...

Ijue siri ambayo wafanyabiashara wengi hawaisemi

Katika kutafuta kwangu nimekuja kugundua ya kuwa kila Mfanyabiashara anakuwa na siri yake ya mafanikio, ni wachache sana ambazo wanaweza kuzungumza wazi wazi jinsi ambavyo wamekuza biashara zao...

Mama mwenye nyumba kanitongoza, nishindwa nimjibu vipi!

Katika haya maisha unajua kuna mambo yanaweza kukutokea hadi wewe mwenyewe ukawa unashangaa maana yake ni ipi hasa, ndicho nilichonikuta mimi pale ambapo mama mwenye nyumba aliponiita nyumbani na...

Unataka kuwa kiongozi wenye ushawishi?, fanya haya

Hakuna kitu kizuri katika maisha au jamii kama kuwa na nguvu ya ushawishi, hiki ni kitu ambacho kila mtu anapenda kuwa nacho ingawa wanasiasa mara nyingi ndio huwa ukitamani ili waweze kufanya siasi...

Tamaa za ujana zilivyonipa kisonono!

Kwa hakika tamaa za ujana ni mbaya sana, na yeyote anayejaribu kukidhi tamaa zake za ujana kwa pupa ni lazima utapata tabu sana kama ambavyo zilinikuta na mimi miaka ya nyuma. Jina langu ni Dulla...

Nilivyoshinda mkosi wa kukimbiwa na wanawake!

Ukweli ni kwamba huku duniani kuna mikosi ya kila namna, mikosi ni mfululizo wa visa vibaya ambavyo vinaweza kuwa vinajirudia kila wakati na bila kujua sababu ni nini hasa. Mathalani kuna mtu kila...

Jinsi ya kujikinga na dhulma katika kazi au ajira

Hakuna ubishi kuwa kila binadamu ana ndoto kubwa za kufanikiwa kimaisha, lakini ukweli ni kwamba sio kila mwenye ndoto inaweza kutimia na pengine inaweza kutimia ila kwa kuchelewa sana. Ndivyo maisha...