Nilivyomshinda mwanaume aliyetaka kuniharibia maisha

Naitwa Ummy kutokea Zanzibar, ni binti wa miaka 24, nimemaliza chuo mwaka uliopita, sasa mwishoni mwa 2021 nilianza mahusiano na huyo kaka mwenye miaka 31 kwa sasa.

Mwaka 2022 alikua anataka nimzalie mtoto nikamwambia kwa huo muda siwezi kuzaa nikiwa nasoma pia nikiwa kwa wazazi akasema basi 2023 nitazaa nikasema nitafikiria, 2023 ilipofika pia majibu yangu hayakubadilika nilibaki na msimamo uleule.

July 2024 baada ya kumaliza chuo tulipishana kwa suala la kuzaa mimi nikadai siwezi kuzaa nikiwa naishi kwa wazazi akatulia, sasa nilipomaliza chuo aliniambia niende kwake nilienda alipokua anaishi ni mkoa tofauti nikakaa kama wiki mbili hivi.

Nilienda nikiwa siku salama kwenye mzunguko, picha linaanza nilivyofika tulikaa kidogo kama masaa mawili akatoka sasa wakati natandika kitanda pale kitandani nikaona hereni niliichukua nikaweka dirishani na sikumuuliza chochote.

Siku iliyofuata wakati kaenda kazini kwenye droo ya dressing table nikaona kasha la kipimo cha mimba nikaacha palepale bila kumuuliza kitu mpaka naondoka kwake.

Nilivyorudi kwetu kama wiki mbili hivi tunawasiliana kawaida alihisi nitamwambia nina mimba akaona kimya akaniuliza mbona huniambii chochote nikamwambia kipi?.

Akasema husikii hata kichefchef si tulikubaliana ukimaliza chuo utazaa nikamwambia bado naishi na wazazi hivyo sio rahisi kuzaa akachukia nilivoona vile nikajua tu ipo siku kitaniramba kwa sababu hapo tu ana watoto wawili wanawake tofauti.

Hapo nikaamua kuachana naye moja kwa moja, hiyo ni baada ya kwenda kwa Kiwanga Doctors huko Migori nchini Kenya na kunifanyia dawa zake (love spell & marriage spell) ambazo ziliniwezesha kupata kazi na mwanaume wa maisha yangu.

Kwa sasa nina kazi yangu nzuri na nipo na mwanaume ambaye ameniuoa hivi karibuni, nachoweza kusema wanawake kuweni makini kwani kuna wanaume wao ni kutaka kuharibu tu maisha ya watu. Wasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba +254 769404965 au tembelea tovuti yao www.kiwangadoctors.co.ke au tuma email [email protected].

Share the Post:

Related Stories

“Nilikuwa nalala na kiu” mrembo asimulia mazito

Hakuna taasisi ina siri kubwa kama ndoa jamani na hiyo ni kutokana na msingi wake wa kuanzishwa kwake, haifai hata kidogo kutoa siri za ndani ya ndoa kwa marafiki.   Hata hivyo, nikiri wazi kuna...

Unavyoweza kujikinga na wabaya wako!

Kitu ambacho hatuwezi kukipinga ni kusema kwamba hakuna maadui katika maisha yetu, ukweli ni kwamba maaduni wapo na wamekuwa wakifanya kazi usiku na mchana kuhakikisha maisha yetu wanarudi nyuma...

Huyu mwanamke kanisingizia mambo ya aibu sana!

Mimi ni kijana ambaye najishughulisha na biashara mbalimbali, katika maisha yangu nimejifunza kuwa mtu ambaye unamuamini sana ndiye anaweza kukufanyia jambo paya sana maishani ingawa kuna watu wazuri...

Je, unataka kuongezwa mshahara kazini kwako?, hafanya hili

Nyongeza ya mshahara ni jambo ambalo limekuwa likimvutia kila mfanyakazi katika kazi yake, ndivyo ilivyokuwa na kwangu mimi, kila mara nilikuwa nikituma maombi ya nyongeza ya mshahara lakini...

Dawa ya kuongeza mvuto wa mapenzi ilivyonisaidia

Naitwa Suma kutokea Mwanza, nimekuwa nikifanya kazi ya ujenzi maeneo mbalimbali hapa nchini na kweli nashukuru nimekuwa nikipata fedha nzuri ambayo inatosha kuendesha maisha yangu. Kwa sasa naendesha...

Huna haja ya kumlinda mwanaume katika ndoa, haya hili!

Ukweli ni kwamba wanawake wengi wamekuwa wanasalitiwa sana wanaume zao ndani ya ndoa jambo linaloacha maumivu makali katika nyoyo zao na kubakia na huzuni tu. Mimi sikutaka kitu kama hicho katika...

Wezi Walivamia Duka Langu Usiku… Siku 7 Baadaye, Nyuki Wakawatambua kwa Ajabu

Siku moja asubuhi mapema, nilifika kazini kama kawaida. Lakini kabla hata sijafungua mlango wa duka langu, nilihisi kitu kimeenda kombo. Mlango ulikuwa wazi nusu, na ndani palikuwa pamevurugwa kama...

Je, unateswa na upotevu wa fedha?, fanya hivi

Hakuna mtu anayependa kuona fedha zake zinapotea bila ya yeye kuzifanyia shughuli yoyote ya kimaendeleo katika maisha yake, kila mtu anataka kuona fedha yake inatoka kihalali kabisa. Jina langu ni...

“Usiku sikuweza kupata usingizi kabisa,” jamaa asimulia

Jina langu ni Juma kutokea Pwani, ninaishi na mchumba wangu tangu mwaka 2022, katika maisha yangu hakuna ugonjwa ambao umewahi kunitesa kama Kaswende, niliumwa kiasi kwamba nikakata tamaa ya kuishi...