Skip to content
...
   

Mume Wangu Alianza Kulala Nje Bila Sababu—Na Hatimaye Niligundua Mke Mwenzangu Alikuwa Rafiki Yangu wa Damu

   

Mwaka wa pili baada ya ndoa yetu ulikuwa mzuri sana. Tulikuwa kama marafiki wawili waliopendana kwa dhati. Mume wangu, Daniel, alikuwa ni mtu wa familia, mwenye bidii kazini na kila wakati alikuwa na muda kwa ajili yangu.

Hakuna aliyewahi kuniambia ndoa inaweza kubadilika ghafla kama upepo wa jioni lakini ndivyo ilivyokuwa kwangu. Ilianza polepole. Alianza kurudi nyumbani usiku wa manane, mara nyingine akidai alichelewa ofisini au alikuwa na marafiki.

Sikutilia shaka sana kwa sababu nilimwamini kupita kiasi. Lakini tabia hiyo ilipozidi na akaanza kulala nje kabisa bila hata kunipigia simu, moyo wangu ulianza kuhisi jambo sio la kawaida.

Kila nilipouliza, alinikasirikia na kusema ninamsumbua. Nilitulia kimya. Nilianza kumfuatilia kwa makini lakini hakukuwa na ushahidi wa moja kwa moja.

Simu yake aliweka nenosiri, na kila alipoipokea mbele yangu, aliondoka chumbani. Lakini cha kushangaza ni kuwa kila aliporudi nyumbani, alinipa pesa nyingi au zawadi za ghafla, labda ili kunifunga mdomo.

Katika hali hii ya sintofahamu, niliamua kumshirikisha rafiki yangu mkubwa, Ruth. Alikuwa kama dada kwangu. Tumekulia mtaa mmoja na hata tuliolewa karibu kipindi kimoja. Kila nilipomwambia kilichokuwa kinaendelea, alinipa ushauri wa “kuwa na subira, wanaume wengi hupitia mabadiliko ya kihisia.”

Lakini usiku mmoja, nilimpigia Daniel akiwa hajafika nyumbani, akashindwa kuzima simu kama alivyokuwa amezoea. Niliskia sauti ya kike ikicheka kwa mbali, sauti ambayo sikuwahi kuisikia karibu naye kabla. Nilipoinua sauti na kuuliza ni nani alikuwa naye, simu ilikatwa na haikupatikana tena usiku huo.

Moyo wangu ulikosa usingizi. Asubuhi yake, nilimwambia Ruth kuhusu kilichotokea. Alionekana kujali lakini pia alionekana kuwa na haraka isiyo ya kawaida ya kuondoka nyumbani kwangu.

Siku mbili baadaye, nikiwa kwenye soko kuu, nilimwona Daniel kwenye gari na mwanamke aliyefunika uso wake kwa mtandio mweusi. Niliamua kuwafuata kwa umbali hadi waliposhuka kwenye nyumba moja ya kifahari.

Nilishangaa sana alipoingia ndani na yule mwanamke. Nilisubiri kwa saa moja hadi walipotoka. Kwa mshangao wangu mkubwa, yule mwanamke alipofungua uso, niliona ni Ruth rafiki yangu wa damu, dada yangu wa moyo!

Miguu yangu ilikataa kunibeba. Nilihisi kama dunia imenizunguka. Nilirudi nyumbani nikiwa nimechanganyikiwa. Usiku huo sikulala. Nililia hadi nikapoteza sauti. Si kwa sababu ya mume wangu pekee, bali kwa sababu ya usaliti wa mtu niliyemwamini zaidi duniani.

Asubuhi yake, nilizungumza na shangazi yangu, ambaye alinielekeza kwa Kiwanga Doctors, walioko mkoa wa Mara. Nilipowasiliana nao kwa namba +255 763 926 750, waliomba nijieleze na walinisikiliza kwa makini.

Waliniambia kuwa Ruth alikuwa ametumia dawa za kishirikina kumvuta Daniel kwake, na kwamba mume wangu alikuwa amefungwa akili na moyo kwa nguvu za kiroho.

Nilisafiri hadi ofisi zao na nikapewa dawa za asili za kusafisha ndoa yangu na kuvunja kifungo alichowekewa mume wangu. Pia walinipa dawa ya kumfunga kishetani yeyote anayefikiria kumtenganisha na mimi tena. Ndani ya siku tano tu, Daniel alianza kuomba msamaha. Alikuja na machozi, akasema alikuwa kama mtu aliyekuwa kwenye giza zito.

Aliniambia kila kitu kilichokuwa kikiendelea kwamba alijihisi akimpenda Ruth ghafla na bila sababu. Alikiri kuwa hakujua ni kwa nini alikuwa ananitendea vibaya. Leo hii, Ruth amepotea mtaani, na ndoa yangu imerejea kuwa tulivu kama mwanzo.

Najua kuna wanawake wengi wanaopitia mateso makubwa kwenye ndoa zao, wakidhani waume zao wamebadilika tu. Lakini mara nyingine, kuna mkono wa giza unayefanya mambo hayo yote.

Kama si msaada wa Kiwanga Doctors, nisingekuwa kwenye ndoa leo. Usinyamaze ukiumia tafuta msaada mapema kabla hujavunjika kabisa.

   

CALL KIWANGA DOCTORS

 
   
 

WHATSAPP KIWANGA DOCTORS

 
   

EMAIL KIWANGA DOCTORS