Mke wangu anatoa siri zetu za aibu nje

Jina langu Ally kutokea Tanga, katika ndoa yangu mke wangu alikuwa anatoa siri zetu za ndani na kuwaambia majirani hadi wengine wanakuja kuniambia wazi wazi, alikuwa anasema kuwa mimi simfikishi safari pindi tunapokuja chakula cha usiku.

Unajua huwa ni vigumu sana kufahamu yale ambayo yanakuwa yanaendelea kwenye ndoa za watu maana kwa tamaduni za kiafrika ni vibaya sana kutoa siri za ndani nje haswa kwa mwanamke ambaye amekuwa amefundwa ila kwa mke wangu ilikuwa ni tofauti.

Hata kwa mwanaume ambaye naye anakuwa amepitia jandoni hawezi kutoa siri za mkewe kwa watu wa nje hata iweje, kila jambo liwe zuri au baya linabaki kuwa siri baina yao wawili.

Kitendo cha mke wangu kunitangaza kilinikosesha raha ilinidi niwe nashinda nyumbani maana kila nilipokuwa nakatiza mtaani nilikuwa naona aibu sana. Kila nikipita nikiona watu wanazungumza nilijua wananisema mimi kuwa siwezi kumuhudumia vizuri mke wangu katika tendo la ndoa.

Nakumbuka kuwa mashaka yaliongezeka zaidi kwani nilihisi kuwa mke wangu anaweza kwenda kuchepuka nje ya ndoa yetu, hilo linaweza kutuletea maradhi ndani ya ndoa.

Basi nilianza kutafuta tiba kwa kila hali, nyakati za usiku niliutumia vizuri kuperuzi mitandao kujua jinsi gani naweza kuondoka na tatizo hilo.

Mashapisho mbalimbali yalikuwa yanaeleza kuwa mtu anaweza kupoana kwa kuzingatia lishe, kufanya mazoezi na kuondokana na msongo wa mawazo usiokuwa wa lazima.

Katika kuendelea kusoma kule nilijikuta kwenye tovuti yake, nilisoma kwa makini hadi nikaja kugundua kuwa wanatoa tiba dhidi ya upungufu wa nguvu za kiume.

Nilichukua namba ya Kiwanga Doctors kutokea Migori nchini Kenya na kuwasiliana naye, nilimuomba sana anisaidie maana nilichoka masimango ya mke wangu na majira zangu.

Alinipatia dawa na kuniambia kuwa ndani ya siku chache nitapata majibu sahihi kabisa, siku ya tatu kweli nilimpatia mke wangu chakula cha usiku hadi mwenyewe akawa ameridhika na kunisifia kwa ushupavu niliounyesha siku hiyo.

Tuliendelea hadi akafika hatua yeye mwenyewe akawa analalamika kuwa amechoka sana wakati mimi nilionekana kuwa na nguvu bado, kwa kifupi bado nilihitaji mchezo.

Kesho yake asubuhi na mapema aliamka na kwenda kunitengea maji ya kuoga, nilipotoka kuoga nilikuta kanipikia supu ya kuku, nilishangaa maana hajawahi kufanya hivyo tangu tulipofunga ndoa.

Nilipomuuliza kwa nini ameamua kufanya hivyo aliniambia ni shukrani yake kwangu kwa kazi nzuri niliyofanya usiku wa jana, nilipomaliza kula aliniita chumbani na kuanza kulia.

Nilimuuliza sababu ya kulia ilikuwa ni ipi, akaniambia anaomba msamaha kwa yote aliyonifanyia hasa kunitangaza kwa majirani, niliamua msamehe na kumvuta karibu yangu kisha kumpa anachostahili kama mke wa ndoa.

Ni watu wengi hadi sasa wamepata uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +254 116 469840 au tembelea tovuti yao kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.

Share the Post:

Related Stories

“Nilikuwa nalala na kiu” mrembo asimulia mazito

Hakuna taasisi ina siri kubwa kama ndoa jamani na hiyo ni kutokana na msingi wake wa kuanzishwa kwake, haifai hata kidogo kutoa siri za ndani ya ndoa kwa marafiki.   Hata hivyo, nikiri wazi kuna...

Unavyoweza kujikinga na wabaya wako!

Kitu ambacho hatuwezi kukipinga ni kusema kwamba hakuna maadui katika maisha yetu, ukweli ni kwamba maaduni wapo na wamekuwa wakifanya kazi usiku na mchana kuhakikisha maisha yetu wanarudi nyuma...

Huyu mwanamke kanisingizia mambo ya aibu sana!

Mimi ni kijana ambaye najishughulisha na biashara mbalimbali, katika maisha yangu nimejifunza kuwa mtu ambaye unamuamini sana ndiye anaweza kukufanyia jambo paya sana maishani ingawa kuna watu wazuri...

Je, unataka kuongezwa mshahara kazini kwako?, hafanya hili

Nyongeza ya mshahara ni jambo ambalo limekuwa likimvutia kila mfanyakazi katika kazi yake, ndivyo ilivyokuwa na kwangu mimi, kila mara nilikuwa nikituma maombi ya nyongeza ya mshahara lakini...

Dawa ya kuongeza mvuto wa mapenzi ilivyonisaidia

Naitwa Suma kutokea Mwanza, nimekuwa nikifanya kazi ya ujenzi maeneo mbalimbali hapa nchini na kweli nashukuru nimekuwa nikipata fedha nzuri ambayo inatosha kuendesha maisha yangu. Kwa sasa naendesha...

Huna haja ya kumlinda mwanaume katika ndoa, haya hili!

Ukweli ni kwamba wanawake wengi wamekuwa wanasalitiwa sana wanaume zao ndani ya ndoa jambo linaloacha maumivu makali katika nyoyo zao na kubakia na huzuni tu. Mimi sikutaka kitu kama hicho katika...

Wezi Walivamia Duka Langu Usiku… Siku 7 Baadaye, Nyuki Wakawatambua kwa Ajabu

Siku moja asubuhi mapema, nilifika kazini kama kawaida. Lakini kabla hata sijafungua mlango wa duka langu, nilihisi kitu kimeenda kombo. Mlango ulikuwa wazi nusu, na ndani palikuwa pamevurugwa kama...

Je, unateswa na upotevu wa fedha?, fanya hivi

Hakuna mtu anayependa kuona fedha zake zinapotea bila ya yeye kuzifanyia shughuli yoyote ya kimaendeleo katika maisha yake, kila mtu anataka kuona fedha yake inatoka kihalali kabisa. Jina langu ni...

“Usiku sikuweza kupata usingizi kabisa,” jamaa asimulia

Jina langu ni Juma kutokea Pwani, ninaishi na mchumba wangu tangu mwaka 2022, katika maisha yangu hakuna ugonjwa ambao umewahi kunitesa kama Kaswende, niliumwa kiasi kwamba nikakata tamaa ya kuishi...