
Mbinu ya kuushinda urahibu wa pombe na dawa za kulevya
Mwaka 2000 kaka yangu kipenzi alifariki duniani na kuacha watoto watatu, wawili wa kike na mmoja wa kiume. Kitendo cha kaka yangu kutoka duniani kilihuzunisha familia yetu kwa ujumla hadi sasa hivi kwa sababu yeye ndo alikuwa kiongozi wa familia yetu pia alikuwa amebeba majukumu makubwa sana tangu Baba yetu na mama watoke duniani pia.
Baada ya yeye kututoka majukumu yote yariamia kwangu, majukumu ambayo ni kuhakikisha wadogo zetu wanasoma pia kuhakikisha watoto wake watatu wanapata elimu bora ili baadaye wawezi kuwa na familia bora na kujitegemea.
Baada ya miezi sita tangu kaka yangu tumpumzishe kwa nyumba yake ya milele, mke wake Janeth ambaye ni shemeji yangu mimi aliolewa na mwanaume mwingine hivyo watoto wa kaka yangu niliwahamisha kutoka alipokuwa wanaishi na mama yao kisha nikawaleta kwa familia yangu na kuanza maisha mapya.
Kitendo cha shemeji yangu kuolewa mimi sikuwa na pingamizi yoyote maana alikuwa bado mdogo hivyo damu ilikuwa inachemka bado.
Watoto wa kaka yangu niliwatafutia shule kisha wakaanza masomo, nilijitaidi kadiri ya uwezo wangu kuhakikisha wanapata kila kitu walichokihitaji katika masomo yao.
Hata hivyo, kwa upande wao hawakuniangusha hata kidogo katika masomo yao maana kila mmoja alikuwa anapata alama zinazomruhusu kwenda hatua nyingine hata darasani walikuwa wanapata nafasi nzuri kabisa.
Mwaka 2016 mtoto wa kwanza wa kaka yangu ambaye ni Zabroni alijiunga na masomo ya elimu ya juu hivyo kwangu nilifurahai sana kuona anafikia hatua ile nilitamani kaka yangu angekuwepo duniani ili afaidi matunda ya mtoto wake pia nilijua akimaliza masomo yake na kupata kazi nitasaidiana naye kuhakikisha wadogo zake pia wanafika alipofika yeye.
Kipindi cha likizo nilijitaidi kumtafutia ofisi mbalimbali kwa ajili ya kumuandalia mazingira ya kazi akishamaliza masomo yake.
Mwaka 2019 Zabroni alihitimu masomo yake ya chuo kikuu, kutokana na mazingira niliyomwandalia akiwa bado anasoma hakuweza kukaa mtaani zaidi ya miezi mitatu alikuwa tayari kashapata kazi.
Alipata kazi kwa haraka kwa sababu nilivyokuwa natembea naye katika ofisi mbalimbali wengi walikuwa wanamfahamu hata ofisini kwangu wengi walijua ndiye kijana wangu.
Zabroni alivyopata kazi nilifurahi sana nakumbuka siku hiyo nilinunua Bia nikajipongeza mwenyewe na kujiwekea ahadi kuwa na wadogo zake wawili wasichana nitahakikisha wanasoma na kupata kazi.
Ila Zabroni alivyopata kazi alianza kubadilika sana, alianza kutumia pombe, sigara, dawa ya kurevya na bangi, hivyo maisha niliyomuandalia yakawa tofauti na maisha aliyomo.
Marafiki wa malehemu Kaka yangu walianza kunitafuta mara kwa mara kuniuliza kipi kimemkuta Zabroni, hata mimi mwenyewe sikujua kipi kimemkuta.
Hazikupita siku nyingi kazini alifukuzwa na kurudi nyumbani tena akawa mzigo tena kwangu, kila mara nilikuwa natemberea kaburi ya kaka yangu na kumuomba anisamehe kwa sababu maisha ambayo Zabroni anaishi siyo maisha mimi nilitaka.
Siku moja nipo nyumbani rafiki wa marehemu kaka yangu alikuja nyumbani na kuniambia kuna mtu anaweza tusaidia Zabroni kuacha kutumia pombe, bangi na madawa ya kulevya kwa muda mchache sana.
Bila kusita alichukua simu yake na kunionesha website ya kiwangadoctors, kwa website ya kiwangadoctors tulipata namba ya simu ambayo ni ++255 763 926 750 kisha tutawasiliana na Kiwanga Doctors.
Kiwanga Doctors alitueleza kitu kilichomkuta Zabroni na kisha kutupatia jinsi ambayo Zabroni ataondokana na urahibu huo, baada ya siku kadhaa tumewesiliana na Kiwanga Doctors, Zabroni alianza kubadilika taratibu na kwa sasa hatumii kitu chochote kinacholewesha na kazini amerudishwa.
Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali kama kupandishwa cheo kazini, kusafirisha nyota yako, kurudisha mpenzi wako aliyekuacha na mengine mengi.
Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba Kiwanga Doctors au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.