Habari yako mdau wa Kiwanga Doctors?, jina langu ni Censia, ni mama wa watoto sita, niliolewa na mume wangu, Dida miaka nane iliyopita, tunaishi moja ya vijiji katika mkoa wa mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania.
Safari yangu katika ndoa hajawahi kuwa rahisi hata kidogo, nimepitia changamoto nyingi, milima na mabonde, mapana na membamba, kusuka na kunyoa lakini nashukuru nilifanikwa kuyashinda hayo yote.
Katika uzao wangu, watoto wangu wamezaliwa kufuatana sana, naweza kusema ni wastani wa kila mwaka mmoja nilikuwa najaliwa kupata mtoto.
Hiyo ilifanya hadi Madaktari wa katahadharisha kuhusu mwenendo wa afya yangu kwa sababu mwanamke akishajifungua anatakiwa kupumzika miaka miwili ndipo abebe ujauzito mwengine. Hiyo ni kanuni ya Kitaalamu.
Lakini mume wangu ndio alikuwa anapenda mimi kuzaa mfululizo bila mimi kujua nini lengo lake, wakati nimetoka kujifungua mtoto huyu wa nne ndipo niligundua kuwa mume wangu alikuwa anahitaji mtoto wa kiume maana watoto wangu wa kwanza hadi huyo wa nne walikuwa wa kike.
Mume wangu alisema ni lazima apate mtoto wa kiume ambaye atakuja kumrithisha mali na kuendeleza jina lake, hivyo kiu yake kubwa ni kupata mtoto wa kiume.
Nilijaribu kufuata kanuni fulani kama ambavyo tulielekezwa na wataalamu wa afya ili kupata mtoto wa kiume lakini nilikuja tena kujifungua mtoto wake.
Uzuri ni kwamba mume wangu sio alikuwa anachukia watoto wa kike, bali alikuwa anataka mtoto tu wa kiume kama nilitangulia kueleza hapo awali. Aliniambia tujaribu tena kuzaa mtoto mwingine wa sita tuone kama tutapata wa kiume, nilijaribu kumuitikia lakini ilikuwa ni kishingo upande.
Wakati mmoja nilipoenda sokoni nilikutana na rafiki yangu Mama Mosha, katika maongezi yetu ndipo nikamgusia kuwa mume wangu anataka mtoto wa kiume. Mama Mosha aliniambia hata mume wake alikuwa hivyo lakini baada ya kuzunguka sana alikuja kupata usaidizi kutoka kwaKiwanga Doctors.
Nilimuuliza huyo Kiwanga Doctors anaweza kumpataje anisaidie na mimi, ndipo Mama Mosha alipochukua simu yake na kunitajia namba yake, akaniambia mtu huyu ni uhakika, anaweza kunisaidia kupata mtoto jinsia yoyote ile niitakayo.
Baada ya kurejea nyumbani niliwasiliana naye na kumueleza kiu ya mume wangu ni kupata mtoto wa kiume, alinieleza hilo halina shinda kwani dawa zake nyingi zinafanya kazi ndani ya siku tatu pekee.
Sikumwambia mume wangu kuwa nimewasiliana naKiwanga Doctors, nilitaka ije kuwa suprise kwake.
Kweli nilipokuja kujaliwa mtoto wangu huyu wa sita alikuwa wa kiume, mume wangu alifurahi sana hadi kuamua kwenda kuninunulia zawadi ya kipekee ambayo hajawahi kunipa tangu tunaoana.
Ikiwa unapitia kitu kama hicho, ninakushauri kuwa fika au wasiliana na Kiwanga Doctors. Tiba zao zinafanya kazi haraka na wanaweza kukusaidia katika changamoto mbalimbali za kimaisha, kuanzia masuala ya uhusiano hadi matatizo ya kiafya.
Basi chukua hatua muhimu leo hii kwa kuwasiliana na Kiwanga Doctors kupitia namba +254116469840 au tembelea tovuti yao, kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi katika eneo zima la Afrika Mashariki na Kati.