Katika haya maisha unajua kuna mambo yanaweza kukutokea hadi wewe mwenyewe ukawa unashangaa maana yake ni ipi hasa, ndicho nilichonikuta mimi pale ambapo mama mwenye nyumba aliponiita nyumbani na kuniambia kuwa ananitaka kimapenzi.
Jina langu ni Sam, kijana wa miaka 27 ambaye najishughulisha na ujasiriamali hapa jijini Dar es Salaam maeneo ya Kariakoo, kutokana na mazingira ya kazi yangu nimekuwa natoka nyumbani asubuhi mapema na kurejea usiku.
Nakumbuka kuna siku katika pilikapilika zangu ndani ya jiji, nilipumzika sehemu nikawa najisomea gazeti, nikakutana na tangazo la Kiwanga Doctors ambalo lilieleza miongoni mwa huduma anazotoa ni pamoja na kuongeza mvuto wa kimapenzi.
Nilitamani sana kujua mtu mwenye mvuto wa kimapenzi anakuwaje, hivyo niliamua kuchukua namba yake na kumpigia Kiwanga Doctors kutokea Migori, Kenya na kumuulizia kisha kumuomba dawa hiyo.
Nilimwambia kuwa nahitaji huduma hiyo maarufu kama love spell, akaniambia nisiwe na wasiwasi kwani ndani ya siku tatu nitapata matokeo mazuri ajabu maishani mwangu.
Kesho yake wakati nimerudi nyumbani nilimkuta mama mwenye nyumbani ameketi nje, aliniambia siku hiyo nisipike kwani kwake amepika chakula kingi sana, hivyo nitaenda kula kwake baada ya kuoga.
Nilipomaliza kuoga nilienda kugonga mlango wake, alipokea na kuniambia siku nyingine nikitaka kuja wala nisigonge bali niingie tu.
Nilikaa kwenye sofa na akaniletea chakula, cha ajabu alikuja akaa pembeni yangu, wakati nikila akawa ananipapasa mgongoni, mara akaniomba anivue shati kwa madai joto limezidi ndani na anaona mwili wangu umechemka sana. Nilimwambia haina shida kwani namalizia kula nitatoka nje kwenye upepo.
Baada ya kumaliza kula sikutaka kuendelea kukaa pale ndani, nilitoka nje huku yeye akinisistizia niendelee kuwa naye maana hana hata mtu wa kuzungumza naye. Sikujali hilo nilitoka na kwenda kwenye chumba changu na kuchukua maji nikaenda kuoga tena ili niweze kulala.
Nilipotoka kuoga nilikuta SMS yake kwenye simu akiniambia kuwa ananipenda na angependa kama nitamkubalia niwe mpenzi wake, aliomba sana nisije kumkatalia kwani yeye hajiwezi tena kwangu. Niishiwa nguvu na kujiuliza maswali mengi, nilimjibu kuwa nina mpenzi wangu tayari.
Aliniambia yeye atakuwa ananipa fedha za matumizi na chochote nitakacho, kikubwa zaidi nitakuwa naishi katika nyumba yake bila kulipa kodi, hilo ndilo limenichanganya sana maana nahitaji fedha hizo. Je, fanyaje?, naombeni ushauri.
Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +255 763 926 750 au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.