“Magari yote niliyokua nayo ilinibidi niyauze,” jamaa asimulia

Mke wangu ambaye tulikua tumekaa kwenye ndoa kwa miaka minne, siku moja aliamka na kuniarifu ameamua kunipa talaka, kisa cha kufanya hivyo ni kwa sababu sina fedha za kuweza kumlinda na kumtunza kama inavyohitajika.

Nilipigwa na butwaa mbona aliamua kufanya hivyo kwani tulikuwa tumekaa naye kwenye ndoa kwa miaka minne bila hayo mambo ya talaka kuwahi  kutokea.

Aliponipa talaka hapo ndipo nilipogundua kuwa wanawake wengi humpenda mume kwa kuwa ana fedhaa na wakati utakapokosa kupata hizo fedha hapo ndipo atakapokuacha kuenda kumtafuta mume mwingine.

Sikuwahi kudhani kuwa mke wangu Stella niliyempenda na kumdhamini kwa kiasi hicho angeweza kunipa talaka, kabla ya hayo kutokea tulikuwa tunaishi maisha mazuri yenye furaha na upendo mtupu, mapenzi yetu yalichacha sana, mara kwa mara!.

Alionekana kuwa mwenye furaha na kutaka kuwa name kila wakati, kwa kuwa nilikua na hela, niligundua kuwa siyo mimi aliyenipenda bali alizipenda hela nilizokua mfukomi mwangu, mara kwa mara alipowasiliana nami angeniagiza hela za kunua vipodozi, mavazi na vitu vingine vingi.

Jambo hilo lilinifanya kumjua  ni mtu mpenda mali na nilikuwa na ufahamu kuwa siku moja mwanamke huyo angeweza kunitelekeza, japo kwa asilimia chache mno, hivyo singeweza kumtupilia mbali wakati huo.

Nilikuwa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni moja nchini kwa wakati huo, ghafla kazi ilikuja ikaisha bila kutarajia, kazi hiyo ilikuwa ndiyo kila kitu maishani na kwa kiwango kikubwa iliweza kugharamia matumizi yangu na ya familia yangu, nilipofutwa kazi nilikosa hela hata za kulipa kodi jambo lililonibidi kujaribu kutafuta maisha ya chini kwani maisha niliyokua naishi hapo awali singeweza kuyamudu.

Kwanza kabisa nilihama jumba la kifahari nilipokuwa naishi kwenye mtaa wa kifahari wa Masaki na kurudi kwenye vitongoji duni vya Tandale, magari yote niliyokua nayo ilinibidi niyauze kuweza kupata hela za matumizi.

Maisha yalikua kizungumkuti, tulipohamia kwenye kitongoji duni, hapo ndipo mke wangu alinifahamisha ya kuwa ananipa talaka, kwani hangeweza kuishi maisha hayo, aliniarifu kuwa mapenzi bia hela si mapenzi na ameamua kuniacha kuenda kutafuta mwanaume atakayeweza.

Alinitaliki na dharau kubwa ambalo sikuwahi tarajia lingetokea, nilijaribu kumuomba asiniache kwani bahati ya mtu haijulikani na siku moja yote yangekua sawa lakini sikio la kufa halisiki dawa hakutaka kusikiza yeyote yaliyotoka kinywani mwangu.

Nilimuacha aende zake japo nilikua na mawazo mengi sana,nilijaribu kufanya biashara lakini yote hayo hayakufua dafu, maisha yalinizidi ujanja nikabaki kuwa ombaomba kwa marafiki.

Siku moja nilipokuwa mtandaoni nilikutana na wavuti ya Kiwanga Doctors, baada ya kuangalia kwa undani niliona kuwa walikua na uwezo wa kuileta heri njema maishani mwa mja.

Bila kusita nilimpigia simu Kiwanga Doctors  na kuweza kuagiza siku ya kukutana naye, siku iliyofuata nilikutana naye na kumweleza shida zangu zote aliniarifu kuwa nilikuwa nafuatwa na heri mbaya kutoka kwa familia na yote yangekua sawa.

Siku chache baadaye niliweza kupigiwa simu na kampuni moja ya mawasiliano ya simu za mkononi kuwa wamenipa kazi ya Meneja Mkuu.

Niliyarejelea maisha yangu ya kawaida yenye utajiri, mke wangu alirejea baadaye na kuniomba msamaha kwa yote alionitendea.

Basi chukua hatua muhimu leo hii kwa kuwasiliana na Kiwanga Doctors kupitia namba +255618536050 au tembelea tovuti yao, kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi katika eneo zima la Afrika Mashariki na Kati.

Share the Post:

Related Stories

Jinsi ya kujikinga na dhulma katika kazi au ajira

Hakuna ubishi kuwa kila binadamu ana ndoto kubwa za kufanikiwa kimaisha, lakini ukweli ni kwamba sio kila mwenye ndoto inaweza kutimia na pengine inaweza kutimia ila kwa kuchelewa sana. Ndivyo maisha...

Mvuto wa kimapenzi alivyonipatia utajiri

Jina langu ni Majaliwa kutokea Mombasa nchini Kenya, ni Baba wa familia, mimi na mke wangu katika miaka sita ya ndoa yetu tumejaliwa kupata watoto wawili, mmoja wa kiume na mwingine wa kike...

Kutoka mwanzo mgumu wa biashara hadi kufanikiwa!

Ukweli ni kwamba kila mfanyabiashara ambaye unaona amefanikiwa, ana siri kuhusu mafanikio, kuna jambo la muhimu nyuma ya pazia katika yale mafanikio yake, na sio wote wapo tayari kuzungumzia hilo...

Mume ampa mkewe mshahara wote kila mwezi, kisa?

Watu wengi wamekuwa wakisifia ndoa yangu na mume wangu, mahusiano yetu wamekuwa ni mfano wa kuigwa mbele ya jamii, mume wangu hajawahi kuwa na kashfa ya kutoka na mwanamke mwingine yoyote hapa mtaani...

Je, unataka bahati maishani mwako?, fanya haya

Kwenye kufanikiwa kimaisha kuna tegemea na mambo mengi sana, kufanya kazi kwa bidii au kujuana na watu wengi wenye uwezo katika eneo fulani hakutoshi kukuhakikishia kufanikiwa kimaisha. Na ukweli ni...

“Mahakama iliamuru mtoto akapimwe DNA” mrembo asimulia

Hakuna jambo huwaacha watoto njia panda kama ugomvi baina ya wazazi wao maana kuna muda hulazimika kuchagua upande, migogoro ndani ya ndoa imeacha majeraha makubwa sana katika nyoyo za watoto. Jina...

“Nilikuwa nalala na kiu” mrembo asimulia mazito

Hakuna taasisi ina siri kubwa kama ndoa jamani na hiyo ni kutokana na msingi wake wa kuanzishwa kwake, haifai hata kidogo kutoa siri za ndani ya ndoa kwa marafiki.   Hata hivyo, nikiri wazi kuna...

Unavyoweza kujikinga na wabaya wako!

Kitu ambacho hatuwezi kukipinga ni kusema kwamba hakuna maadui katika maisha yetu, ukweli ni kwamba maaduni wapo na wamekuwa wakifanya kazi usiku na mchana kuhakikisha maisha yetu wanarudi nyuma...

Huyu mwanamke kanisingizia mambo ya aibu sana!

Mimi ni kijana ambaye najishughulisha na biashara mbalimbali, katika maisha yangu nimejifunza kuwa mtu ambaye unamuamini sana ndiye anaweza kukufanyia jambo paya sana maishani ingawa kuna watu wazuri...