Kumbe nilikuwa kwenye mpango wa kutolewa kafara!

Jina langu ni Jamal kutoka Moshi, ni kijana wa miaka 28 kwa sasa, mwaka 2018 nilitengwa na familia yangu kisa tu kumpenda mwanamke ambaye hawakumpenda wao kama familia.

Shida ilianza pale mama na kaka yangu mkubwa walipogundua kwamba nimempenda binti huyo ambaye wao hawakumtaka, ilisukwa njama ya kunikatalia kwa shinikizo kwamba nisubiri mpaka niajiriwe serikalini ndio nioe.

Katika familia nzima aliyeniunga mkono alikuwa baba mzazi tu, mama, kaka zangu na dada zangu wapatao kumi wote walinisusia kitendo kilichomkasirisha baba.

Baba alisimama mimi, kwa bahati mbaya mwaka huo kulitokea sherehe ya kaka yangu. Kiukweli sikuwa na amani moyoni kuhusiana na sherehe hiyo, nafsi yangu ilikuwa inasita na nilimshawishi baba asiende.

Lakini hakunikubalia na alipoenda hakurudi akiwa hai, bali alirudi akiwa kwenye jeneza. Kumpoteza baba ilikuwa pigo kuelekea kwenye ndoa yangu.

Kilichonishtua zaidi ni kwamba yule kaka yangu alikuja na watu wake kutoka Arusha na hakushiriki shughuli za mazishi kivyovyote vile zaidi ya kufika na kuchinja mbuzi na kula na wageni wake.

Na ilikuwa kila wadogo zangu walipotaka kumlilia baba, jamaa aliwatisha na kuwaambia eti waache upumbavu wa kulia kwani yeye amebaki na atawasaidia kila kitu watakachohitaji.

Maajabu zaidi ni pale ambapo alitaka kuondoka kurudi Arusha hata kabla msiba haujaisha. Alikatazwa, ilibidi atoroke siku moja kabla msiba hujaisha.

Baada ya hapo nilitakiwa kufanya sherehe ya harusi bila baba, nilipata tabu sana kwani nilifukuzwa nyumbani na sikutakiwa kukanyaga pale maana baadhi ya wadogo zangu walitishia kunikata mapanga. Kaka yangu ndiye aliyekuwa akiongoza huu mvurugano.

Kufuatia mgogoro huu wa kifamilia, niliamua kwenda kutafuta dawa kwa Kiwanga Doctors kama nilivyokuwa nimeshauriwa na watu wengi.

Nashukuru kwa Kiwanga Doctors kutokea Migori, Kenya niliweza kupata dawa hiyo ya matambiko na kunihakikisha mambo yatakaa sawa na kujua ukweli wa jambo hilo.

Baada ya dawa ya Kiwanga Doctors, walijitokeza wasamaria wema wakanichukua na kukubali sherehe yangu ifanyike kwao. Kwakweli sherehe ilifanyika na watu wengi walijitokeza huku wakinihurumia na kunipa pole, ilikuwa furaha pamoja na huzuni.

Sasa baada ya harusi ilibidi nifuatilie chanzo cha kifo cha mzee ndipo nilipogundua kaka yangu ndiye aliyemtoa kafara na alihitaji kunitoa na mimi ikashindikana ndiyo ikawa chanzo cha yeye kuwa na uhasama na mimi.

Tangu wakati huo nipo na mke wangu na sina mawasiliano yoyote na mama wala wakubwa zangu hata wadogo zangu. Sasa nipo na mke wangu tu kwa amani, yeye ndiye ndugu yangu kwani alinivumilia katika nyakati ngumu nilizopitia na alikuwa faraja kubwa sana kwangu.

Kwa hakika ni watu wengi wamepata uponyaji, mafanikio, furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +254 116469840 au tembelea tovuti yao, www.kiwangadoctors.co.tz kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao.

Share the Post:

Related Stories

“Nilikuwa nalala na kiu” mrembo asimulia mazito

Hakuna taasisi ina siri kubwa kama ndoa jamani na hiyo ni kutokana na msingi wake wa kuanzishwa kwake, haifai hata kidogo kutoa siri za ndani ya ndoa kwa marafiki.   Hata hivyo, nikiri wazi kuna...

Unavyoweza kujikinga na wabaya wako!

Kitu ambacho hatuwezi kukipinga ni kusema kwamba hakuna maadui katika maisha yetu, ukweli ni kwamba maaduni wapo na wamekuwa wakifanya kazi usiku na mchana kuhakikisha maisha yetu wanarudi nyuma...

Huyu mwanamke kanisingizia mambo ya aibu sana!

Mimi ni kijana ambaye najishughulisha na biashara mbalimbali, katika maisha yangu nimejifunza kuwa mtu ambaye unamuamini sana ndiye anaweza kukufanyia jambo paya sana maishani ingawa kuna watu wazuri...

Je, unataka kuongezwa mshahara kazini kwako?, hafanya hili

Nyongeza ya mshahara ni jambo ambalo limekuwa likimvutia kila mfanyakazi katika kazi yake, ndivyo ilivyokuwa na kwangu mimi, kila mara nilikuwa nikituma maombi ya nyongeza ya mshahara lakini...

Dawa ya kuongeza mvuto wa mapenzi ilivyonisaidia

Naitwa Suma kutokea Mwanza, nimekuwa nikifanya kazi ya ujenzi maeneo mbalimbali hapa nchini na kweli nashukuru nimekuwa nikipata fedha nzuri ambayo inatosha kuendesha maisha yangu. Kwa sasa naendesha...

Huna haja ya kumlinda mwanaume katika ndoa, haya hili!

Ukweli ni kwamba wanawake wengi wamekuwa wanasalitiwa sana wanaume zao ndani ya ndoa jambo linaloacha maumivu makali katika nyoyo zao na kubakia na huzuni tu. Mimi sikutaka kitu kama hicho katika...

Wezi Walivamia Duka Langu Usiku… Siku 7 Baadaye, Nyuki Wakawatambua kwa Ajabu

Siku moja asubuhi mapema, nilifika kazini kama kawaida. Lakini kabla hata sijafungua mlango wa duka langu, nilihisi kitu kimeenda kombo. Mlango ulikuwa wazi nusu, na ndani palikuwa pamevurugwa kama...

Je, unateswa na upotevu wa fedha?, fanya hivi

Hakuna mtu anayependa kuona fedha zake zinapotea bila ya yeye kuzifanyia shughuli yoyote ya kimaendeleo katika maisha yake, kila mtu anataka kuona fedha yake inatoka kihalali kabisa. Jina langu ni...

“Usiku sikuweza kupata usingizi kabisa,” jamaa asimulia

Jina langu ni Juma kutokea Pwani, ninaishi na mchumba wangu tangu mwaka 2022, katika maisha yangu hakuna ugonjwa ambao umewahi kunitesa kama Kaswende, niliumwa kiasi kwamba nikakata tamaa ya kuishi...