Je, ni kweli wanawake wasomi huchelewa kuolewa?

Nakumbuka kuna mtu mmoja katika mtandao wa X, zamani Twitter aliuliza kwanini mahusiano au ndoa za watu ambao hawajasoma zinadamu kuliko za wale ambao wana elimu kubwa?.

Swali hilo lilikuwa likigusa maisha yangu kutokana nilikuwa mwanamke ambaye kila mara nilijikuta katika mahusiano mapya, suala la elimu yangu lilifanya wanaume kuugopa kunio.

Naitwa Shami, nina shahada mbili ukapande IT, nimeajiriwa katika kampuni fulani nikiwa kama Mkuu wa Kitengo, nimefanya kazi hii kwa zaidi ya miaka 10 na nimeweza kutengeneza maisha yangu vizuri tu.

Naweza kusema katika maisha yangu upande wa elimu na kazi sijapitia changamoto nyingi kama zile nilizopitia upande wa mahusiano, huku nimezungushwa sana hadi nafikisha umri wa miaka 40 nilikuwa sijaolewa.

Kila mwanaume niliyekuwa naye katika mahusiano nikimwambia umefika wakati sasa tufunge ndoa au akajitambulishe kwa wazazi wangu alikuwa anatafuta sababu ya kukimbia. Baadhi ya watu wanasema wanaume wengi wanaogopa kuoa wanawake wasomi kutokana wanaona ni vigumu kuwasimamia kitu ambacho naona sio kweli.

Mimi kama mke nina wajibu wa kumtii na kumjali mume wangu, siwezi kuwa na kiburi au kufanya jeuri kisa nimesoma au nimemzidi elimu, hapana!. Hata mume wangu wa sasa ni shahidi katika hilo na mwenyewe anasema hakutarajia kama ni mtu wa hivyo kwani hata mwanzo tulivyofunga ndoa alikuwa na aina fulani ya wasiwasi.

Nakumbuka baada ya mahusiano yangu kama ya nne kuvunjika, niliamua kutafuta njia mbadala, hiyo ni baada ya kuona nimefikisha miaka 38 bila kuolewa jambo ambalo lilifanya hata nyumbani kwetu kuanza kuniuliza maswali.

Katika kutafuta wapenzi waaminifu katika mtandao, nilijikuta nimeingia kwenye wavuti ya Kiwanga Doctors, hapa nilipata kufahamu kuwa anaweza kuwasaidia wanawake kupata waume kwa muda mfupi tu.

Hatimaye nilichukua namba yake na kuwasiliana naye mara moja, Kiwanga Doctors kutokea Migori, Kenya, aliniambia licha ya umri wangu wa miaka 38 nisiwe na hofu kwani nitapata mume tena mwenye viwango.

Nilingojea kwa hamu kuona hilo likitimia katika maisha yangu maana ilifika hatua hadi naogopa kwenda nyumbani kusalimia kwa kuhisi wataanza kuniuliza kwanini hadi sasa sijaolewa.

Jioni moja nikiwa natokea kazini niliita Uber ije inichukue, kufika yule dereva wa Uber alikuwa ni rafiki yangu wa miaka mingi ambaye tulikuwa tumeshibana kipindi tunasoma sekondari.

Yule kaka alifurahi sana kukutana na mimi na kuniambia kuna wakati walitafuta mawasiliano yangu bila mafanikio, tulizungumza mengi na akanipeleka hadi nyumbani na kumuonyesha ninapoishi. Tulibadilishana namba za simu na akaniahidi kwamba wikiendi atakuja kunitembelea.

Wikiendi iliyofuatia alikuja nyumbani tukakaa na kuzungumza, alinieleza kwamba kuna wakati alioa ila alikuja kuachana na mkewe miaka mitatu iliyopita na sasa hana mtu.

Sikutaka kujirahisisha kwake, tuliendelea kuwasiliana na kutembeleana hadi pale yeye mwenyewe aliponitamkia kuwa ananipenda na anataka kunioa.

Nilifurahi sana kusikia hivyo, mara moja tulianza michakato ya kutambulishana kwa wazazi kwa pande zote mbili na hatimaye tulifunga ndoa na sasa tumejaliwa kupata mtoto mmoja.

Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +255 763 926 750 au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.

Share the Post:

Related Stories

Paka wa ajabu aleta balaa katika biashara

Kutana na Sasha ambaye alikuwa mmiliki wa duka dogo (genge) huko Rombo ambapo aliuza mboga na bidhaa nyingine za nyumbani kwa wateja wake waaminifu ambao walimpenda sana kwa huduma yake. Alikuwa...

Kijana aliyekata tamaa ashinda Sh140 milioni

Kutana na Tumaini Mwangi ambaye ni mtu mwenye furaha na mafanikio, aanamiliki jumba la kifahari huko Runda, Nairobi nchini Kenua, pia ana magari na biashara kadhaa. Kwa kifupi anaishi maisha ya ndoto...

Je, ni kweli wanawake wasomi huchelewa kuolewa?

Nakumbuka kuna mtu mmoja katika mtandao wa X, zamani Twitter aliuliza kwanini mahusiano au ndoa za watu ambao hawajasoma zinadamu kuliko za wale ambao wana elimu kubwa?. Swali hilo lilikuwa likigusa...

“Niliitwa mchawi kisa kutembea ndotoni”

Kuna baadhi ya mambo ni vigumu sana ya kuyaelezea kwa watu na ukaeleweka kwa urahisi, hasa pale jambo hilo linapohusisha imani za kishirikiana au uchawi kwani kuna watu hawaamini katika mambo hayo...

Atoa siri ya kuwa na mwanaume wa kweli

Kutana na JJ ambaye anasimulia hadithi yake ya kustaajabisha ya jinsi alivyotumia mitishamba kutoka kwa Kiwanga Doctors kurudisha nguvu zake za kiume na kuokoa ndoa yake ambayo ilikuwa inaelekea...

Bibi wa miaka 60 ajifungua baada ya kuitwa aliyelaaniwa

Katikati ya mji wa Pwani kinatokea kisa kimoja ambapo mwanamke mmoja, Lulu, 60, amekuwa gumzo na kuwashangaza wenyeji wa eneo kwa tukio lisilo la kawaida ambalo limebadili maisha yake. Lulu alikuwa...

. “Nilitazama CCTV Camera nikaona wamejifunga vitambaa vyeusi machoni”

Hakuna jambo ambalo limekuwa likiwarudisha nyuma na hata kuwafilisi wafanyabiashara kama wizi, wafanyabiashara wengi wamekuwa wakilengwa sana wezi maana wao ndio wenye fedha kila wakati. Mimi ambaye...

Aambukizwa ugonjwa wa zinaa na mpenzi wake kwa makusudi

Jina langu Dullah, nilikuwa katika mahusiano na binti mmoja aitwaye Nasra ambaye ana kama miaka 26, katika mapenzi yetu kuna kipindi tulikuwa tunaachana na kurudiana maana tulikuwa tunapendana sana...

Kisa harufu kali mwilini aachika mara kibao

Kutana na Zuwena, alikuwa na tatizo lililofanya maisha yake kukosa amani. Tatizo hilo ni kuwa mwili wake ulikuwa ukitoa harufu kali kiasi kwamba ilifanya kuachwa na wanaume wake wawili na kumfanya...