Jina langu Matata kutokea Arusha, baada ya mke wangu kuanza tabia ya kuninyima tendo la ndoa kwa kisingizio kuwa amechoka na shughuli za kila siku, nilianza kupata wasiwasi kuhusu mwenendo wa tabia yake.
Nilijaribu kukaa naye chini kumuuliza kuhusu hilo na kuniambia hakuna chochote kilichobadilika kwake bali ni wivu wangu wa kimapenzi ndio unanitesa. Majibu yake sikuridhika nayo hata kidogo, tulivutana sana kuhusu jambo hilo hadi kufikia hatua ya kutaka kipigana.
Siwezi kusahau wakati ambao mke wangu angenitumia SMS kuwa hawezi kurejea nyumbani kutokana ametingwa na majukumu mengi ya kikazi na atarudi baada ya siku mbili.
Kilichokuwa kinaniumiza zaidi akili ni kwamba akiwa huko alipoita kazini, alikuwa hapokei simu yangu ni hadi pale atakapojisikia yeye kupiga na ukimuuliza kwanini hapokei simu anakujibu alikuwa mbali nayo.
Hatimaye tabia hiyo ilinichosha, nilianza kutafuta katika mtandao mbinu ya kumthibiti na kumtuliza mwanamke, nilijikuta nimeingia kwenye tovuti ya Kiwanga Doctors kutokea Migori, Kenya.
Ndani ya muda mfupi tu, nikagundua watu hawa wamekuwa wakitoa huduma hiyo ukanda wa Afrika Mashariki na ninaweza kusaidika mara moja.
Niliamua kuchukua namba ya Kiwanga Doctors kutoka kwenye tovuti hiyo na kuwasiliana naye, nilizungumza naye kwa urefu na kunihakikishia ndani ya siku tatu nitapata jibu la anayechepika na mke wangu hadi kufikia hatua ya kunidharau na hata kuninyima haki yangu ya kupata tendo la ndoa.
Baada ya siku mbili nilipigiwa simu na namba ngeni na mtu aliyejitambulisha kuwa ni Polisi, aliniambia mke wangu wamefumaniwa na mwanamke mwenzake kwa kutembea na mume wa mtu. Nilienda hadi Polisi ambapo niliwakuta mke wangu na yule jamaa wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi huku wakihojiwa.
Mwanamke wa yule jamaa alianiambia mume wake amekuwa haonekani nyumbani hata wiki nzima akidai ana safari ya kikazi lakini sivyo, kumbe ndio wakati anakuwa na mke wangu.
Nami nilimueleza kuwa mke wangu naye alikuwa hivyo, basi kuhusu jambo hilo tukaamua kuyazungumza kama ndugu ya kuyamaliza na kila mtu kurejea nyumbani na mtu wake.
Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +255 763 926 750 au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.