Ijue siri ambayo wafanyabiashara wengi hawaisemi

Katika kutafuta kwangu nimekuja kugundua ya kuwa kila Mfanyabiashara anakuwa na siri yake ya mafanikio, ni wachache sana ambazo wanaweza kuzungumza wazi wazi jinsi ambavyo wamekuza biashara zao.

Wafanyabiashara wengi kutoa siri ambazo sio za kweli kuhusu mafanikio ya biashara zao ili kutopata washindani wa kweli, unapozifuata unajikuta ukipoteza mtaji wako wakati wao wanaendelea kutajirika.

Jina langu ni Alex, mkazi wa Dodoma, mwaka 2018 nilikutana na rafiki yangu Juni ambaye amekuwa akifanya biashara kwa miaka mingi, nilitaka kujua jinsi gani amefanikiwa ili nami nipite njia hiyo.

Alinieleza mambo ya kufanya na kuzingatia, niliyashika yote na kwenda kuyatekeleza kwenye biashara yangu ya kuuza vifaa vya magari, mwanzo biashara ilianza kama kuchangamka lakini baada ya muda mambo yalianza kwenda sivyo kabisa.

Wateja walikuwa wachache sana na baada ya miezi mitatu kodi ya frem yangu ikawa imeisha muda wake, sikuwa na hela ya kulipa tena ikanibidi zile bidhaa nilizokuwa nazo nizihamishie kwa mfanyabiashara mwenzangu anisadie kuviuza.

Niliamua kurejea nyumbani kijijini kwa ajili kupumzisha akili yangu kidogo, nilipenda kuwatembelea ndugu jamaa na marafiki ambao tulikuwa hatujaonana kwa miaka mingi.

Katika mazungumzo na Babu yangu pale Moshi, nilimwambia kuwa biashara imenishinda kwani sipati wateja kabisa na kodi inaisha muda wake nikiwa sijakusanya kiasi chochote.

Babu aliniambia; “Mjukuu wangu biashara za siku hizi zina mambo mengi, unaweza kuuza chakula kumbe nyota yako ya biashara ipo kwenye kuuza vifaa vya ujenzi”.

Maneno ya yule Babu niliona yana ukweli kabisa, nikamuuliza sasa Babu tunafanyaje, akaniambia niwasiliane na Kiwanga Doctors kwani nitapata usaidizi kwani vijana wengi wa pake kijijini wamenufaika na uwepo wake.

Nilimpigia Kiwanga Doctors na kumueleza kila kitu, aliniambia ningoje kama dakika 15 atanipigia, kweli baada ya muda huo alinipigia na kuniambia nyota yangu ya biashara ipo kwenye kuuza nyama, hivyo nifungue Bucha.

Baada ya kukaa kijijini kwa mwezi mmoja na nusu, nilirejea mjini na kufungua Bucha na kuanza kuuza nyuma, kwa kweli biashara hii ilichangamka sana.

Nilikuwa naleta kg zaidi ya 700 za nyama na zinamalizika kabla ya saa 12, wateja wangu walikuwa wengi hadi wengine wananitumia oda ya nyama usiku wa manane.

Namna biashara hii ilivyokuja kubadilisha maisha yangu, kuna wakati natamani ningekutana mapema Kiwanga Doctors maana amefungua mlango muhimu katika maisha yangu ambao nilikuwa nautamani kwa miaka mingi.

Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +255 763 926 750 au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.

Share the Post:

Related Stories

Jamaa asimulia baba yake alivyotembea na mkewe!

Naitwa Jamal, siku moja niliingia kwenye chumba changu cha kulala na nikamkuta mke wangu kitandani na baba yangu, ni jambo ambalo lilikuwa kama kisu moyoni mwangu. Maumivu hayakuvumilika, ni fedheha...

“Mwamechukua vyombo vyangu vyote vya ndani kisa madeni” simulizi

Naitwa Chazz kutokea Mbeya, kupindi cha nyuma nilikuwa nafanya kazi na kupokea kiasi kikubwa cha mshahara ila bado madeni yaliniandama sana, ilifika wakati nikahisi ya kuwa nimekuwa mtumwa wa kufanyia...

Apoteza kazi kwa kutumia kopyuta ya ofisi kutazama video chafu

Jina langu ni Zai kutokea Ilala, mara baada ya Bosi wangu kuwa na chuki ya waziwazi kwangu, alifanya mambo mengi ya kunikomoa ikiwa ni pamoja na kuninyima likizo, kunikata mshahara kwa kosa ambalo...

Kisa tamaa ya mali amuua shemeji, sakata lachukua sura mpya

Kama miaka miwili na nusu iliyopita maisha yangu yalikuwa yakielekea katika mwelekeo ambao nilitabiri kwamba katika miaka mitatu ijayo ningekuwa mmoja wa matajiri wakubwa kutokana na biashara katika...

Atoroka baada ya kumpa ujauzito mama mkwe wake!

Kweli hapa duniani kuna mambo ya ajabu sana, katika hali ambayo haikutarajiwa, jamaa mmoja aitwaye, Emma Wambua, mkazi wa Manyatta amejipata katika hali mbaya iliyomfanya kutoroka nyumbani kwake kwa...

Siri ya mtoto wa Mama Lishe kufanya vizuri kimasomo

Naitwa Mama Judi, nimejaliwa kupata watoto wanne ambao bado kwa sasa wanasoma shule ya msingi, nawapenda sana watoto wangu wote na nimekuwa nikihakisha kuwa wanapata kila mahitaji hasa ya shuleni...

Jamaa achukua uamuzi mgumu kisa mkewe kumsusia

Jina langu Matata kutokea Arusha, baada ya mke wangu kuanza tabia ya kuninyima tendo la ndoa kwa kisingizio kuwa amechoka na shughuli za kila siku, nilianza kupata wasiwasi kuhusu mwenendo wa tabia...

Tafrani mpangaji akijimilikisha nyumba isiyo yake!

Jina langu Zakayo kutokea Musoma, Baba yetu aliamua kujenga nyumba kubwa mbili kwa ajili ya watoto wake ili hapo baadaye tusije kuteseka katika maisha ya kulipa kodi, kila mtoto alipewa yake, mimi na...

Ijue siri ambayo wafanyabiashara wengi hawaisemi

Katika kutafuta kwangu nimekuja kugundua ya kuwa kila Mfanyabiashara anakuwa na siri yake ya mafanikio, ni wachache sana ambazo wanaweza kuzungumza wazi wazi jinsi ambavyo wamekuza biashara zao...