Skip to content
...
   

Hii ndiyo dawa ya wezi katika biashara, wengi wamefanikiwa

   

Kazi yangu ni biashara ya kuuza nafaka mbalimbali hapa mtaa wa Buza. Nimeifanya hii kazi kwa miaka sita, lakini changamoto kubwa ambayo imenirudisha nyuma sana ni wezi.

Wakati fulani nilifikiria kuhamisha duka langu na kwenda sehemu nyingine tofauti, lakini nikaona siwezi kukimbia wezi. Pia, kuhamia sehemu nyingine kungeweza kunipotezea wateja wangu na jina nililokuwa nimejijengea. Nilikuwa na uhakika wa kuuza angalau Tsh. 800,000 kwa siku kutokana na idadi ya wateja wangu.

Nikaamua kuvumilia na kuongeza jitihada zaidi kwenye biashara yangu. Nililazimika kuajiri walinzi kwa kulipa kampuni tofauti ili kulinda duka. Hii ilisaidia kwa miezi sita tu, lakini baadaye wezi walirudi na kuniibia bidhaa zenye thamani ya Tsh. milioni 12. Walinzi waliokuwepo walifungwa mikono, miguu, na midomo, wakapigwa vibaya hadi kujeruhiwa.

Nilipofika asubuhi nikaambiwa mlinzi yuko hospitalini akiwa katika hali mbaya. Nilikwenda kituo cha Polisi kutoa taarifa na kisha nikaongozana na askari hadi dukani, baadaye hadi hospitalini. Bahati mbaya, mlinzi alipoteza maisha kabla ya kutoa ushahidi wowote wa kuwafichua wahusika.

Duka langu lilifungwa kwa siku 25 wakati askari wakifanya uchunguzi. Niliporuhusiwa kulifungua tena, niliambiwa wahusika watapatikana muda si mrefu. Kila Ijumaa niliripoti kituoni, lakini miezi mitatu ilipita bila majibu yoyote. Wasiwasi wangu ukaongezeka kwamba huenda wezi wangerudi tena.

Nikaamua kutafuta msaada wa ziada. Siku moja nikiwa mtandaoni nilipata namba ya Kiwanga Doctors: +255 763 926 750. Nilipozungumza nao na kueleza shida yangu, walinielekeza hatua za kufuata na kunihakikishia suluhisho ndani ya masaa 24.

Usiku huo nilipigiwa simu na askari kuwa kundi la watu sita limekamatwa mlangoni kwa duka langu baada ya kushindwa kuondoka. Nilijua mara moja ni kazi ya Kiwanga Doctors. Nilipofika asubuhi, niliwashangaa wahusika kwani walikuwa watu ninaowajua, akiwemo mfanyabiashara mwenzangu.

Nilifuata maelekezo niliyokuwa nimepewa na baada ya hatua zote, askari waliwachukua na hadi sasa wako gerezani. Nawashukuru sana Kiwanga Doctors kwa msaada wao mkubwa. Leo hii biashara yangu iko salama na naendelea kwa amani. Wapigie +255 763 926 750.

   

CALL KIWANGA DOCTORS

 
   
 

WHATSAPP KIWANGA DOCTORS

 
   

EMAIL KIWANGA DOCTORS