Dawa ya mume mwenye gubu ndani ya nyumba!

Ndoa ama mahusiano bila ya mapenzi huwa si hayaendi mbali kwani mapenzi huwa kiini cha umoja na mshikamano. Wapenzi kwenye mahusiano hupaswa kuwajibika na kuelewana kwa wakati wowote ili kuwezesha mahusiano kuwa yenye matamanio.

Tulikuwa tumefunga ndoa na mume wangu ambapo mwaka mmoja ulikuwa umepita sasa tangu kufanya harusi, kwa hakika maisha yalikuwa mazuri kwani Ben ambaye ndiye mume wangu alikuwa mwenye mapenzi na mtu ambaye alikuwa mchangamfu katika kila hali. Katika siku zetu za kuchumbiana alikuwa ni mtu ambaye alikuwa na maepnzi si haba.

Maneno matamu aliyoniambia yalikuwa ama kwa hakika yananizingua pakubwa. Mimi name sikuwachwa nyuma kwani kila ushikwapo shikamana. Nilimwonyesha mapenzi kama vile kumvisha mavazi na hata wakati mwingine tulienda bafuni kukoga kwa pamoja.

Hali hii ilianza kubadilika ambapo mume wangu alianza pole pole kuwa mwenye dharau nisijue ni lipi ambalo sikufanya kwa matumaini yake. Kando na hapo awali, alianza kuja nyumbani akiwa amenuna na hata wakati mwingine ilinichukua muda kuweza kumwelewa.

Kila wakati alifika nyumbani na kujitupa kwenye kochi bila hata ya kuzungumza chochote suala lililonitia wasiwasi kama mke. Akilini nilijiambia labda alikuwa keshapata mrembo mwingine ambaye alikuwa ndiye mpango wa kando.

Lakini ni vipi mpango wa kando wake alikuwa na mapenzi kuliko mimi ambaye nilimwelewa mume wangu? Nilifanya uchunguzi wala sikubaini chochote ambacho mume wangu alikuwa akikasirikia kila mara.

Pesa alikuwa nazo, na mimi pia nilimsaidia kukimu majukumu kadhaa ya nyumba kwani nilikuwa na kazi wakati ule, kila nilipotaka mazungumzo naye alikataa na kusema kwamba kila kitu kilikuwa sawa na hakuna jambo lolote lilikuwa limeharibika.

Hapo awali nilimsindikiza kila alipoenda kazini lakini wakati huu alisema kuwa angeenda mwenyewe wala hakutaka usaidizi wangu.

Siku zilienda akiwa bado amenuna na sikuwa tayari kuishi katika ndoa ile, nilimwambia rafiki yangu Agy suala lile na hapo akanieleza kwamba angeweza kunisaidia katika hali yoyote ile.

Alinielekeza kwa Kiwanga Doctors kwani yeye pia alikuwa kakumbana na shida kama ile lakini Kiwanga Doctors aliimaliza. Nilipigia Kiwanga Doctors simu na wiki iliyofuatia nilikuwa katika ofisi zake mjini Kericho.

Alinipa wosia na hapo akanipa hakikisho kila kitu kilikuwa mikononi mwake na kwamba hali ingerudi kuwa shwai kabisa, nilirejea nyumbani na kwa kweli baada ya siku tatu mume wangu alikuwa keshabadilika.

Mara gii alikuwa mchangamfu na mwenye furaha kila wakati. Nilijiambia kuwa kumbe Dr. Kiwanga alikuwa amemaanisha maneno yake.

Hali ya uchangamfu ilirejea kwenye familia yetu kwa mara nyingine. Kando na hapo awali tulipokuwa tunafanya tendo la ndoa kwa siku moja kwa wiki, lakini sasa kila siku tunashiriki.

Basi chukua hatua muhimu leo hii kwa kuwasiliana na Kiwanga Doctors kupitia namba +255618536050 au tembelea tovuti yao, kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi katika eneo zima la Afrika Mashariki na Kati.

Share the Post:

Related Stories

“Nilikuwa nalala na kiu” mrembo asimulia mazito

Hakuna taasisi ina siri kubwa kama ndoa jamani na hiyo ni kutokana na msingi wake wa kuanzishwa kwake, haifai hata kidogo kutoa siri za ndani ya ndoa kwa marafiki.   Hata hivyo, nikiri wazi kuna...

Unavyoweza kujikinga na wabaya wako!

Kitu ambacho hatuwezi kukipinga ni kusema kwamba hakuna maadui katika maisha yetu, ukweli ni kwamba maaduni wapo na wamekuwa wakifanya kazi usiku na mchana kuhakikisha maisha yetu wanarudi nyuma...

Huyu mwanamke kanisingizia mambo ya aibu sana!

Mimi ni kijana ambaye najishughulisha na biashara mbalimbali, katika maisha yangu nimejifunza kuwa mtu ambaye unamuamini sana ndiye anaweza kukufanyia jambo paya sana maishani ingawa kuna watu wazuri...

Je, unataka kuongezwa mshahara kazini kwako?, hafanya hili

Nyongeza ya mshahara ni jambo ambalo limekuwa likimvutia kila mfanyakazi katika kazi yake, ndivyo ilivyokuwa na kwangu mimi, kila mara nilikuwa nikituma maombi ya nyongeza ya mshahara lakini...

Dawa ya kuongeza mvuto wa mapenzi ilivyonisaidia

Naitwa Suma kutokea Mwanza, nimekuwa nikifanya kazi ya ujenzi maeneo mbalimbali hapa nchini na kweli nashukuru nimekuwa nikipata fedha nzuri ambayo inatosha kuendesha maisha yangu. Kwa sasa naendesha...

Huna haja ya kumlinda mwanaume katika ndoa, haya hili!

Ukweli ni kwamba wanawake wengi wamekuwa wanasalitiwa sana wanaume zao ndani ya ndoa jambo linaloacha maumivu makali katika nyoyo zao na kubakia na huzuni tu. Mimi sikutaka kitu kama hicho katika...

Wezi Walivamia Duka Langu Usiku… Siku 7 Baadaye, Nyuki Wakawatambua kwa Ajabu

Siku moja asubuhi mapema, nilifika kazini kama kawaida. Lakini kabla hata sijafungua mlango wa duka langu, nilihisi kitu kimeenda kombo. Mlango ulikuwa wazi nusu, na ndani palikuwa pamevurugwa kama...

Je, unateswa na upotevu wa fedha?, fanya hivi

Hakuna mtu anayependa kuona fedha zake zinapotea bila ya yeye kuzifanyia shughuli yoyote ya kimaendeleo katika maisha yake, kila mtu anataka kuona fedha yake inatoka kihalali kabisa. Jina langu ni...

“Usiku sikuweza kupata usingizi kabisa,” jamaa asimulia

Jina langu ni Juma kutokea Pwani, ninaishi na mchumba wangu tangu mwaka 2022, katika maisha yangu hakuna ugonjwa ambao umewahi kunitesa kama Kaswende, niliumwa kiasi kwamba nikakata tamaa ya kuishi...