Dawa kwa wanaotaka kuacha kuvuta sigara

Jina langu ni Fetty kutokea Temeke, nikiwa na umri wa miaka 22 wakati nimejiunga na chuo nilianza kunywa pombe pamoja na kuvuta sigara, huo ni ushawishi wa kundi la marafiki niliokuwa nao, wengi walikuwa akivuta na kunywa.

Kwa kawaida kutokana na tamaduni zetu, ni wasichana wachache sana ambao huvuta sigara, mara nyingi wanaovuta sigara kwa wengi ni wanaume, hata mwanamke anayevuta sigara hawezi kuvuta kwa wakati mrefu sana.

Kuna kipindi lazima ataacha tu, kwa mfano mwanamke mjamzito hawezi kuvuta sigara wala kunywa pombe, endapo atafanya hivyo itakuwa ni hatari kwa afya yake na kiumbe kilichopo tumboni mwake.

Sasa kwa upande wangu hata nilipoliza chuo niliendelea na mtindo huo wa kuvuta sigari ingawa ilikuwa kwa siri sana, hata nyumbani kwetu hakuna aliyeweza kujua, hata ndugu zangu hakuweza kujua kuhusu jambo hilo.

Nilipofikisha umri wa miaka 26 nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tulipendana sana, aliahidi kunioa maana alivutia na mimi, alifikia hatua ya kuja kujitambulisha nyumbani kwetu, nami akanipeleka nyumbani kwao kunitambulisha.

Kweli alinioa na tukaanza kuishi kama mume na mke, mwanzo maisha yalikuwa ni mazuri tu, kipindi cha mwanzoni mwa ndoa yetu nilijitahidi sana nisiwe navuta sigara, nilikaa kama wiki mbili bila kuvuta ila uvumilivu ukanishinda.

Basi nikaanza kuvuta kwa kificho, akiwa kazini navuta hadi hamu ya sigara inaisha, kisha naswaki kinywa changu vizuri kiasi kwamba nahakikisha hakitakuwa na harufu ya sigara, vilevile nakuwa siongei naye kwa ukaribu.

Maisha yaliendelea hivyo hivyo ila siku moja akabaini kwa navuta sigara baada ya kuzikuta nimezificha chini ya dogoro, anasema kuna siku alisikia harufu ya sigara mdomoni kwangu ila hakuniuliza maana hakudhani kama naweza kufanya kitu kama hicho.

Hata hivyo, nilimbishia kwa asilimia 100 kuwa sivuti sigara, basi alinichukua hadi hospitali (maabara), nikapimwa na kugundulika ni kweli nimekuwa nikivuta sigara. Mume wangu alichukia sana, alinifukuza nyumbani nikarudi kwa wazazi wangu, wazazi waliposikia jambo hilo walihuzunika sana.

Siwezi kuimbuka siku hiyo, kwa hakika niliumia sana, nililia sana, nashukuru mume wangu alikuja kunichukua tena na kusema atanisaidia ili niache kuvuta sigara. Nashukuru niliweza kupata tiba kutoka kwa Kiwanga Doctors, mtaalamu ambaye mume wangu ndiye alinipeleka kwake.

Tangu wakati huo niliweza kuacha moja kwa moja kuvuta sigara, kwa sasa mimi ni mwanamke mzuri tu ambaye sivuti sigara na sasa ninaendesha maisha yangu vizuri bila ya tabu yoyote ile na siku sio nyingi natarajia kuitwa mama kwa mara ya kwanza.

Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +254 116469840 au tembelea tovuti yao, www.kiwangadoctors.co.tz kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.

Share the Post:

Related Stories

Jamaa asimulia baba yake alivyotembea na mkewe!

Naitwa Jamal, siku moja niliingia kwenye chumba changu cha kulala na nikamkuta mke wangu kitandani na baba yangu, ni jambo ambalo lilikuwa kama kisu moyoni mwangu. Maumivu hayakuvumilika, ni fedheha...

“Mwamechukua vyombo vyangu vyote vya ndani kisa madeni” simulizi

Naitwa Chazz kutokea Mbeya, kupindi cha nyuma nilikuwa nafanya kazi na kupokea kiasi kikubwa cha mshahara ila bado madeni yaliniandama sana, ilifika wakati nikahisi ya kuwa nimekuwa mtumwa wa kufanyia...

Apoteza kazi kwa kutumia kopyuta ya ofisi kutazama video chafu

Jina langu ni Zai kutokea Ilala, mara baada ya Bosi wangu kuwa na chuki ya waziwazi kwangu, alifanya mambo mengi ya kunikomoa ikiwa ni pamoja na kuninyima likizo, kunikata mshahara kwa kosa ambalo...

Kisa tamaa ya mali amuua shemeji, sakata lachukua sura mpya

Kama miaka miwili na nusu iliyopita maisha yangu yalikuwa yakielekea katika mwelekeo ambao nilitabiri kwamba katika miaka mitatu ijayo ningekuwa mmoja wa matajiri wakubwa kutokana na biashara katika...

Atoroka baada ya kumpa ujauzito mama mkwe wake!

Kweli hapa duniani kuna mambo ya ajabu sana, katika hali ambayo haikutarajiwa, jamaa mmoja aitwaye, Emma Wambua, mkazi wa Manyatta amejipata katika hali mbaya iliyomfanya kutoroka nyumbani kwake kwa...

Siri ya mtoto wa Mama Lishe kufanya vizuri kimasomo

Naitwa Mama Judi, nimejaliwa kupata watoto wanne ambao bado kwa sasa wanasoma shule ya msingi, nawapenda sana watoto wangu wote na nimekuwa nikihakisha kuwa wanapata kila mahitaji hasa ya shuleni...

Jamaa achukua uamuzi mgumu kisa mkewe kumsusia

Jina langu Matata kutokea Arusha, baada ya mke wangu kuanza tabia ya kuninyima tendo la ndoa kwa kisingizio kuwa amechoka na shughuli za kila siku, nilianza kupata wasiwasi kuhusu mwenendo wa tabia...

Tafrani mpangaji akijimilikisha nyumba isiyo yake!

Jina langu Zakayo kutokea Musoma, Baba yetu aliamua kujenga nyumba kubwa mbili kwa ajili ya watoto wake ili hapo baadaye tusije kuteseka katika maisha ya kulipa kodi, kila mtoto alipewa yake, mimi na...

Ijue siri ambayo wafanyabiashara wengi hawaisemi

Katika kutafuta kwangu nimekuja kugundua ya kuwa kila Mfanyabiashara anakuwa na siri yake ya mafanikio, ni wachache sana ambazo wanaweza kuzungumza wazi wazi jinsi ambavyo wamekuza biashara zao...