Bibi wa miaka 60 ajifungua baada ya kuitwa aliyelaaniwa

Katikati ya mji wa Pwani kinatokea kisa kimoja ambapo mwanamke mmoja, Lulu, 60, amekuwa gumzo na kuwashangaza wenyeji wa eneo kwa tukio lisilo la kawaida ambalo limebadili maisha yake.

Lulu alikuwa akiishi maisha ya upweke na kukata tamaa, mumewe alikuwa amemtelekeza, akimshutumu kwa kulaaniwa kutokana na kutokuwa na uwezo wa kupata watoto. Unyanyapaa na upweke ulioambatana na hali yake ya kutokuwa na mtoto ulikuwa mzigo mzito kuubeba.

Walakini, upepo ulianza kubadilika na kuwa neema kwa Lulu ikiwa ni baada ya kuomba msaada kutoka kwa Kiwanga Doctors ambao ni waganga wa kienyejji wanaojulikana kwa umahiri wao wa kutatua changamoto mbalimbali za maisha.

Hakujua kwamba uamuzi huo ungekuwa mwanzo wa sura mpya maishani mwake. Miezi kadhaa baadaye, Lulu alianza kupata dalili za ujauzito.

Habari hiyo ilikutana na mashaka na kutoamini, mwanamke wa umri wake, yaani miaka 60 angewezaje kupata mimba?, lakini kadiri tumbo lake lilivyokua, ndivyo matarajio na udadisi ulivyoongezeka miongoni mwa wenyeji.

Miezi tisa ikatimia, Lulu akakimbizwa katika kituo cha afya cha eneo hilo, kusema kweli mji mzima ulishusha pumzi huku wakisubiri habari hiyo, walikuwa na kiu ya kutaka kusikia ni kitu gani hasa kimetokea.

Lulu hakuwa amezaa mtoto mmoja tu, bali watano! jambo ambalo ni nadra sana kwa wanawake wengi, tena kwa umri wake, ilikuwa ni habari ya kushangaza sana. Habari hizo zilisambaa mithili ya moto wa nyika na kuwaacha wenyeji wakiwa na mshangao.

Mwanamke huyo ‘aliyelaaniwa’ kama alivyodai mume wake hapo awali, sasa ni mama wa watoto watano akiwa amefanikiwa kuvunja dhana potofu na kukaidi uwezekano huo.

Watoto hao wa miujiza wakawa mwanga wa tumaini na ushuhuda wa ukweli kwamba haijachelewa sana kwa maisha kukushangaza au kukupatia kile ulichokuwa unahitaji.

Na katika hali isiyotarajiwa, mume wa Lulu aliyeachana alirudi, akiwa amejawa na furaha na majuto, aliomba msamaha kwa kuondoka na kumuita mwanamke aliyelaaniwa.

Nyumba yao ambayo hapo awali ilijawa na kukata tamaa na upweke, sasa imejaa furaha na vicheko vya wato watano. Hadithi ya Lulu ni ushahidi wa tiba ya uhakika kutoka kwa Kiwanga Doctors kusaidia kina mama kubeba ujauzito baada ya kusumbuka kwa muda mrefu bila mafanikio.

Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +255 763 926 750 au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.

Share the Post:

Related Stories

Bibi wa miaka 60 ajifungua baada ya kuitwa aliyelaaniwa

Katikati ya mji wa Pwani kinatokea kisa kimoja ambapo mwanamke mmoja, Lulu, 60, amekuwa gumzo na kuwashangaza wenyeji wa eneo kwa tukio lisilo la kawaida ambalo limebadili maisha yake. Lulu alikuwa...

. “Nilitazama CCTV Camera nikaona wamejifunga vitambaa vyeusi machoni”

Hakuna jambo ambalo limekuwa likiwarudisha nyuma na hata kuwafilisi wafanyabiashara kama wizi, wafanyabiashara wengi wamekuwa wakilengwa sana wezi maana wao ndio wenye fedha kila wakati. Mimi ambaye...

Aambukizwa ugonjwa wa zinaa na mpenzi wake kwa makusudi

Jina langu Dullah, nilikuwa katika mahusiano na binti mmoja aitwaye Nasra ambaye ana kama miaka 26, katika mapenzi yetu kuna kipindi tulikuwa tunaachana na kurudiana maana tulikuwa tunapendana sana...

Kisa harufu kali mwilini aachika mara kibao

Kutana na Zuwena, alikuwa na tatizo lililofanya maisha yake kukosa amani. Tatizo hilo ni kuwa mwili wake ulikuwa ukitoa harufu kali kiasi kwamba ilifanya kuachwa na wanaume wake wawili na kumfanya...

Baada ya kupokea tu fedha za kustaafu, majanga yakaanza!

Nilistaafu na kupata kiinua mgongo changu, hivyo nikaanza kujenga jengo kijijini kwangu, ilikadiriwa kugharimu Ksh2.1 milioni fedha ambayo haikuwa shida kwangu kwani nilikuwa nimepokea zaidi ya Ksh10...

Usipoteze Muda Kwa Maelezo Yasiyo Sahihi Hii Ndio Njia Halisi ya Kuwafikia Kiwanga Doctors

Kama umekuwa ukitafuta jinsi ya kuwasiliana na Kiwanga Doctors nchini Tanzania, basi hii ndiyo habari unayotafuta. Watu wengi wanapitia changamoto mbalimbali kwenye maisha yao. Baadhi wanapoteza...

Akumbwa na mazito kisa kuuza uroda

Jina langu ni Da Cutty kutokana na ugumu wa maisha nilijikuta nimeingia kwenye biashara ya ukahaba bila mimi mwenye kupenda, nilifanya kazi ile kishingo upande, ni vile tu sikuwa na jinsi ya kuweza...

Mbunge atoa fedha kibao kwa msichana aliyempa ujauzito

Mrembo Easter Atieno kutoka Busia alikuwa katika uhusiano wa siri kwa miaka miwili na mbunge mmoja kutoka Magharibi mwa Kenya, wawili hao walionekana kinachowakutanisha ni kazi tu ila ukweli ni kamba...

Mume alalama kushindwa kufurukuta kwa mkewe

Mwanaume mmoja huko Tanga, Juma amejitokeza na kumshutumu mkewe Sophia kwa kumtumia Juju, hii ni baada kuona mkewe ndiye amekuwa kiongozi wa ndoa yao kitu ambacho ni kinyume na tamaduni za kiafrika...