Amenilazimisha kutoa mimba zake tano kisa yeye ana mke!

Naitwa Aisha kutokea Tanga, baada ya kuachana na mwanaume niliyezaa naye, alikuwa ananiambia kwamba kama anataka amhudumie mtoto basi ni lazima kulala naye.

Kweli alikuwa analipa kodi, anatoa kila kitu na alikuwa hataki nifanye kazi, alikuwa anakuja kwangu anavyojisikia, hakutaka niwe na mwanaume wengine na hata akisikia kuwa kuna mtu ananifuatilia atamtafuta huyo mtu na kumuambia aachane na mke wake.

Wakati huo yeye ana mke wake tena ndoa ya kanisani angalau ingekuwa ya kiislamu ungesema unaweza hata kumroga akuoe mke wa pili lakini hakuna kitu kama hicho.

Anakuja anavyojisikia na ukibeba mimba atakulazimisha mpaka utoe kama ukijifanya mjanja usema usitoe kwani umri unaenda basi hahudumii chochote, na hapo ndipo nilipochoka na kwenda kutafuta msada kwa Kiwanga Doctors.

Nakumbuka kuna kipindi nilibeba mimba nikasema hii sitoi, miaka 33 kwanini nitoe mimba wakati nataka mtoto. Nilishangaa halipii ada ya mtoto, mara akaacha kutoa hela ya chakula umeme ulikatika wiki tatu hakununua hata luku.

Maisha yalinishinda nikamuomba hela ya kutoa, aliona kama nitatumia kula alichokifanya akanipeleka kwa daktari wake na kuhakikisha mimba imetoka.

Kweli niliumia sana kwani mbali na kwamba nilikaa hospitalini wiki mbili sijitambui lakini kihisia aliniumiza sana, baada ya hapo nimepona anarudi kwangu kama kitu cha kawaida tu.

Yaani ni kama hana hisia ni kama hakuna kilichotokea basi ni atataka mfanye mapenzi tena bila kinga. Kwa miaka 10 tangu kuoa nimetoa mimba zake zaidi ya tano.

Nimekuwa nikiishi hivyo kama mchepuko wa kudumu huku akinibana kwa kila kitu, kila wakati ni mtu wa kugombana na mke wake alikuwa akiniaminisha kwamba labda atamuacha lakini hakuwahi kumuacha anaomba msamaha wanarudiana.

Hataki nijulikane kwao, hakuna ndugu yake hata mmoja hata ajue kuwa ana mtoto na mimi, kuna kipindi mke wake ni kama alihisi kuna meseji nilituma alinipigia kunitukana kuwa namaharibia ndoa yake na kunilazimisha nikubali kuwa mimi ni mwanawake wa rafiki yake ambaye anatusuluhisha.

Huwezi amini pamoja na kuvumilia yote hayo lakini baada ya mke wake kuhisi tu kuwa yuko na mimi aliniambia hanitaki tena, akaacha kulipa kodi na kuniambia nitajua mwenyewe kama nitarudi nyumbani au la. Kitu pekee ambacho mpaka sasa analipa ni ada ya mtoto.

Baada ya kuchoka yote hayo, nilisafi hadi Migori, Kenya ambapo nilikutana na Kiwanga Doctors na kumueleza shida yangu, mganga huyu wa jadi alinisikiliza kwa makini na kuamua kunifanyia marriage spell na money spell ambazo zilileta mabadiliko maishani mwangu.

Kwanza hiyo money spell ilinisaidia kupata kazi nami kuwa na fedha zangu kiasi kwamba niliacha kuwa tegemezi kwa yule mwanaume na mwisho wa siku nikaachana naye moja kwa moja maana niliweza kulipa kodi ya nyumba pekee yangu na kumsomesha mwanangu.

Pili marriage spell iliniwezesha kupata mwanaume mwenye upendo wa dhati ambaye sasa ameniona na tunaishi vizuri tu. Basi wasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba +254 769404965 au tembelea tovuti yao www.kiwangadoctors.co.ke au tuma email [email protected].

Share the Post:

Related Stories

Suluhisho la migogoro ya ndoa ni hili

Hakuna jambo huwaacha watoto njia panda kama ugomvi baina ya wazazi wao maana kuna muda hulazimika kuchagua upande, migogoro ndani ya ndoa imeacha majeraha makubwa sana katika nyoyo za watoto. Jina...

Nilivyoamka na Sh3 milioni ambayo sijui imetoka wapi?

Kwenye kufanikiwa kimaisha kuna tegemea na mambo mengi sana, kufanya kazi kwa bidii au kujuana na watu wengi wenye uwezo katika eneo fulani hakutoshi kukuhakikishia kufanikiwa kimaisha. Na ukweli ni...

Mbinu ya kupangilia uzazi kwa wanawake

Habari yako mdau wa Kiwanga Doctors?, jina langu ni Censia, ni mama wa watoto sita, niliolewa na mume wangu, Dida miaka nane iliyopita, tunaishi moja ya vijiji katika mkoa wa mkoa wa Kilimanjaro...

Nilivyopona Ugonjwa wa Ajabu Baada ya Mume Wangu Kulala na Mwanamke wa Ajabu

Miaka miwili iliyopita, maisha yangu yalibadilika ghafla. Nilikuwa mwanamke mwenye nguvu, mwenye afya njema, na mwenye furaha ya ndoa. Lakini siku moja, kila kitu kilianza kwenda mrama bila sababu...

Unavyoweza kukabiliana na migogoro ya mali

Katika familia yetu tumezaliwa watoto 12, wakiume tukiwa saba, huku wa kike wakiwa ni watano. Tuliishi upendo kama ndugu maana ndivyo wazazi wetu walikuwa wanatusisitizia kila wakati. Jina langu ni...

Unavyoweza kukabiliana na migogoro ya mali

Unajua kuna mambo yanaweza kukutokea hadi wewe mwenyewe ukawa unashangaa maana yake ni ipi hasa, ndicho nilichonikuta mimi pale ambapo mama mwenye nyumba aliponiita nyumbani na kuniambia kuwa...

Ni biashara ndogo tu ila imebadili maisha yangu!

Katika familia yetu tumezaliwa watoto 12, wakiume tukiwa saba, huku wa kike wakiwa ni watano. Tuliishi upendo kama ndugu maana ndivyo wazazi wetu walikuwa wanatusisitizia kila wakati. Jina langu ni...

Huu ni msaada kwa wanaokataliwa kila wakitongoza

Waswahili husema kutongoza ni aina nyingine ya sanaa ambayo inahitaji ujuzi pia, kwa kawaida wanawake wanahitaji na kupenda maneno matamu yenye ushawishi kutoka kwa wanaume. Hata hivyo, sio wanaume...

Hata biashara nazo zinahitaji ulinzi

Kwa miaka mingi nimekuwa nikifanya biashara maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam, nashukuru kipato ambacho nimekuwa nikipata kinaniwezesha kumudu gharama za maisha ya kila siku. Naweza kuitunza...