
Alikataliwa na Kila Mwanamke Aliyetongoza Sasa Ana Mke Daktari Bingwa Baada ya Kupata Usaidizi Maalum
Kwa miaka mingi nilijitahidi kupata mpenzi wa kweli, lakini nilionekana kama mtu asiye na mvuto kabisa. Kila mwanamke niliyemfuata alinicheka, kunikwepa au kunitolea udhuru wa ajabu.
Niliwahi kumpelekea msichana maua kazini kwake lakini akaniambia wazi kuwa siyo “type” yake. Mwingine alinikubali kwa wiki moja tu, kisha akaniambia amerudi kwa ex wake. Ilikuwa fedheha ya maisha.
Wakati rafiki zangu walikuwa wanachumbiana na kuoa, mimi nilibaki mgeni wa harusi au mshika droo tu. Kila likizo ya familia iligeuka kuwa kikao cha maswali “Mbona huleti mchumba?” “Umeamua kuoa kazi au nini?” Nilicheka nje lakini niliumia ndani.
Kitu kilichoniumiza zaidi ni pale nilipojaribu kumueleza msichana mmoja jinsi nilivyompenda kwa muda mrefu. Alinisikiliza kwa huruma, kisha akaniambia: “Wewe ni mzuri kama rafiki tu.” Maneno hayo yalinikata nguvu kabisa. Nilijiuliza: Je, kuna kitu kibaya kwangu kisichoonekana?
Siku moja nilikutana na jamaa mmoja aliyeniambia ukweli mgumu. Aliniambia: “Tatizo lako siyo sura wala kipato ni kwamba baraka ya mapenzi haijafunguliwa kwako.
Kuna mzizi wa kiroho unaokuzuia kuonekana kuwa wa maana kwa wanawake.” Kwa kweli, nilisita kuamini. Lakini nilivyotafakari historia yangu ya mapenzi, nilihisi anaweza kuwa sahihi.
Ndipo akanielekeza kwa mtaalamu wa tiba asilia aliyemsaidia yeye kupata mke baada ya miaka mingi ya kupigwa danadana. Nilichukua namba +255 763 926 750 na kumpigia kwa tahadhari. Nilimweleza kila kitu kuhusu maisha yangu ya mapenzi yaliyojaa kukataliwa.
Alichonijibu kilinistua: “Wewe umepakwa kivuli kisichokuruhusu kung’aa kwa yule anayekustahili. Lakini hilo linaweza kuondolewa.”
Alinitumia dawa ya kuoga kwa siku saba pamoja na pete ya mvuto wa mapenzi. Aliniambia niitumie kwa maombi ya kweli, na niwe na moyo wa imani.
Nilianza kutumia dawa hizo usiku. Kila baada ya kuoga, nilihisi mwanga mpya ndani yangu. Siku ya nne, msichana mmoja ambaye tulikuwa tunafanya kazi ofisi moja alianza kuniongelea kwa uchangamfu wa tofauti.
Alinitania kuhusu mavazi yangu, kisha akaniambia siku moja nitakuwa mume wa mtu mzuri sana. Niliyachukulia kama masihara. Lakini ndani ya wiki moja, mwanamke huyo ndiye aliyekuwa wa kwanza kuniuliza: “Mbona hujawahi kuniambia kama una mtu?”
Nilijawa na mshangao. Ilikuwa kama ndoto. Tulianza kuzungumza kwa ukaribu, tukaanza kutoka, na baada ya miezi minne, tulipendana sana. Nilipojua kuwa ni daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama, sikutaka kuamini.
Leo hii ni mke wangu. Tunao mtoto mmoja na maisha yetu ni ya amani na heshima. Yule mtu niliyemtafuta kwa miaka mingi kumbe alikuwa nyuma ya kivuli cha mapenzi kisichoonekana.
Kama wewe pia unapitia hali kama niliyopitia, usikate tamaa. Wasiliana na mtaalamu huyo kupitia +255 763 926 750. Kuna njia za kufungua milango ya upendo na mvuto wa kweli. Nilipofungua njia hiyo, maisha yangu yalianza upya na leo ninapendwa kweli kweli.