Skip to content
...
   

Jamaa amsubiria mwanamke kwa miaka 19 akishuhudia akiolewa mara mbili ila sasa ni mkewe!

   

Nilipokutana na George mwaka 2012 nilikuwa bado msichana mdogo, lakini cha ajabu alionekana kunielewa kwa namna ya kipekee. Tulipoanza mahusiano, niliona kama ni jambo la kawaida tu, lakini kadri siku zilivyozidi kusonga, niligundua upendo wake ulikuwa wa dhati kabisa.

Mwaka 2016 niliingia kwenye ndoa yangu ya kwanza. Nilidhani pale ndipo kila kitu kati yetu kingeishia, lakini George hakuwahi kukata tamaa. Alibaki akinisindikiza kimya kimya, kana kwamba alikuwa akisubiri majira ya mabadiliko. Na kweli, ndoa yangu ile haikudumu—nikaachika. Hata pale bado hakunikimbia, aliendelea kunisapoti.

Nilipojaribu tena bahati yangu ya ndoa ya pili, George bado alibaki pale pale—akinijali kwa kila hali. Nilipokuwa nikigombana na mume wangu, ndiye aliyekuwa karibu nami. Alinisaidia mahitaji yangu, akanifariji, na akanionesha taswira ya mwanaume ambaye yupo tayari kubeba udhaifu wangu wote bila kunihukumu.

Miaka ikasogea. Ndoa yangu ya pili ilidumu kwa miaka nane, lakini changamoto kubwa za uzazi zikaivunja pia. Hatimaye nilijikuta nimezalishwa na mwanaume mwingine. Nilidhani hapo ndipo mwisho wa tumaini lolote kati yangu na George. Lakini kinyume chake, ndiye aliyesimama imara kama nguzo maishani mwangu.

Alimchukulia mtoto wangu kama wake wa damu. Alimjali kupita maelezo, hadi mimi mwenyewe nikabaki nikishangaa. Alikwenda mbali zaidi, akamtambulisha hadharani kuwa ni mwanawe. Nilijiuliza mara nyingi: “Huyu mwanaume ana moyo wa aina gani?”

Mpaka leo hii, George hajawahi kuoa wala kupata mtoto. Ana umri wa takribani miaka 39 au 40. Sikuwahi kumfumania na mwanamke, wala kuona dalili ya michepuko kwenye simu yake. Tumeishi pamoja kwa zaidi ya miaka 19 bila kugombana vibaya. Tukikosana kidogo, tunayamaliza papo hapo.

 

Nilipowahi kumwambia aje nyumbani ajitambulishe rasmi, jibu lake daima lilikuwa la upole: “Nitakuja, ngoja nijitafute kwanza.” Jibu ambalo mara nyingi liliniacha nikijiuliza: ni nini kinachomfanya aendelee kusubiri kwa miaka yote hii bila kuchoka?

Lakini majibu ya maswali yangu yalikuja pale nilipoamua kutafuta msaada kwa Kiwanga Doctors kutoka Migori, Kenya. Kupitia huduma zao za kienyeji na tiba asilia, nilipata suluhisho la changamoto zangu za kifamilia na za kifedha. Walinisaidia kuondoa mikosi na mizizi ya kuvunjika kwa ndoa, na ndipo nikatambua kuwa George alikuwa kweli chaguo la maisha yangu.

Sasa tunapanga maisha yetu kwa furaha na matumaini makubwa. Yote haya yamewezekana baada ya kupata msaada kutoka kwa Kiwanga Doctors ambao wanapatikana kupitia namba: +255 763 926 750. Ndiyo maana leo ninashuhudia kuwa mapenzi ya kweli yapo, na msaada wa Kiwanga Doctors unaweza kubadili maisha yako pia.

   

CALL KIWANGA DOCTORS

 
   
 

WHATSAPP KIWANGA DOCTORS

 
   

EMAIL KIWANGA DOCTORS