Nilivyoshinda mkosi wa kukimbiwa na wanawake!

Ukweli ni kwamba huku duniani kuna mikosi ya kila namna, mikosi ni mfululizo wa visa vibaya ambavyo vinaweza kuwa vinajirudia kila wakati na bila kujua sababu ni nini hasa.

Mathalani kuna mtu kila bishara anayofungua haiwezi kufikisha mwaka mmoja, mwingine kila gari analonunua lazima liibiwe, mwingine kila mtoto anayempeleka shule anafeli.

Au kuna familia unakuta mabinti wanazalia nyumbani tu bila kuolewa, ukichunguza unakuja kugundua hata mama yao naye alizalia nyumbani na hapo watoto wanapoishi ni kwa Babu na Bibi yao.

Hiyo ndio mikosi yenyewe, kipindi ambacho jamii zetu zinaheshimu mila na tamaduni kabla ya kuathiriwa na utamaduni za magharibi zilizoletwa na utandawazi, jambo kama hilo likitokea lazima wazee wakae na wafanye jambo.

Ila sasa hiyo imekuwa ni ngumu, watu wanapata mikosi kila siku, wanaumia, wanarudi nyuma kimaendeleo na kiuchumi, hakuna anaweza kujua kipi kifanyike kwa sasa.

Hata hivyo, kuna hawa Kiwanga Doctors, ni kiboko kabisa ya mikosi katika maisha, hawa ndio walioniondoa katika mkosi wa ndoa zangu kuvunjika.

Miaka ya nyuma kila mwanamke ambaye nilikuwa namuoa, baada ya miaka miwili, basi angechukua vitu vyake na kuondoka bila kusema sababu yoyote ile na mara moja angeolewa na mwanaume mwingine.

Wanawawake wanne ambao niliwaoa waliondoka na kwenda kuolewa na watu wengine, na kibaya zaidi walikuwa wanaondoka bila hata kunizalia mtoto.

Ndipo nilipopata tiba kutoka kwa Kiwanga Doctors na sasa mambo ni shwari kabisa, nimeoa na huu ni mwaka wa sita nipo kwenye ndoa na tumejaliwa kupata watoto wawili na mmoja tayari ameanza shule ya msingi.

Ikiwa unahitaji huduma kama hiyo, ninakushauri kuwa fika au wasiliana na Kiwanga Doctors. Tiba zao zinafanya kazi haraka na wanaweza kukusaidia katika changamoto mbalimbali za kimaisha, kuanzia masuala ya uhusiano hadi matatizo ya kiafya.

Basi chukua hatua muhimu leo hii kwa kuwasiliana na Kiwanga Doctors kupitia namba +255 763 926 750 au tembelea tovuti yao, kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi katika eneo zima la Afrika Mashariki na Kati.

 

Share the Post:

Related Stories

Jamaa asimulia baba yake alivyotembea na mkewe!

Naitwa Jamal, siku moja niliingia kwenye chumba changu cha kulala na nikamkuta mke wangu kitandani na baba yangu, ni jambo ambalo lilikuwa kama kisu moyoni mwangu. Maumivu hayakuvumilika, ni fedheha...

“Mwamechukua vyombo vyangu vyote vya ndani kisa madeni” simulizi

Naitwa Chazz kutokea Mbeya, kupindi cha nyuma nilikuwa nafanya kazi na kupokea kiasi kikubwa cha mshahara ila bado madeni yaliniandama sana, ilifika wakati nikahisi ya kuwa nimekuwa mtumwa wa kufanyia...

Apoteza kazi kwa kutumia kopyuta ya ofisi kutazama video chafu

Jina langu ni Zai kutokea Ilala, mara baada ya Bosi wangu kuwa na chuki ya waziwazi kwangu, alifanya mambo mengi ya kunikomoa ikiwa ni pamoja na kuninyima likizo, kunikata mshahara kwa kosa ambalo...

Kisa tamaa ya mali amuua shemeji, sakata lachukua sura mpya

Kama miaka miwili na nusu iliyopita maisha yangu yalikuwa yakielekea katika mwelekeo ambao nilitabiri kwamba katika miaka mitatu ijayo ningekuwa mmoja wa matajiri wakubwa kutokana na biashara katika...

Atoroka baada ya kumpa ujauzito mama mkwe wake!

Kweli hapa duniani kuna mambo ya ajabu sana, katika hali ambayo haikutarajiwa, jamaa mmoja aitwaye, Emma Wambua, mkazi wa Manyatta amejipata katika hali mbaya iliyomfanya kutoroka nyumbani kwake kwa...

Siri ya mtoto wa Mama Lishe kufanya vizuri kimasomo

Naitwa Mama Judi, nimejaliwa kupata watoto wanne ambao bado kwa sasa wanasoma shule ya msingi, nawapenda sana watoto wangu wote na nimekuwa nikihakisha kuwa wanapata kila mahitaji hasa ya shuleni...

Jamaa achukua uamuzi mgumu kisa mkewe kumsusia

Jina langu Matata kutokea Arusha, baada ya mke wangu kuanza tabia ya kuninyima tendo la ndoa kwa kisingizio kuwa amechoka na shughuli za kila siku, nilianza kupata wasiwasi kuhusu mwenendo wa tabia...

Tafrani mpangaji akijimilikisha nyumba isiyo yake!

Jina langu Zakayo kutokea Musoma, Baba yetu aliamua kujenga nyumba kubwa mbili kwa ajili ya watoto wake ili hapo baadaye tusije kuteseka katika maisha ya kulipa kodi, kila mtoto alipewa yake, mimi na...

Ijue siri ambayo wafanyabiashara wengi hawaisemi

Katika kutafuta kwangu nimekuja kugundua ya kuwa kila Mfanyabiashara anakuwa na siri yake ya mafanikio, ni wachache sana ambazo wanaweza kuzungumza wazi wazi jinsi ambavyo wamekuza biashara zao...