Unavyoweza kukabiliana na migogoro ya mali

Katika familia yetu tumezaliwa watoto 12, wakiume tukiwa saba, huku wa kike wakiwa ni watano. Tuliishi upendo kama ndugu maana ndivyo wazazi wetu walikuwa wanatusisitizia kila wakati.

Jina langu ni Nelson, mtoto wa mwisho wa mzee Nyaku, katika umri wangu wa miaka 25 nimepitia mgogoro mkubwa ambayo siweza kuja kuusahau hata pale nitakapokuwa mzee, nao mgogoro wa ardhi baina yangu na kaka zangu.

Kipindi baba yetu, Mzee Nyaku anafariki, aliachia Wosia kuwa mimi ndio nitarithi eneo la shamba ambalo ipo nyumba yetu, pia nyumba itakuwa yangu kwa sababu mimi ni mtoto wa mwisho.

Jambo hilo halikuwapenda kaka zangu, walisema Kwa vile mimi nilikuwa karibu sana na Baba ndio nilitumia fursa hiyo kuandika Wosia huo na sio Baba.

Ni jambo lilinishangaza kwa maana sikuwahi kujua kama kuna siku Baba aliandika Wosia, na sijawahi kumshawishi kivyovyote kunipa mali hizo. Bali nachojua mtoto wa mwisho ndio hupewa hivyo, ukizingatia nilikuwa karibu sana na Baba kipindi cha mwisho cha uhai wake.

Basi walienda kunifungulia kesi Mahakamani wakipinga mimi kuchukua mali hizo, kesi ilikuwa inasikilizwa na kuhairishwa kila mara kiasi kwamba nilianza kuchoka.

Wakati kesi inaendelea, asubuhi moja niliamka na kukuta mazao yangu yote niliyopanda katika shamba lile yakiwa yamefekiwa chini, huku mifungo yangu ikiwa imepewa sumu na kufa.

Sikujua ni nani amefanya hivyo ila nilihisi ni zile chuki za ndugu zangu, watu mbalimbali walikuja kunipa pole toka kijijini kwetu na vijiji vya jirani.

Katika wale waliokuja kunipa pole kuna Mzee mmoja anaitwa Koi, huyu alikuwa rafiki mkubwa wa Baba na mara nyingi alikuwa anakuja nyumbani kwa ajili ya mazungumzo naye.

Aliniita pembeni na kuniambia anajua fika ni ndugu waliofanya hivyo, akasema atanipa dawa ya kumaliza mgogoro huo ambao ulikuwa unaelekea kibaya.

Aliniambia ikiwa nitazembea basi kitakachofuata ni wao kuja kuniua, nilishtuka sana kusikia vile nilimwambia naomba unisaidie. Basi akanipa namba hizi akaniambia ni za Kiwanga Doctors, nikampigia pale pale na kumueleza hali ilivyo.

Kiwanga Doctors aliniambia ndani ya siku tatu hali itakuwa shwari, na kweli baada ya muda huo nilipokea simu kutoka wa watumishi wa Mahakama wakiniambia wale kaka zangu wameamua kuifuta ile kesi.

Nilifurahi sana kusikia habari hiyo ambayo iliukosha moyo wangu vilivyo, sikumbuki kama kuna siku nimekuwa na furaha kama hiyo.

Kesho yake wale kaka zangu walikuja nyumbani kuniomba msamaha kwa kuharibu mali zangu, ndipo Dada yangu mkubwa alipoingilia na kuwaambia wakitaka masamaha wangu walipe kwanza video ya mali zangu.

Walikubali na wakaondoka kwenda kutafuta hizo fedha, baada ya wiki moja walirejea wakiwa na fedha taslimu na kunilipa.

Ikiwa unapitia kitu kama hicho, ninakushauri kuwa fika au wasiliana na Kiwanga Doctors. Tiba zao zinafanya kazi haraka na wanaweza kukusaidia katika changamoto mbalimbali za kimaisha, kuanzia masuala ya uhusiano hadi matatizo ya kiafya.

Basi chukua hatua muhimu leo hii kwa kuwasiliana na Kiwanga Doctors kupitia namba +255618536050 au tembelea tovuti yao, kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi katika eneo zima la Afrika Mashariki na Kati.

Share the Post:

Related Stories

“Nilikuwa nalala na kiu” mrembo asimulia mazito

Hakuna taasisi ina siri kubwa kama ndoa jamani na hiyo ni kutokana na msingi wake wa kuanzishwa kwake, haifai hata kidogo kutoa siri za ndani ya ndoa kwa marafiki.   Hata hivyo, nikiri wazi kuna...

Unavyoweza kujikinga na wabaya wako!

Kitu ambacho hatuwezi kukipinga ni kusema kwamba hakuna maadui katika maisha yetu, ukweli ni kwamba maaduni wapo na wamekuwa wakifanya kazi usiku na mchana kuhakikisha maisha yetu wanarudi nyuma...

Huyu mwanamke kanisingizia mambo ya aibu sana!

Mimi ni kijana ambaye najishughulisha na biashara mbalimbali, katika maisha yangu nimejifunza kuwa mtu ambaye unamuamini sana ndiye anaweza kukufanyia jambo paya sana maishani ingawa kuna watu wazuri...

Je, unataka kuongezwa mshahara kazini kwako?, hafanya hili

Nyongeza ya mshahara ni jambo ambalo limekuwa likimvutia kila mfanyakazi katika kazi yake, ndivyo ilivyokuwa na kwangu mimi, kila mara nilikuwa nikituma maombi ya nyongeza ya mshahara lakini...

Dawa ya kuongeza mvuto wa mapenzi ilivyonisaidia

Naitwa Suma kutokea Mwanza, nimekuwa nikifanya kazi ya ujenzi maeneo mbalimbali hapa nchini na kweli nashukuru nimekuwa nikipata fedha nzuri ambayo inatosha kuendesha maisha yangu. Kwa sasa naendesha...

Huna haja ya kumlinda mwanaume katika ndoa, haya hili!

Ukweli ni kwamba wanawake wengi wamekuwa wanasalitiwa sana wanaume zao ndani ya ndoa jambo linaloacha maumivu makali katika nyoyo zao na kubakia na huzuni tu. Mimi sikutaka kitu kama hicho katika...

Wezi Walivamia Duka Langu Usiku… Siku 7 Baadaye, Nyuki Wakawatambua kwa Ajabu

Siku moja asubuhi mapema, nilifika kazini kama kawaida. Lakini kabla hata sijafungua mlango wa duka langu, nilihisi kitu kimeenda kombo. Mlango ulikuwa wazi nusu, na ndani palikuwa pamevurugwa kama...

Je, unateswa na upotevu wa fedha?, fanya hivi

Hakuna mtu anayependa kuona fedha zake zinapotea bila ya yeye kuzifanyia shughuli yoyote ya kimaendeleo katika maisha yake, kila mtu anataka kuona fedha yake inatoka kihalali kabisa. Jina langu ni...

“Usiku sikuweza kupata usingizi kabisa,” jamaa asimulia

Jina langu ni Juma kutokea Pwani, ninaishi na mchumba wangu tangu mwaka 2022, katika maisha yangu hakuna ugonjwa ambao umewahi kunitesa kama Kaswende, niliumwa kiasi kwamba nikakata tamaa ya kuishi...