Kina dada jifunze hapa jinsi ya kupata kazi

Naitwa Cheupe kutokea Arusha, ni miongoni mwa wanawake waliofanikiwa sana upande wa ujasirimali kwa sasa, kampuni yangu ndogo tu ya ushonaji nguo imeweza kuzalisha ajira kwa vijana zaidi 20 ambao hulipwa kila mwezi.

Hata hivyo, hadi kufikia mafanikio hayo haikuwa rahisi, ilinibidi kufanya kazi sehemu mbalimbali na huko kwenye kazi pia nilikumbana na changamoto nyingi ambazo kamwe siwezi kuja kuzisahau.

Kusema ukweli wanawake katika kutafuta kazi tunapitia changamoto nyingi sana, unakuta una sifa zote za kupata kazi ila Bosi anataka umpatie rushwa ya peni ndipo akupatie kazi yake, vinginevyo kazi hiyo unaweza kuikosa.

Maishani mwangu kuna kisa kimoja kamwe sitokuja kukisahau, miaka kama mitatu iliyopita nilifika katika ofisi moja kuomba kazi ya taaluma ambayo nimeisomea, Bosi akaniambia kazi nimepata ila kuna jambo ambalo napaswa kufanya.

Jambo hilo ni kufanya naye mapenzi walau mara mbili hivi, ukweli jambo hilo nilishtuka sana, kama kazi ipo na nina sifa za kuipata kwanini nitoe rushwa, tena rushwa ya ngono!, huku ni kuuza utu wangu.

Ila ukweli nilikuwa nahitaji sana kazi hiyo maana maisha yangu kiuchumi hayakuwa mazuri sana, nniliondoka katika ofisi ile nikiwa na maswali mengi kichwani, akili nyingine ilikuwa inaniambia ni mkubalie tu ili nipate hiyo kazi, nyingine ikiniambia nikatae.

Akili nyingine iliniambia nijaribu kuomba ushauri kwa marafiki zangu ambao nina waamini, ndipo nikakutana na rafiki yangu mmoja na kumueleza jambo hilo, naye alishangaa sana kusikia kitu kama hicho.

Basi, akaniambia hakuna haja ya kufanya ujinga kama huo, kwani Kiwanga Doctors kutokea Migori nchini Kenya wanaweza kunisaidia kupata kazi niipendayo, akaniambia hawa wamewasaidia watu wengi kupata kazi wazipendazo.

Akanipatia namba zao za simu nami nikaanza kuwasiliana nao na kuwaeleza shida yangu kuwa nahitaji kupata kazi nzuri katika maisha yangu, basi wakanifanyia tiba zao (job spells) ambazo kwangu naona ni za uwakika kufuatia kile kilichokuja kunitokea.

Haikupita muda mrefu, niliweza kupata kazi sehemu nyingine ambayo ni nzuri kuliko ile ya awali, huku hata kiwango cha mshahara kilikuwa ni kikubwa sana ukilinganisha na sehemu ile ya mwanzo. Kazi hii ndio ilinipa mtaji wa kufungua biashara hii ya kushona nguo na sasa nimefanikiwa sana.

Kitu pekee ambacho naweza kuwashauri wanawake wenzangu hasa mabinti, ni kutokubali kutoa rushwa ya ngono ili kupata kazi, unaweza kupata kazi uipendayo wakati wowote bila kufanya jambo la kukuvunjia utu wako.

Ni watu wengi hadi sasa wamepata uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +254 116 469840 au tembelea tovuti yao kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.

Share the Post:

Related Stories

Unataka kuwa kiongozi wenye ushawishi?, fanya haya

Hakuna kitu kizuri katika maisha au jamii kama kuwa na nguvu ya ushawishi, hiki ni kitu ambacho kila mtu anapenda kuwa nacho ingawa wanasiasa mara nyingi ndio huwa ukitamani ili waweze kufanya siasi...

Tamaa za ujana zilivyonipa kisonono!

Kwa hakika tamaa za ujana ni mbaya sana, na yeyote anayejaribu kukidhi tamaa zake za ujana kwa pupa ni lazima utapata tabu sana kama ambavyo zilinikuta na mimi miaka ya nyuma. Jina langu ni Dulla...

Nilivyoshinda mkosi wa kukimbiwa na wanawake!

Ukweli ni kwamba huku duniani kuna mikosi ya kila namna, mikosi ni mfululizo wa visa vibaya ambavyo vinaweza kuwa vinajirudia kila wakati na bila kujua sababu ni nini hasa. Mathalani kuna mtu kila...

Jinsi ya kujikinga na dhulma katika kazi au ajira

Hakuna ubishi kuwa kila binadamu ana ndoto kubwa za kufanikiwa kimaisha, lakini ukweli ni kwamba sio kila mwenye ndoto inaweza kutimia na pengine inaweza kutimia ila kwa kuchelewa sana. Ndivyo maisha...

Mvuto wa kimapenzi alivyonipatia utajiri

Jina langu ni Majaliwa kutokea Mombasa nchini Kenya, ni Baba wa familia, mimi na mke wangu katika miaka sita ya ndoa yetu tumejaliwa kupata watoto wawili, mmoja wa kiume na mwingine wa kike...

Kutoka mwanzo mgumu wa biashara hadi kufanikiwa!

Ukweli ni kwamba kila mfanyabiashara ambaye unaona amefanikiwa, ana siri kuhusu mafanikio, kuna jambo la muhimu nyuma ya pazia katika yale mafanikio yake, na sio wote wapo tayari kuzungumzia hilo...

Mume ampa mkewe mshahara wote kila mwezi, kisa?

Watu wengi wamekuwa wakisifia ndoa yangu na mume wangu, mahusiano yetu wamekuwa ni mfano wa kuigwa mbele ya jamii, mume wangu hajawahi kuwa na kashfa ya kutoka na mwanamke mwingine yoyote hapa mtaani...

Je, unataka bahati maishani mwako?, fanya haya

Kwenye kufanikiwa kimaisha kuna tegemea na mambo mengi sana, kufanya kazi kwa bidii au kujuana na watu wengi wenye uwezo katika eneo fulani hakutoshi kukuhakikishia kufanikiwa kimaisha. Na ukweli ni...

“Mahakama iliamuru mtoto akapimwe DNA” mrembo asimulia

Hakuna jambo huwaacha watoto njia panda kama ugomvi baina ya wazazi wao maana kuna muda hulazimika kuchagua upande, migogoro ndani ya ndoa imeacha majeraha makubwa sana katika nyoyo za watoto. Jina...