Je, umewahi kudhulumiwa?, pata haki yako sasa!

Naitwa Amani kutokea Babati, unajua hakuna kitu kibaya maishani kama kudhulumu mali ambayo sio yako, kuna watu mikosi haiondoki katika maisha yao kutokana na dhuluma walizozifanya huko nyuma.

Nasema hivyo kwa sababu Baba yetu aliamua kununua magari mawili kwa ajili ya watoto wake ili hapo baadaye tusije kuteseka katika maisha, haya magari ni mabasi kwa ajili ya usafiri na kila mmoja alipewa lake.

Basi niliamua kukodisha bus langu wakati naendelea na masomo na fedha niliyopata nilikuwa nalipa nayo ada ya chuo na matumizi mengine, dereva niliyempa gari langu alikuwa mwaminifu, kila mwisho wa wiki alinitumia fedha yangu kama tulivyokubaliana.

Sasa baada ya kumaliza chuo nilitaka kuchukua bus langu, hivyo nilimpaa taarifa hiyo, cha kusikitisha ni kwamba alikataa na kudai bus lile ni lake na kwamba nilimkodisha kwa makubaliano ya kumuuzia akifikisha kiwango fulani cha fedha.

Kubwa zaidi nilishangaa sana pale alipoamua kutoa nyaraka kuwa anamiliki bus lile, ugomvi ulikuwa mkubwa hadi Baba yangu alikuja lakini bado aliendelea kushikilia msimamo wake kuwa gari ni mali yake.

Binafsi nilitaka kwenda mahakamni kufungua kesi, lakini rafiki yangu mmoja Leornad aliniambia kuna mtu mmoja anaitwa Kiwanga Doctors anaweza kunisaidia na kupata mali yangu bila kusumbuka sana.

Leornad alinipa mawasiliano ya Kiwanga Doctors kutokea Migori nchini Kenya na kuniambia niwasiliane naye mara moja, nilimpigia na kueleza shida yangu hiyo iliyokuwa inanisumbua, aliniambia nisijali kwani ndani ya siku chache mwenyewe atarudisha gari langu maana ameshafanya dawa, find lost items spell.

Baada ya siku chache yule dereva alinipigia simu akiwa hoi kitandani hata kuzungumza kwake ilikuwa kwa shida sana, aliniomba msamaha sana na kuniambia nikachuke gari langu. Nami nilienda nikachukua gari na kuweza kuendelea na biashara zangu na sasa nimepiga hatua kubwa kimaendeleo.

Tukio hilo ni la miaka mitano iliyopita, nimelikumbuka na kuandika stori yake hapa kwa sababu yule dereva hivi karibuni kanipigia simu na kusema tangu wakati ule kila akipata gari aendesha kwa ajili ya biashara anapata ajali, anaona kama imekuwa ni mkosi kwake.

Aliomba msamaha kwa mara ya pili na kuniambia nimuondolee mkosi huo, mimi nilichofanya ni kumpatia namba ya Kiwanga Doctors na kumtaka awasiliane naye na kumueleza changamoto yake.

Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +254 116469840 au tembelea tovuti yao kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.

 

 

Share the Post:

Related Stories

Unataka kuwa kiongozi wenye ushawishi?, fanya haya

Hakuna kitu kizuri katika maisha au jamii kama kuwa na nguvu ya ushawishi, hiki ni kitu ambacho kila mtu anapenda kuwa nacho ingawa wanasiasa mara nyingi ndio huwa ukitamani ili waweze kufanya siasi...

Tamaa za ujana zilivyonipa kisonono!

Kwa hakika tamaa za ujana ni mbaya sana, na yeyote anayejaribu kukidhi tamaa zake za ujana kwa pupa ni lazima utapata tabu sana kama ambavyo zilinikuta na mimi miaka ya nyuma. Jina langu ni Dulla...

Nilivyoshinda mkosi wa kukimbiwa na wanawake!

Ukweli ni kwamba huku duniani kuna mikosi ya kila namna, mikosi ni mfululizo wa visa vibaya ambavyo vinaweza kuwa vinajirudia kila wakati na bila kujua sababu ni nini hasa. Mathalani kuna mtu kila...

Jinsi ya kujikinga na dhulma katika kazi au ajira

Hakuna ubishi kuwa kila binadamu ana ndoto kubwa za kufanikiwa kimaisha, lakini ukweli ni kwamba sio kila mwenye ndoto inaweza kutimia na pengine inaweza kutimia ila kwa kuchelewa sana. Ndivyo maisha...

Mvuto wa kimapenzi alivyonipatia utajiri

Jina langu ni Majaliwa kutokea Mombasa nchini Kenya, ni Baba wa familia, mimi na mke wangu katika miaka sita ya ndoa yetu tumejaliwa kupata watoto wawili, mmoja wa kiume na mwingine wa kike...

Kutoka mwanzo mgumu wa biashara hadi kufanikiwa!

Ukweli ni kwamba kila mfanyabiashara ambaye unaona amefanikiwa, ana siri kuhusu mafanikio, kuna jambo la muhimu nyuma ya pazia katika yale mafanikio yake, na sio wote wapo tayari kuzungumzia hilo...

Mume ampa mkewe mshahara wote kila mwezi, kisa?

Watu wengi wamekuwa wakisifia ndoa yangu na mume wangu, mahusiano yetu wamekuwa ni mfano wa kuigwa mbele ya jamii, mume wangu hajawahi kuwa na kashfa ya kutoka na mwanamke mwingine yoyote hapa mtaani...

Je, unataka bahati maishani mwako?, fanya haya

Kwenye kufanikiwa kimaisha kuna tegemea na mambo mengi sana, kufanya kazi kwa bidii au kujuana na watu wengi wenye uwezo katika eneo fulani hakutoshi kukuhakikishia kufanikiwa kimaisha. Na ukweli ni...

“Mahakama iliamuru mtoto akapimwe DNA” mrembo asimulia

Hakuna jambo huwaacha watoto njia panda kama ugomvi baina ya wazazi wao maana kuna muda hulazimika kuchagua upande, migogoro ndani ya ndoa imeacha majeraha makubwa sana katika nyoyo za watoto. Jina...