Bila hivi nisingebaini usaliti wa mke wangu na shemeji yake!

Naitwa Moses kutoka Arusha, ni baba wa watoto wawili, miaka mitatu iliyopita nilimfungulia mke wangu duka la kuuza mchele na kusema kweli alifanya kazi kwa bidii kubwa sana hadi duka letu likaongezeka sana.

Mimi nilizidi kufanya kazi yangu ya kusafirisha maharagwe kutoka Arusha kwenda mikoa mbalimbali. Kutokana na kazi yangu, nilikuwa nasafiri mara kwa mara, mwaka 2022 mdogo wangu wa kiume alihitimu kidato cha sita kisha nikaamua kumleta nyumbani ili aweze kusaidiana na mke wangu dukani.

Nilimtumia nauli ya kutoka kijijini kwetu hadi Arusha mjini kisha nikamtumia dereva wangu akampokea standi, alifika salama nyumbani kwangu nikamuonesha chumba yake ya kulala.

Jinsi biashara ya mchele inavyoenda dukani, walisaidiana na mke wangu pamoja na wafanyakazi wengine katika kufanya shughuli zao za kila siku. Kwa upande wangu nilikuwa siendi dukani mara kwa mara japo nikipata muda nilikuwa nawatembelea na kuona jinsi gani biashara inavyoenda.

Mwezi moja kupita tulifanya mahesabu ya mwezi nikaona kuwa biashara inakua kwa kasi kubwa sana kutokana na ushirikiano wa mke wangu na mdogo wangu, nikaamua kuongeza milioni 3 tena katika hiyo biashara, hivyo wakaanza kuuza jumla na rejareja kwa wateja wao.

Kutokana na kupanda kwa biashara kila mwezi mdogo wangu alikuwa anapata laki 3 kwa ajili ya matumizi yake binafsi, nilifanya hivyo ili mdogo wangu asikose kitu chochote anachohitaji.

Pia kupitia nafasi hiyo aweze kuanzisha biashara yake mwenyewe muda ukifika kutokana na matokeo yake ya kidogo cha sita hayakumpatia nafasi ya kujiunga na masomo ya elimu ya juu.

Mke wangu na mdogo wangu waliweza kuwa karibu sana kutokana na kufanya biashara pamoja ila kwa upande wangu sikuweza jua kama kuna kitu kinaweza endelea kati yao zaidi ya biashara tu. Mimi nilienderea na safari zangu za kila mara kama kawaida yangu nikimuacha mke wangu na mdogo wangu wakienderea na kazi zao.

Siku moja nilitoka safari kisha nikawapitia dukani na kuwasubiri wafunge muda ukiwadia ili turejee nyumbani wote, muda ulifika kisha wakafunga duka na tukarudi nyumbani.

Turipofika nyumbani niliweza pumzika kidogo na mke wangu na baadae nikaenda chumbani kwa mdogo wangu kwa ajili ya kumpatia nguo zangu aninyoshee ambazo nitavaa kesho yake asubuhi.

Baada ya kumkadhi nguo zangu alitoa shuka la kutumia kwa ajili ya kunyoosha nguo ndipo niliona nguo ya ndani ya mke wangu kitandani kwake. Nilipomuuliza inafanya nini kitandani kwake akasema hata yeye hajui nani kaileta kwenye chumba chake.

Mimi nilichukua ile nguo hadi chumbani kwetu kisha nikangoja tukimaliza kula nimuulize mke wangu, baada ya chakula ndipo nikamuonesha chupi yake na kumuuliza ilikuwa inafanya nini chumbani kwa mdogo wangu.

Mke wangu alicheka kisha akaniambia kuwa mtoto wetu mdogo ndo ana tabia ya kubeba nguo zake kutoka chumbani kwa sababu ameanza kutembea, hivyo kila anachokutana nacho anabeba tu.

Sikuweza mkatalia mke wangu kutokana na maelekezo aliyonipatia ila moyo wangu ulibaki na wasiwasi na kujiuliza mbona mtoto wangu hakubeba nguo nyingine zaidi ya hiyo, na kama amebeba hiyo mbona hajaiweka sebleni.

Kutokana na hayo maswali ilinibidi nianze kuwafuatiliaa mke wangu na mdogo wangu bila wao kujua, ndipo siku moja nikamwambia mke wangu kuwa nasafiri kwenda Moshi kwa ajili ya kununua maharage.

Hivyo nitakaa kule siku saba, ila mimi sikuweza fika Moshi bali nilibaki Arusha ili nijue nikitoka kipi huwa kinaendelea nyumbani.

Baada ya siku tatu nilirudi nyumbani usiku bila wao kutarajia, kisha nikamuomba mdogo wangu simu yake kisha nikaenda moja kwa moja kwa WhatsApp na kukutana na picha za ajabu za mke wangu pamoja meseji alizokuwa wanatumiana.

Hapo ndo nilijua kuwa walikuwa wana uhusiano, na hiyo ilikuwa ni baada ya kupata dawa kutoka Kiwanga Doctors kutokea Migori nchini Kenya, bila hivyo hakuna jambo ningejua.

Je, nifanye nini?, nimfukuze mke wangu au nimfukuze mdogo wangu? Je, nikimfukuza mdogo wangu nyumbani watanifikiriaje hali ya kuwa baba yetu alishafariki na kuniomba niwalee wadogo zangu.

Ni watu wengi hadi sasa wamepata uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +254 769404965 au tembelea tovuti yao kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.

Share the Post:

Related Stories

“Nilikuwa nalala na kiu” mrembo asimulia mazito

Hakuna taasisi ina siri kubwa kama ndoa jamani na hiyo ni kutokana na msingi wake wa kuanzishwa kwake, haifai hata kidogo kutoa siri za ndani ya ndoa kwa marafiki.   Hata hivyo, nikiri wazi kuna...

Unavyoweza kujikinga na wabaya wako!

Kitu ambacho hatuwezi kukipinga ni kusema kwamba hakuna maadui katika maisha yetu, ukweli ni kwamba maaduni wapo na wamekuwa wakifanya kazi usiku na mchana kuhakikisha maisha yetu wanarudi nyuma...

Huyu mwanamke kanisingizia mambo ya aibu sana!

Mimi ni kijana ambaye najishughulisha na biashara mbalimbali, katika maisha yangu nimejifunza kuwa mtu ambaye unamuamini sana ndiye anaweza kukufanyia jambo paya sana maishani ingawa kuna watu wazuri...

Je, unataka kuongezwa mshahara kazini kwako?, hafanya hili

Nyongeza ya mshahara ni jambo ambalo limekuwa likimvutia kila mfanyakazi katika kazi yake, ndivyo ilivyokuwa na kwangu mimi, kila mara nilikuwa nikituma maombi ya nyongeza ya mshahara lakini...

Dawa ya kuongeza mvuto wa mapenzi ilivyonisaidia

Naitwa Suma kutokea Mwanza, nimekuwa nikifanya kazi ya ujenzi maeneo mbalimbali hapa nchini na kweli nashukuru nimekuwa nikipata fedha nzuri ambayo inatosha kuendesha maisha yangu. Kwa sasa naendesha...

Huna haja ya kumlinda mwanaume katika ndoa, haya hili!

Ukweli ni kwamba wanawake wengi wamekuwa wanasalitiwa sana wanaume zao ndani ya ndoa jambo linaloacha maumivu makali katika nyoyo zao na kubakia na huzuni tu. Mimi sikutaka kitu kama hicho katika...

Wezi Walivamia Duka Langu Usiku… Siku 7 Baadaye, Nyuki Wakawatambua kwa Ajabu

Siku moja asubuhi mapema, nilifika kazini kama kawaida. Lakini kabla hata sijafungua mlango wa duka langu, nilihisi kitu kimeenda kombo. Mlango ulikuwa wazi nusu, na ndani palikuwa pamevurugwa kama...

Je, unateswa na upotevu wa fedha?, fanya hivi

Hakuna mtu anayependa kuona fedha zake zinapotea bila ya yeye kuzifanyia shughuli yoyote ya kimaendeleo katika maisha yake, kila mtu anataka kuona fedha yake inatoka kihalali kabisa. Jina langu ni...

“Usiku sikuweza kupata usingizi kabisa,” jamaa asimulia

Jina langu ni Juma kutokea Pwani, ninaishi na mchumba wangu tangu mwaka 2022, katika maisha yangu hakuna ugonjwa ambao umewahi kunitesa kama Kaswende, niliumwa kiasi kwamba nikakata tamaa ya kuishi...