08 May

Aacha kazi Ikulu kisa uzuri wa mkewe

“Mke wangu alikuwa mrembo sana kiasi kwamba hata nilipoondoka nyumbani kwenda kazini ambako nilikuwa nimeajiriwa wakati huo, nilihisi kutokuwa salama kwa kuhofia mwanaume mwingine angeweza kuingilia nyumbani kwangu na kula…