21 Apr

Ageuka nyani baada ya kuiba

Mwanaume mmoja huko Lamu alijikuta akitembea kwa miguu minne wikendi iliyopita baada ya kisanga ambacho kilimwacha katika hali uchungu mkubwa sana na kustaajabisha umati uliokusanyika kushuhudia kisa hicho cha ajabu.…