Watu wengi wamekuwa wakisifia ndoa yangu na mume wangu, mahusiano yetu wamekuwa ni mfano wa kuigwa mbele ya jamii, mume wangu hajawahi kuwa na kashfa ya kutoka na mwanamke mwingine…
Je, unataka bahati maishani mwako?, fanya haya
Kwenye kufanikiwa kimaisha kuna tegemea na mambo mengi sana, kufanya kazi kwa bidii au kujuana na watu wengi wenye uwezo katika eneo fulani hakutoshi kukuhakikishia kufanikiwa kimaisha. Na ukweli ni…
“Mahakama iliamuru mtoto akapimwe DNA” mrembo asimulia
Hakuna jambo huwaacha watoto njia panda kama ugomvi baina ya wazazi wao maana kuna muda hulazimika kuchagua upande, migogoro ndani ya ndoa imeacha majeraha makubwa sana katika nyoyo za watoto.…