Wanawake wenzangu sikilizeni, wanaume wazuri wapo, wanaume wanaojali familia zao wapo, wanaume wasio chiti kabisa, yaani wapo wanaume wanaojali na wanao watoaji hela haijalishi kipato chake. Wapo wanaume wapole, wapo…
Boyfriend anakojoa kitandani usiku hadi kero
Naitwa Jesca, nina mpenzi wangu, sasa hapo awali ilikuwa kila nikilala nae lazima ajikojolee. Mwanzo nilikuwa napotezea nikajua labda uwoga au ni mimi mwenyewe nimepitiwa ila nilivyochunguza kumbe yeye ndio…
Single mother mwenye maisha magumu ashinda mamilioni
Naitwa Tamara kutoka Arusha, miaka kama miwili nyuma nikiwa single mother wa watoto wawili, nikampata mwanaume mmoja nikawa nakaa naye ila chumba kimoja na hao watoto wangu. Kusema kweli huyo…