Naitwa Aisha kutokea Tanga, baada ya kuachana na mwanaume niliyezaa naye, alikuwa ananiambia kwamba kama anataka amhudumie mtoto basi ni lazima kulala naye. Kweli alikuwa analipa kodi, anatoa kila kitu…
Abiria aliyenilipia nauli alivyochukua nyota yangu!
Naitwa Shamira kutoka Mwanza, kuna siku nilienda kwa mume wangu anapo fanyia kazi maana tunaisha mikoa tofauti, sasa nilipo kuwa kwenye gari kuna kaka mmoja alikua kaa siti ya pembeni…
Kamlipia mahari Sh3.5 milioni ili kwenda kumtesa
Naitwa Adam kutokea Dar es Salaam, nina mdogo wangu alitaka kuolewa baada ya kupata mchumba kutokea Uganda, yeye anavyodai ni kwamba walikutana naye hapa Tanzania katika shughuli zake. Sasa huyo…